Baadhi wajitokeza kuwakumbuka vijana wa Gen Z waliouawa mwaka 2024
Shughuli za umma na zile za binafsi nchini Kenya, hivi leo zimesimama kwenye miji kadhaa nchini Kenya ikiwemo jiji kuu la Nairobi, ambalo limeshuhudia baadhi ya wanasiasa, wanaharakati wa haki…