Ulaya yaipa Ukraine mkopo wa Euro Bilioni 90
Wakuu wa nchi na serikali wa Umoja wa Ulaya waliokutana huko Cyprus kwa ajili ya mkutano usio rasmi, hatimaye wamefanikiwa kuidhinisha mkopo wa euro bilioni 90 kwa Kyiv kutokana na…
Wakuu wa nchi na serikali wa Umoja wa Ulaya waliokutana huko Cyprus kwa ajili ya mkutano usio rasmi, hatimaye wamefanikiwa kuidhinisha mkopo wa euro bilioni 90 kwa Kyiv kutokana na…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Alhamisi kuongezwa muda wa wiki tatu wa kusitisha mapigano Lebanon, huku juhudi za kufikia makubaliano na Iran zikiendelea kukwama. Imechapishwa: 24/04/2026 –…
Baada ya Jenerali Fannie Masemola kuripoti mahakamani kwa muda mfupi mjini Pretoria mapema wiki hii, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza kumsimamisha kazi “kama hatua ya tahadhari, hadi kesi…
Visa vya ugonjwa wa uti wa mgongo unaosababisha vifo unaongezeka mashariki mwa Chad, na kusababisha vifo vya karibu 12% ya watoto walioambukizwa katika eneo hilo, ambalo linahifadhi mamia ya maelfu…
Zaidi ya dozi milioni 100 za chanjo zimetolewa kwa watoto milioni 18.3 duniani kote tangu 2023, kama sehemu ya kampeni ya kimataifa ya kupambna na kupungua kwa chanjo ya watoto…
Katika mwanzo wa vita Iran ilikuwa na kilo 440 ya Urani ambayo imerutubishwa kwa kiwango cha 60% kulingana na maafisa wa Marekani.
Zaidi ya Wasomali milioni 6 wanakabiliwa na njaa, ambapo wengi ni waathiriwa wa misukosuko ya hali ya hewa na migogoro ambayo inaendelea kushika kasi na kuwalazimu raia wa nchi hiyo…
Kundi la kwanza la wakimbizi 470 wa DRC kutoka Burundi wamerudi katika jiji la Uvira (Kivu Kusini) siku ya Alhamisi, Aprili 23, kulingana na Shirika la Umoja w Mataifa linalohudumia…
Wakati wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Chad Mahamat Idriss Déby huko Algiers, nchi hizo mbili zimesaini mikataba kadhaa, hasa katika sekta ya uchumi. Jambo muhimu zaidi kuhusu sekta…
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa kilichotokea Oktoba 29, bali pia kuhakikisha haki, uwajibikaji na kuzuia matukio kama hayo siku…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon yamesogezwa mbele kwa muda wa wiki tatu, lakini akasisitiza kuwa hatakimbilia kufikia makubaliano yoyote…
Kundi la kwanza la wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani na kupelekwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufuatia kusainiwa kwa makubaliano kati ya nchi hizo mbili liliwasili mjini Kinshasa siku…
Enzo Fernandez anasakwa na Manchester City, Aston Villa wamemtaja James Trafford kama mbadala wa Emiliano Martinez, na Manchester United wanamfuatilia Micky van de Ven pamoja na Carlos Baleba.
Maafisa wa juu wa serikali ya Iran, wanaishtumu Marekani kwa kukwamisha mchakato wa mazungumzo ya amani, kufuatia hatua yake ya kuzuia meli za Iran kwenye mlango wa Bahari wa Hormuz…
Mahakama nchini Afrika Kusini, imezuia kusafirishwa nchini Zambia mabaki ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Edgar Lungu, aliyefariki dunia, miezi 10 iliyopita. Imechapishwa: 23/04/2026 – 16:54Imehaririwa: 23/04/2026 – 17:09 Dakika…
Watu 518 walipoteza maisha wakati wa vurugu za uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 mwezi Oktoba mwaka uliopita, kwa mujibu wa ripoti ya tume ya uchunguzi ambayo imewasilisha ripoti…
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Marekani inataka kufunguliwa kwa Mlango wa Bahari wa Hormuz, na kudhibiti madini ya urani ya Iran.
Ripoti hii inachukuliwa kama nyenzo muhimu ya kuweka wazi ukweli na kutoa mwelekeo wa taifa baada ya kipindi hicho kigumu.
Israeli na Lebanon zinatarajia leo Alhamisi, Aprili 23, kuanza tena mazungumzo huko Washington, chini ya upatanishi wa Marekani, karibu wiki moja baada ya pande hizo mbili kukubaliana kusitisha mapigano kwa…
Kutoka Johannesburg, balozi wa Ufaransa nchini Afrika Kusini, David Martinon, ametumia fursa ya mkutano na waandishi wa habari kkubainisha nia ya Ufaransa ya kuona Pretoria ikirejeshwa kwenye mikutano ya G20,…
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia…
Zaidi ya wafungwa 900 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasubiri adhabu ya kifo, kulingana na takwimu kutoka kwa ripoti ya uchunguzi iliyochapishwa na mashirika kadhaa yanayopambana dhidi ya adhabu…
Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi imewasilisha ripoti kwa Bunge ikipendekeza mapitio ya misingi ya hesabu za uchaguzi. Katikati ya mjadala: sheria ya hesabu ambayo hakuna mtu anayeielewa kikweli, na…
Umoja wa Afrika unataka uwakilishi bora wa bara lake kwenye ramani. Shirika hili limeikabidhi Togo kazi: kufafanua ramani ya dunia inayoakisi ukubwa halisi wa nchi. Mara nyingi, ramani ya kile…
Kampuni ya Carix, mojawapo ya kampuni kubwa ambazo hutengeneza mipira ya kondomu, imetangaza kuwa itaongeza bei ya bidhaa hizo kwa 30% au zaidi iwapo vita vitaendelea nchini Iran.
Marekani inatafuta kuwatuma maelfu ya Waafghanistan, ambao kwa sasa wamekwama Qatar, kwenda Kusini mwa Jangwa la Sahara. Wengi wao walifanya kazi na jeshi la Marekani wakati wa vita nchini Afghanistan.…
Rais wa zamani wa Senegal Macky Sall alihitimisha mahojiano yaliyoandaliwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jumatano, Aprili 22, kama sehemu ya kinyang’anyiro cha kumrithi António Guterres kama Katibu…
Mahakama Maalum ya Jinai nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, imetangaza Jumanne, Aprili 21, kwamba kesi yake ya sita itaanza mwezi Juni. Kesi hii iliyosubiriwa kwa muda mrefu, inayojulikana kama…
Nchini Sudan, vita vimeingia mwaka wake wa nne. Tangu jeshi lilipoiteka tena Khartoum mwaka jana na utulivu wa kiwango fulani umeripotiwa kaskazini mwa nchi, karibu Wasudan milioni 4 wameamua kurudi…
Umoja wa Mataifa umesema viwango vya juu vya joto vinawazuia wakulima kufanya shughuli zao za ukulima, mifugo wakitarajiwa kufariki zaidi kutokana na joto katika baadhi ya nchi duniani. Imechapishwa: 23/04/2026…
Mateus Fernandes anatakiwa na Paris-St Germain, Andoni Iraola na Cesc Fabregas ni miongoni mwa wagombea nafasi ya Liam Rosenior katika klabu ya Chelsea, na Barcelona wanataka Marcus Rashford kuendelea kusalia…
Katika ripoti mpya iliyochapishwa Aprili 21, shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch linalaani mateso yaliyowapata Watigray magharibi mwa Tigray, mkoa wa kaskazini mwa Ethiopia. Tangu vita, sehemu…
Ripoti ya Tume ya Matukio ya Oktoba 29 inachukuliwa kama nyenzo muhimu ya kuweka wazi ukweli na kutoa mwelekeo wa taifa baada ya kipindi hicho kigumu.
Kundi la wahamiaji raia wa Amerika Kusini linasema wamekwama na wana wasiwasi wa mustakabali wao mjini Kinshasa nchini DRC baada ya kufukuzwa kutoka Marekani chini ya sera tata ya uhamiaji.…
Baada ya mashambulizi ya 9/11, viongozi wengi muhimu wa Al-Qaeda na familia zao walikimbia Afghanistan na Pakistan na kwenda Iran.
Nchini Niger, serikali imefunga kazi za mashirika yasiyokuwa ya kiserikali 2,900 kati ya 4,700 ya ndani ya nje, yanayofanya shughuli zake katika taifa hilo. Imechapishwa: 22/04/2026 – 16:52 Dakika 1…
Watu 23 wakiwemo watoto watatu, wameuwa katika mashambulizi matatu, yaliyotekelezwa na wanajihadi na watu wenye silaha, Kaskazini Mashariki na Magharibi mwa Nigeria. Imechapishwa: 22/04/2026 – 16:44 Dakika 1 Wakati wa…
Jeshi la wanamaji la kulinda mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, limesema, limekamata meli mbili, wanazosema zilkuwa zinafanya kazi bila idhini katika mlango wa Bahari wa Hormuz. Imechapishwa: 22/04/2026 – 16:31…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, makubaliano ya kusitisha vita kati ya waasi wa M23/AFC licha ya kutiwa saini, bado hayatekelezwe kufuatia kuendelea kushuhudiwa kwa mapigano ya mara kwa mara.…
Kuna vipaji kama Enzo Fernández na Mykhailo Mudryk, João Pedro, Cole Palmer lakini hakuna viongozi wa kutosha, hakuna mchanganyiko sahihi wa uzoefu na ubunifu.
Virusi vyote hubadilika kadri muda unavyokwenda, na virusi vya RNA kama COVID-19 hubadilika kwa kasi zaidi.
Wanasiasa nchini Iran wana mitazamo tofauti ya kisiasa ikija katika usitishwaji wa mapigano, na viongozi wengi hawapendi kutumia jina hilo.
Mashariki mwa DRC, hali ya usalama inaendelea kuzorota katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa Uganda wa ADF, kundi lenye silaha ambalo lilitangaza kujiunga na kundi la Islamic State. Kivu Security…
Nchini Sudan Kusini, serikali imebainisha siku ya Jumanne, Aprili 21, azma yake ya kufanya uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba 2026, licha ya hali mbaya nchini humo, ambayo Umoja wa Mataifa…
Katika ziara ya kiserikali mjini Beijing, Rais Daniel Chapo amefahamisha kwamba waliafikiana na China kuimarisha uhusiano wa pande mbili, wakati ambapo Beijing inaimarisha ushirikiano wake wa kimkakati barani Afrika. Imechapishwa:…
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Leo XIV yuko Equatoria Guinea tangu siku ya Jumanne, Aprili 21, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Afrika. Imechapishwa: 22/04/2026 – 06:50 Dakika 2…
Muungano wa Mataifa ya Sahel (ESA, unaoundwa na Mali, Niger, na Burkina Faso) ulikuwa katika ajenda ya mazungumzo mwishoni mwa wiki iliyopita huko Lomé. “Togo iko tayari kuweka utaalamu wake…
Nchini Nigeria, waendesha mashtaka wamewashtaki wanaume sita, akiwemo meja jenerali mstaafu, siku ya Jumanne, Aprili 21, kwa kujaribu kupanga mapinduzi mnamo mwezi Oktoba 2025. Hapo awali mamlaka ilikana madai hayo,…