Maandamano dhidi ya wageni wasio na vibali yafanyika Afrika Kusini
Maelfu ya watu nchini Afrika Kusini, waliandamana siku ya Jumanne katika miji mbalimbali nchini humo, kushinikiza kuondoka kwa wageni wanaoishi katika nchi hiyo bila kuwa na vibali halali vya ukaazi…