Elimu ya utunzaji wa mazingira ya bahari inatajwa kuwanufaisha wavuvi wa pweza mkoani Tanga ambao wanasema wameshuhudia manufaa …
Elimu ya utunzaji wa mazingira ya bahari inatajwa kuwanufaisha wavuvi wa pweza mkoani Tanga ambao wanasema wameshuhudia manufaa ya aina mbalimbali kama walivyozungumza na Mariam Shedafa. Mhariri @moseskwindi (Feed generated…
Russia yaanza mazoezi ya nyuklia ya siku 3 huku Putin akitarajiwa nchini China kwa ziara ya siku mbili
Russia imezindua mazoezi makubwa ya silaha za nyuklia yanayohusisha makumi ya maelfu ya wanajeshi, huku mapigano na Ukraine yakizidi kuwa makali na Rais Vladimir Putin akielekea China kwa ziara ya…
Sheikh Zakzaky: Damu ya Imam Khamenei aliyeuawa shahidi itawaandama Wazayuni
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria amesema Imam Ali Khamenei aliyeuawa shahidi na damu yake safi vitaendelea kuuandama utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ni sawa na donda la…
Pasipoti zenye nguvu zaidi Duniani 2026
Katika miaka ya hivi karibuni, nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Ethiopia, Zambia, Zimbabwe, Lesotho, Somalia, Mauritania na São Tomé na Príncipe, zimeweka masharti ya viza kwa raia wa Nigeria
Intelijensia ya Iran yasambaratisha kundi la magaidi wa kitakfiri wenye uhusiano na Israel
Timu za upelelezi za Iran zimefanikiwa kusambaratisha seli nne za wanamgambo wa Kitakfri wenye mfungamano na utawala wa Israel katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran mkoa…
Intelijinsia ya Iran yasambaratisha kundi la magaidi wa kitakfiri wenye uhusiano na Israel
Timu za upelelezi za Iran zimefanikiwa kusambaratisha seli nne za wanamgambo wa Kitakfri wenye mfungamano na utawala wa Israel katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran mkoa…
Raundi ya 24 NBC Premier League inaanza leo Jumatano kwa mechi tatu kuchezwa na zote kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD
Raundi ya 24 NBC Premier League inaanza leo Jumatano kwa mechi tatu kuchezwa na zote kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama NBCPL mwezi mzima #NBCPL #Azamtvsports…
Kiongozi wa ISIS aliyelengwa na Marekani kaskazini mashariki mwa Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Tinubu alithibitisha tarehe 16 Mei kifo cha afisa mkuu wa Islamic State (IS), Abu Bilal al-Manuki (au al-Mainuki), wakati wa operesheni ya pamoja ya kijeshi na…
Arsenal wabeba ubingwa wa Ligi Kuu kufuatia sare kati ya Bournemouth na Manchester City
Bournemouth yaishangaza Manchester City kwa sare ya 1-1 huku Arsenal ikibeba ubingwa wa Ligi Kuu 2025/26, baada ya kusubiri kwa kipindi cha miaka 22.
Matukio 8 yaliyoipa Arsenal ubingwa wa EPL msimu huu
BBC inaangazia matukio muhimu yaliyosaidia kubadilisha Arsenal kutoka timu iliyokuwa inabezwa kwa kuukaribia ubingwa na mwishoni kupote hadi kuwa mabingwa wa ligi.
Arsenal mabingwa wapya EPL baada ya miaka 22
Baada ya kusubiri kwa miaka 22, Arsenal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL)...
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 20, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Arsenal yatwaa ubingwa EPL
Baada ya miaka 22 ya kusubiri, hatimaye Arsenal wamerejea rasmi kileleni mwa soka la England baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) msimu wa 2025/26.
Benni McCarthy: Kocha wa Harambee Stars apata mchongo BBC wa kuchanganua Kombe la Dunia 2026
Kocha mkuu wa Harambee Stars Benni McCarthy atajiunga na timu ya BBC ya uchanganuzi wa Kombe la Dunia la FIFA 2026. Michuwano itaandaliwa Marekani, Canada na Mexico.
Ronald Karauri aomboleza kifo cha ‘binti’ yake kupitia ujumbe wa kuhuzunisha
Mbunge wa Kasarani Ronald Karauri kwa uchungu mwingi anaomboleza kifo cha Sarah Magaki mwenye umri wa miaka 16, ambaye alimsaidia kupitia ufadhili wa masomo.
MCA wa Siaya wapata sababu tosha ya kumpiga ngeta James Orengo, waanza mchakato wa kukusanya saini
MCA wa Siaya watishia kumshtaki Gavana James Orengo kwa utovu wa nidhamu baada ya shambulio lake dhidi ya Gladys Wanga wa Homa Bay, wakiahidi kususia kazi.
Marekani yaogopa Ebola, yapiga Marufuku wasafiri kutoka nchi 3 za Afrika Mashariki
Angalau watu 130 wamefariki kutokana na ugonjwa huo, na visa 500 vilivyopo vimeripotiwa katika sehemu tofauti za DRC, Katibu Mkuu wa WHO alithibitisha.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita Mei.18.2026 amefungua rasmi mafunzo ya utoaji wa elimu ya uraia, utawala bora pamoja na ulinzi na usimamizi wa mali na rasilimali asilia…
Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro wamehimizwa kufanya maandalizi ya kupokea huduma ya umeme kwa kutandaza ny…
Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro wamehimizwa kufanya maandalizi ya kupokea huduma ya umeme kwa kutandaza nyaya kwenye nyumba zao (wiring) ili kujitayarisha na miradi inayoendela ya umeme…
Bunge SC yadhaminiwa vifaa vya michezo
DODOMA; Kampuni ya Smart Sports imedhamini vifaa vya michezo kwa timu ya Bunge SC ya michezo mbalimbali, ikiwa sehemu ya maandalizi ya mashindano mbalimbali ya michezo yakiwemo ya Jumuiya ya…
Wabuni mfumo wa kidijitali kubaini hewa hatarishi katika makazi
Katika hali ya kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa hali ya hewa jijini Dar es Salaam...
Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero kwa kushirikiana na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo na Mamlaka ya Hali ya Hew…
Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero kwa kushirikiana na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wanatekeleza mradi wa kuimarisha ustahimilivu na uwezo…
Naibu Waziri aitaka Tanesco kuimarisha huduma kidijitali kwa wateja
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amewataka Maafisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa...
RC Mwanza aagiza Sh milioni 111 ilipwe fidia wakazi Mwanza
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameiagiza Halmashauri ya jiji la Mwanza kulipa fidia ya ardhi ya thamani Sh milioni 111 kwa wakazi 26 wa mitaa wa Luchelele…
Mtanda ataka migogoro ya ardhi imalizike
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wakazi wa kata ya Luchelele pamoja na viongozi wa Halmashauri wa Jiji la Mwanza kumaliza migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikiathiri…
Yas yaongeza minara miwili ya 5G Arusha
Wakazi wa jiji la Arusha wanatarajiwa kunufaika na huduma bora zaidi za mawasiliano na intaneti...
Kutokana na Serikali ya Awamu ya Sita kuweka Sera rafiki za uwekezaji katika Sekta ya Madini, hasa kwa wawekezaji wa zawa, Wanan…
Kutokana na Serikali ya Awamu ya Sita kuweka Sera rafiki za uwekezaji katika Sekta ya Madini, hasa kwa wawekezaji wa zawa, Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wameeleza wanavyonufaika…
Sh405 bilioni kutekeleza vipaumbele sita Wizara ya Afya
Wizara ya Afya imeomba kuhidhinishiwa Sh405.89 bilioni kutekeleza vipaumbele sita ambayo...
Maiden Arusha Tourism Marathon sets stage for AFCON 2027 events
RUSHA: ARUSHA Region has begun organizing the first ever Tourism Marathon where athletes get to race inside one of the Northern Zone’s National Parks. The maiden Arusha Tourism Marathon is…
Imani za kishirikina zinavyokwaza mapambano dhidi ya fistula
Imani za kishirikina na hofu ya unyanyapaa zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazoathiri...
Madagascar: Karibu watu 70 wamelazwa hospitalini baada ya kula chakula chenye sumu
Watu 69 nchini Madagascar wamelazwa hospitalini baada ya kula chakula chenye sumu mwishoni mwa wiki iliyopita katika mji mkuu wa nchi hiyo Antananarivo. Hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini tukio hilo linaibua…
DC awaonya wafanyabiashara Njombe kupandisha bei ya mbolea
Njombe. Wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo wilayani Njombe wameonywa dhidi ya kupandisha bei...
Wanafunzi wa Veta waunda simu
Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (Veta) Mkoa wa Pwani kimeingia hatua za mwisho za...
Makundi ya timu 48 zitakazoshiriki michuano AFCON 2027 yanajulikana rasmi
Droo ya mechi ya michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2027) imefanyika leo Jumanne, Mei 19, jijini Cairo, na Makundi ya timu za soka zitakazoshiriki michuano ya Kombe…
Mikoa hii ijipange kwa upepo mkali kuanzia kesho
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza matarajio ya uwepo wa upepo mkali wa kilomita...
Rigathi Gachagua afichua kiasi William Ruto anadaiwa kupokea katika mkataba wa mafuta wa G-to-G
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua alizungumzia tatizo la mafuta, akidai kuwa Rais William Ruto anafaidkika. Alieleza jinsi bei ya mafuta inaweza kupunguzwa.
Mlinzi ahukumiwa kunyongwa kwa mauaji Karatu
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemhukumu kunyongwa hadi kufa Jacob Ndoole (23), aliyekuwa mlinzi...
Nyumba yawaka moto, 24 wanusurika
Mbeya. Wanafunzi 24 wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) wamenusurika kifo...
Serikali kuharakisha sera ya matumizi ya akili unde, yasisitiza maadili
Serikali imejipanga kuharakisha kukamilika kwa Sera ya matumizi ya Akili Unde (AI) ili ianze...
Kumekucha Mbeya Mpalamo Festival, wadau 2,500 kushiriki
JUMLA ya wadau wa utalii 2,500 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kushiriki Mpalano Festival, linalotarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Julai 6 hadi 7 mwaka huu katika fukwe…
Samia: Afrika iunganishe nguvu kwenye nishati ya nyuklia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Afrika inahitaji mifumo ya nishati iliyo ya uhakika, nafuu na...
Mamake Zuchu ajibu madai kwamba msanii huyo anatarajia mtoto wa kwanza na mumewe Diamond Platnumz
Mwimbaji wa Taarab nchini Tanzania Khadija Kopa amezungumzia fununu za ujauzito kuhusu bintiye, Zuchu na Diamond Platnumz na kueleza matumaini ya kupata mjukuu.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA – MEI 19, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA - MEI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Sudan: Kamanda mkuu wa FSR, Abu Lu Lu, arudishwa katika uwanja wa vita
Nchini Sudan, Abu Lu Lu, kamanda mkuu wa vikosi vya wanamgambo wa RSF, ambaye alipewa jina la utani la mchinjaji wa El-Fasher, amerudi mstari wa mbele. Kamanda huyu wa FSR…
Anko Nzala afichua alivyomnasa Mo Dewji kuigiza naye komedi
NYUMA ya pazia alichokifanya msanii wa vichekesho nchini, Aman Nzala ‘Anko Nzala’ kumshawishi mwekezaji na rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ kufanya naye kazi, chanzo…
Anko Nzala afichua alivyomnasa Mo Dewji kuigiza aye komedi
NYUMA ya pazia alichokifanya msanii wa vichekesho nchini, Aman Nzala ‘Anko Nzala’ kumshawishi mwekezaji na rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ kufanya naye kazi, chanzo…
#HABARI: Vijana zaidi ya elfu nane wanatarajiwa kukutana katika Tamasha la Tanzania ya thamani ambalo kauli mbiu yake ni “tunu y…
#HABARI: Vijana zaidi ya elfu nane wanatarajiwa kukutana katika Tamasha la Tanzania ya thamani ambalo kauli mbiu yake ni “tunu yetu”. Vijana wametakiwa kutumia majukwaa mbalimbali katika kujikwamua kiuchumi na…
Ebola nchini DRC: Kwa nini utambuzi ulicheleweshwa kwa mwezi mmoja
Nchini DRC, visa vya kwanza vilivyorekodiwa vya Ebola Bundibugyo huko Ituri vilianza Aprili 15, 2026. Mlipuko wa ugonjwa huo haukuthibitishwa rasmi hadi Mei 14. Kulingana na vyanzo mbalimbali, kuchelewa huku…