#LaLigaEASports Nyambizi kimewalamba…!!!
#LaLigaEASports Nyambizi kimewalamba…!!! FT: Girona 1-0 Villarreal Tukutane baadaye kwa burudani zaidi LIVE #AzamTV #LigiKuuHispania #LaligaUpdates #LaLiga #GironaVillarreal (Feed generated with FetchRSS)
#LaLigaEASports Nyambizi kimewalamba…!!! FT: Girona 1-0 Villarreal Tukutane baadaye kwa burudani zaidi LIVE #AzamTV #LigiKuuHispania #LaligaUpdates #LaLiga #GironaVillarreal (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Game imekwisha… ‘super sub’ Matteo Politano anaweka utofauti, na kuipeleka Napoli nafasi ya pili. FT: Napoli 1-0 Milan Umeipata mbashara #AzamSports3HD kwa Kiswahili na @leomusikula_tz #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #NapoliMilan…
TRA UNITED: “…ukija kucheza na TRA, hakikisha benchi lako lina pasipoti….tumejitengenezea dunia yetu” TRA United baada ya kuwapiga Singida BS, sasa msemaji wao Christina Mwagala anatamba kuelekea mchezo wao ujao…
85’ | #SerieA Napoli 1-0 Milan Iko LIVE #AzamSports3HD kwa Kiswahili anaunguruma @leomusikula_tz #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #NapoliMilan (Feed generated with FetchRSS)
LALIGA Saa 4:00 usiku, Girona kuwakaribisha Villarreal Kipute hiki kitaruka mbashara kupitia AzamSports4HD. @laliga (Feed generated with FetchRSS)
MZIZIMA DERBY: Nyota wa mchezo Aishi Salum Manula akieleza namna mchezo ulivyokuwa... FT: Azam FC 0-0 Simba SC Imeandaliwa na @rajjmsangi #MzizimaDerby (Feed generated with FetchRSS)
MZIZIMA DERBY: ''Simba walikuwa bora mwanzo kutuzidi'', Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge akizungumzia dakika 90 za mchezo uliomalizika dhidi ya Simba SC katika Dimba la Azam Complex. Amesema licha…
MZIZIMA DERBY: Ni mechi ipi ya 'Dabi ya Mzizima' ilichezwa siku mbili na sabab ilikuwa nini....???, Watu saba wa mwanzo watakaojibu kwa usahihi swali hilo, watajishindia tiketi ya kwenda kuushudia…
LALIGA kuendelea leo kwa mechi hizi. Kwa kifurushi chan shilingi 28,000 unatazama mechi hizi mbashaar kupitia AzamSports4HD. @laliga (Feed generated with FetchRSS)
MZIZIMA DERBY: “Kweli kumuona Feisal kwa 15000 Sikukuu ya Pasaka”? Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amewakaribisha mashabiki wa Simba SC na wapenda soka kwa ujumla katika dimba la…
Mechi za leo katika LALIGA Real Madrid wapo ugenini dhidi ya Real Mallorca. mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:15 jioni. Saa 4:00 usiku, Atletico watakuwa nyumbani wakiwakaribisha FC Barcelona. Michezo…
LEO Jumamosi usikose mahojiano maalum ya bondia Mfaume mfaume kupitia UFM Radio kuanzia saa 8:00 mchana. UFM,107.3 Dar, 96.5 Arusha, 98.7, Shinyanga, 101.7 Dodoma, 90.9 Musoma, 93.3 Kigoma #TheKingisBack #Narcos…
MZIZIMA DERBY: ''...Tunazitaka tena'', Meneja Mauzo na Masoko wa Azam FC, Ayubu Shelukindo akiwahamasisha mashabiki wa soka nchini kuungana na klabu hiyo katika shughuli ya uchangiaji damu wa hiyari ili…
NBC Premier League kuendelea leo Jumamosi kwa mechi tatu Je, nani kuondoka na alama tatu nani kudondosha kila kitu utashuhudia mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo…
#MzizimaDerby “….Azam FC ina saikolojia ya timu ndogo” Amri Kiemba anaeleza ni kwanini anaiona Azam FC kuwa na tabia za “timu ndogo”, akigusia hamasa ambayo huzisukuma Yanga na Simba kusaka…
#MzizimaDerby “….nilikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika ushindi wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar ugenini” Abdulhalim Humud anakumbushia ‘kitu’ ambacho anakikumbuka zaidi alipokuwa akiitumia Azam FC……
Raundi ya 18 NBC Premier League kuanza kupigwa leo Ijumaa. Je, timu gani kuchukua ama kudondosha alama tatu? Usikose kutazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
#MzizimaDerby “…sikuwahi kuvaa jezi ya Azam dhidi ya Simba” Amri Kiemba anakumbushia jinsi ‘alivyovuliwa’ jezi dakika za jiooooooooooni akiwa Azam FC, kabla ya kuikabili Simba. Je, Aprili 5, 2026, itakuwaje???…
MZIZIMA DERBY: Baadhi ya mashabiki wa Simba SC na Azam FC wameendelea kutambiana kuelekea mchezo wao wa ‘Mzizima Dabi’, huku kila upande ukijiamini kuwa timu yake itaibuka na ushindi na…
MZIZIMA DERBY: “….ni mechi iliyonipa matatizo, nikafungiwa na Simba” Nyota wa zamani wa Simba SC, Musa Hassan ‘Mgosi’ anaeleza ugumu wa dabi ya Mzizima huku akikumbushia jinsi ilivyowahi kumsababishia matatizo.…
“…Yanga is the best team”. Kikosi cha Yanga SC leo kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa KMC Complex kuelekea mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons,…
SIMBA SC vs COASTAL UNION: “…tunahitaji silaha yetu ya uhakika” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally aita mashabiki kwenye dimba la Meja Jenerali Isamuhyo kuisapoti timu katika mchezo…
COASTAL UNION | Baadhi ya mashabiki wa Coastal Union mkoani Tanga wamesema wamejiandaa kuhakikisha wanaondoka na ushindi mbele ya mwenyeji wa mchezo huo Simba SC. Mechi hiyo ni kesho kuanzia…
SIMBA SC | Baadhi ya mashabiki wa Simba SC wameeleza matumaini yao kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union wakisema hamasa hiyo ni kutokana na…
#MzizimaDerby Prince Dube alimwaga chozi baada ya kuifunga Simba bonge la goli .... Je, unaijua hiyooo...!!!??? Itazame hii, ilikuwa Oktoba 27, 2022. Basi ndio ujue uzito wa Dabi ya Mzizima.…
Mbio za Akili Alumni Marathon zitafanyika Aprili 06 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders Club Dar es salaam. Maandalizi ya mbio hizo yameendelea kupamba moto ambapo washiriki mbalimbali wamejitokeza eneo…
YANGA SC | Beki wa Yanga, Ibrahim Hamad Abdulla kuhusu afya yake anasema kwa sasa anaendelea, na kiungo Pacome Zouzoua anawatuliza mashabiki kuhusu mwenendo wa timu yao msimu akisema kinachotokea…
#MzizimaDerby Waya …waya….waya; Waya wa umeme waya…..!!! Je, inakukumbusha nini hii…??? Dabi ya Mzizima si mchezo…hii ilikuwa ni Februari 7, 2018 (Miaka minane iliyopita). Je, Aprili 5, 2026, itakuwaje??? Usikubali…
#FIFASeries Game imekwisha… Rwanda wanabaki na ubingwa wa Kundi la ‘Rwanda A’ FT: Rwanda 2-0 Estonia Je, una la kusema #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Estonia #Rwanda #RwandaEstonia (Feed generated with FetchRSS)
#NBCPL Azam FC iko mjini Singida na inaendelea kujifua kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya wenyeji wao Singida Black Stars, utakaopigwa Jumatano, Aprili 01, kwenye Dimba…
#FIFASeries: Aruba ndio mshindi kwenye kundi ‘B” huku Tanzania ikishika nafasi ya tatu. FT: Aruba 4-1 Liechtenstein Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #ArubaVsLiechtenstein #Aruba #Liechtenstein (Feed generated with FetchRSS)
#FIFASeries: Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema wana hisia mchanganyiko kutokana na kupoteza mechi moja na kushinda moja kwenye FIFA Series 2026 nchini Rwanda. Taifa Stars ilipoteza kwa goli1-0…
#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa mzuri mchezo ulikuwa kwa upande wetu,” Kiungo wa Taifa Stars, Kelvin Nashon anasema baada ya kupoteza dhidi ya Liechtenstein mioyo yao iligubikwa na majozi na leo walipswa…
UTEUZI WA KAIMU KATIBU MKUU CAF: Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemteua Samson Adamu raia wa Nigeria, kuwa Katibu Mkuu wa muda, kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa awali,…
#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa ni mgumu, lakini tumefuata maagizo ya mwalimu” Bakari Hussein Nyota wa Taifa Stars, Bakari Hussein ambaye ameitumikia timu hiyo kwa mara ya kwanza leo, amefunguka baada ya…
#MzizimaDerby ni ya moto siku zote…. Hii ni ile iliyopita ya Desemba 7, 2025; Je, unajua ijayo ya Aprili 5, 2026 itakuwaje?? Usikubali kupitwa na burudani ya aina hii… Lipia…
#WSL Arsenal kama kawaida yao…!! FT: Arsenal 5-2 Tottenham Burudani ilikuwa LIVE #AzamSports3HD #WomenSuperLeague #WSL #LigiKuuEnglandWanawake #Arsenal #Totenham #ArsenalTottenham (Feed generated with FetchRSS)
MAPUMZIKO | #WSL HT: Arsenal 3-1 Tottenham. Iko LIVE #AzamSports3HD #WomenSuperLeague #WSL #LigiKuuEnglandWanawake #Arsenal #Totenham #ArsenalTottenham (Feed generated with FetchRSS)
Timu ya Dar City imeendelea kung’ara kwenye Ligi ya Kikapu Afrika inayoendelea nchini Afrika Kusini kwa kushinda mchezo wake wa pili mfululizo, safari hii ikiwa ni zamu ya Nairobi City…
#SportPesaLeague: Goli la kujifunga la David Leon KIMUNGUI na header ya Rogers Ouma, ndiyo ushindi wa Kakamega Homeboyz wakiwa ugenini kwenye Dimba la Kasarani Annex, dhidi ya Posta Rangers. Magoli…
#FIFASeries Wenyeji wameanzia kwenye ‘4G’, mbele ya 'Prezidaa' wao, Paul Kagame. FT: Rwanda 4-0 Grenada Jumapili ni Tanzania vs Macau LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Rwanda #Grenada #RwandaGrenada (Feed generated…
90’ | #FIFASeries Rwanda 4-0 Grenada Iko LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Rwanda #Grenada #RwandaGrenada (Feed generated with FetchRSS)
75’ | #FIFASeries Rwanda 3-0 Grenada Iko LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Rwanda #Grenada #RwandaGrenada (Feed generated with FetchRSS)
MZIZIMA DERBY: “…hajawahi kufurukuta…tunahitaji kumpiga hata mara tano”. Mashabiki wa Azam FC wanasema mechi yon a Simba wameishamaliza…., wanasema Simba kwao ni kama muembe wa nyumbani…., wanasema wanamuamini kocha wao…
MZIZIMA DERBY: “…tarehe 5 hatuna msamaha…sasa tuna watu….walitufanya kitu mbaya wakati timu yetu mbovu”. Cheche za mashabiki wa Simba kuelekea Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, Aprili 5; Wenyewe…
NBC BANK: “…wakati tunaingia, ligi yetu ilikuwa namba 10 Afrika” Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC, ambao ni Benk ya Biashara ya NBC, wanatoa neno baada ya CAF kuitambua…
MZIZIMA DERBY | “…tuna wachezaji wengi majeruhi” Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anaeleza jinsi wanavyojiandaa na mechi mbili zilizo mbele yao ikiwemo Dabi ya Mzizima dhidi ya Simba, itakayopigwa…
MZIZIMA DERBY | “…ilishawahi kukaribia kutoa uhai wa mtu” Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabith Zakaria analeza ukubwa wa Dabi ya Mzizima kati ya Simba…
#FIFASeries “…tumecheza na timu ambayo haipendi kucheza” Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi aumizwa na matokeo akilia na matumizi ya nafasi, afichua alichowaambia wachezaji wakati wa mapumziko, asema hajapenda staili…
Tanzania imepanda hadi nafasi ya tano kwa ubora wa viwango vya soka Afrika kwa mujibu wa Shirkisho la Soka Afrika (CAF), ikiishusha Tunisia. Bodi ya Ligi Kuu kupitia kwa afisa…