Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemeni: Ansarullah iko ‘bega kwa bega’ na Hizbullah dhidi ya Israel
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema harakati ya muqawama ya nchi hiyo Ansarullah iko "bega kwa bega" na harakati ya mapambano ya Lebanon Hizbullah katika kukukabiliana na…