Magonjwa yasiyoambukiza yanavyoua ndoto za vijana
Vijana wananyemelewa na maradhi haya, na kibaya zaidi, wengi hawajitambui kwa kuwa wametingwa...
Vijana wananyemelewa na maradhi haya, na kibaya zaidi, wengi hawajitambui kwa kuwa wametingwa...
Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kuongoza juhudi za kuondoa masharti ya viza kwa Waafrika na kutatua mizozo inayokumba bara hilo.
Wanaume si waathirika wa UTI kwa sababu ya kuwa na mrija mrefu, jambo linalowapa safari ndefu...
Mtaalamu wa saikolojia tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk Isaack Lema, anasema...
Serikali ya Israel imetangaza leo Ijumaa, Oktoba 10, kwamba imeidhinisha makubaliano ya kuwaachilia mateka huko Gaza, hatua mpya katika utekelezaji wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko…
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kuendelea kuwashikilia wanaharakati wa msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Gaza, na…
Chama tawala nchini Korea Kaskazini, Chama cha Wafanyakazi, kinaadhimisha miaka 80 tangu kuasisiwa kwake.
Korea Kaskazini, Alhamisi hii, Oktoba 9, imeadhimisha miaka 80 ya Chama cha Wafanyakazi, ambacho kimetawala nchi hiyo bila kugawana madaraka na vyama vingine tangu mwaka 1949. Imechapishwa: 10/10/2025 – 08:17…
Rais wa Russia, Vladmir Putin amesema viongozi wa Israel wamemtaka aieleze Iran kwamba, utawala huo haufuatilii vita na makabiliano zaidi na Iran, na una hamu ya kupunguza mvutano.
Rais wa Peru Dina Boluarte ametimuliwa usiku wa Alhamisi, Oktoba 9, kuamkia Ijumaa, Oktoba 10, kwa kura nyingi za wabugne, kufuatia hoja kadhaa zilizowasilishwa wakati wa mchana na makundi mbalimbali…
magenge ya wahalifu wamepambana na polisi aktika mji mkuu wa Haiti, Port-au.Prince. Milio ya risasi imeripotiwa mjini humo.
Algeria imekuwa timu ya nne barani Afrika kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo...
đź”´KUMEKUCHA: SARATANI YA MATITI ...OKTOBA 10, 2025
Kampeni nchini Cameroon, zinatarajiwa kutamatishwa kuelekea uchaguzi mkuu, uliopangwa kufanyika siku ya Jumapili, ambapo rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 43, anatarajiwa kuendelea…
đź”´MAGAZETI: ALIKO POLEPOLE KWAIBUA UTATA- 10 OKTOBA 2025
Elimu ya Juu inayotolewa kwa mkopo ngazi mbalimbali Je, inatoa wataalamu wanaokidhi mahitaji ya nchi katika sekta mbalimbali ? #SWALILAKIPIMAJOTO #10oktoba2025
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba Jamhuri ya Kiislamu daima inaunga mkono mpango wowote unaolenga kukomesha vita na mauaji ya halaiki huko Gaza,…
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 10, 2025
Utawala unaoukalia kwa mabavu Palestina na Hamas hatimaye wamefikia maelewano juu ya kutekeleza awamu ya kwanza ya usitishaji vita huko Gaza.
Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemtaka mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuacha kuwasaidia waasi mashariki ya DRC na kutengeneza amani.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapanga kupunguza kwa asilimia 25 vikosi vyake vya kulinda amani
Eritrea imepuuzilia mbali shutuma zilizotolewa na Ethiopia kwamba nchi hiyo inajiandaa kuanzisha vita ikisema ni ''matamshi ya uchochezi''.
Leo ni Ijumaa 17 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria sawa na 9 Oktoba 2025 Miladia.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
"Wale wachache wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya, wachukuliwe hatua, wale wenye akaunti nyingi za uongo kwa ajili ya kutukana watu"Neema Misanga - Mshiriki JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma…
"Vijana mkumbuke baadhi ya wahalifu, wamebaini kwamba kutokana na mitandao hiyo ya nje wakianzisha akaunti zao, wakipeleka maudhui ya uchonganishi, wakipata wafuasi wengi ndivyo wanavyolipwa na hiyo mitandao" DCP -…
"Kama kijana anawajibu wa kuhakikisha kwamba taarifa zote ambazo hazikuthibitishwa hapaswi kuzisambaza" Bakari Muno - Mshiriki JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 09, OKTOBA 2025
"Kama Biden aliweza kuufungia mtandao wa Tiktok ukiwa hauendani na Propaganda zao kwa sababu maudhui ya TikTok ni ya china, pia hii Instagam, Twitter na Facebook haziendani na sisi tuzitie…
"Leseni inayotolewa na TCRA inatolewa na masharti, yale masharti yanatakiwa kuyatekeleza, yale masharti inamaana ni miiko" Robin Ulikaye - Afisa Mawasiliano TCRA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000…
#HABARI: Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga, amemuhakikishia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan,…
#HABARI: Mkurugenzi wa Nishati safi ya kupikia, Wizara ya Nishati, Bw. Nolasco Mlay, ametoa wito kwa shule zote nchini kuhakikisha zinaachana na matumizi ya kuni na badala yake kuhamia kwenye…
Shahidi wa pili wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chama...
Algeria imefuzu kwa Kombe la Dunia siku ya Alhamisi, ikiwa ni timu ya nne kutoka Afrika kupata nafasi hiyo kwa mashindano yatakayofanyika Marekani Kaskazini mwakani, baada ya kuwafunga Somalia 3-0.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilisha reli ya kisasa ya SGR kutoka Tanga hadi Musoma na kufufua bandari za Mkoa wa Mara ili kuchochea…
Binadamu huota na hujibidisha kufanikisha ndoto. Anajitazama na kujenga matamanio ya jambo.
Tanzania ipo katika hatua za mwisho kuanza kunufaika na madini yake ya Graphite, baada ya...
Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo la Siha, mkoani...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2025 yatazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Sambamba…
#HABARI: Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu, imeendelea na usikilizwaji wa shahidi wa pili, baada ya upande wa Jamhuri kuhitimisha kusawazisha maswali ya dodoso yaliyokuwa yakiulizwa…
đź”´MALUMBANOYAHOJA: SIASA ZA MITANDAONI WAKATI WA UCHAGUZI.JE, NINI CHANGAMOTO.
Rais Felix Tshisekedi ametoa wito kwa mwenzake wa Rwanda Paul Kagame "kukumbatia amani" na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi ametoa wito kwa watumishi wa umma kote nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika…
Fahamu kwamba pamoja na uchaguzi huu wa mwaka 2025 kufanyika Tanzania Bara na Visiwani, kitovu cha kipekee ni Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Upekee wake unatokana na…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema endapo atachaguliwa, atahakikisha wananchi wanapewa fursa za kujikwamua na kuboresha hali ya maisha yao. Kauli hii alitoa…
#HABARI: Dereva wa gari la kubebea na kuchanganya zege lenye Namba za Usajili Z 994 NS la Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Iris, Nassor Fatawi Idd amefariki dunia na…
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa…
Katika kampeni za kunadi ilani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), wananchi wa Mkoa wa Pwani wameahidiwa kufaidika na mageuzi ya kisera yatakayochochea ukuaji wa uchumi kupitia viwanda na…
Mgombea Urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elius amesema atahakikisha uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Iringa unakua kupitia ujenzi wa viwanda vya mazao ya misitu…