Skip to content
  • Tue. Jun 30th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026 Kombe la Dunia 2026: Jinsi Brazil mpya inavyoimarika na umuhimu wa Cunha
HABARI ZA KIPEKEE

Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao

June 30, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa

June 30, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026

June 30, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Kombe la Dunia 2026: Jinsi Brazil mpya inavyoimarika na umuhimu wa Cunha

June 30, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo
HABARI ZA KIPEKEE
Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo
Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao
HABARI ZA KIPEKEE
Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao
Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa
IDHAA YA DUNIA
Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
IDHAA YA DUNIA
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo
HABARI ZA KIPEKEE
Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo
Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao
HABARI ZA KIPEKEE
Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao
Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa
IDHAA YA DUNIA
Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
IDHAA YA DUNIA
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
HABARI ZA KIPEKEE

Jumatano, tarehe 20 Mei, 2026

May 20, 2026 mjombazecoder

leo ni Jumatano tarehe 3 Dhulhija 1447 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2027.

MWANANCHI

Ndugu wa wasichana waliotoweka Arusha, wamwangukia Rais Samia awasaidie

May 20, 2026 mjombazecoder

Sakata la kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa wasichana wawili, Kareen Didas (23) na...

TUKO SWAHILI NEWS

Video ya John Mbadi, Wandayi Wakiteta Kuhusu Gharama Kubwa ya Mafuta Bungeni Yaibuka Tena

May 20, 2026 mjombazecoder

Wakenya walishiriki video ya Mawaziri John Mbadi na Opiyo Wandayi wakiteta kuhusu bei ya mafuta bungeni kitambo huku Wakenya wakiandamana kuhusu gharama ya mafuta.

MWANANCHI

Waziri Mkuu ashtukia kuuzwa dhamana za wakopaji

May 20, 2026 mjombazecoder

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema mfumo wa benki wa kuuza dhamana za wakopaji...

MWANANCHI

Steve Nyerere: Twanga Pepeta kuandika historia mpya

May 20, 2026 mjombazecoder

Mratibu mkuu wa uzinduzi wa albamu mpya ya 16 ya Iwanga Pepeta, Steve Nyerere amesema mashabiki...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

FIFA2026: Fahamu miamba inayopewa nafasi kwenye fainali za mwaka huu

May 20, 2026 mjombazecoder

Wakati zikiwa zimesalia takribani wiki tatu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 kung’oa nanga kwenye mataifa ya Marekani, Canada na Mexico, RFI Kiswahili tunazimulika timu zinazopewa nafasi ya…

TUKO SWAHILI NEWS

Shule ya Upili ya Ambira yafungwa baada ya wanafunzi kuvuruga, kuharibu mali: “Tunataka mwakenya”

May 20, 2026 mjombazecoder

Shule ya Upili ya Wavulana ya Ambira imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kufanya ghasia, na kuharibu mali kutokana na madai ya uvujaji wa KCSE.

TUKO SWAHILI NEWS

Kwa nini Arsenal bado haiwezi kulibeba kombe la EPL licha ya kushindwa kwa Manchester City

May 20, 2026 mjombazecoder

Arsenal ilishinda taji la Ligi Kuu baada ya miaka 22, kutokana na sare ya Manchester City dhidi ya Bournemouth. Hata hivyo, watasubiri kabla ya kupokea kombe.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ebola nchini DRC: Marekani yapata sababu mpya ya kukosoa shirika la Afya Duniani, WHO

May 20, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio anaikosoa shirika la Afya Duniani, WHO, kwa “kuchelewa” kutambua mlipuko wa virusi vya Ebola unaoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Imechapishwa:…

ASTV TANZANIA

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Manchester United, Rio Ferdinand amesafiri ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) kueleekea bungen…

May 20, 2026 mjombazecoder

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Manchester United, Rio Ferdinand amesafiri ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) kueleekea bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko rasmi wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na…

MWANANCHI

Ajenda muhimu za kitaifa zinavyofichwa nyuma ya kivuli cha uchaguzi

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Hatima ya afisa wa zamani wa ujasusi wa Austria anayeshtakiwa kwa kuipa taarifa Urusi kujulikana

May 20, 2026 mjombazecoder

Hukumu dhidi ya afisa wa zamani wa idara ya ujasusi anayeshtakiwa kwa kuuza taarifa kwa Urusi inatarajiwa leo Jumatano katika kesi ambayo imechafua sifa ya Austria. Imechapishwa: 20/05/2026 – 08:54…

MWANANCHI

Viunzi vinavyomkabili Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Xi Jinping na Vladimir Putin wakaribisha hali ‘isiyotetereka’ ya uhusiano wa China na Urusi

May 20, 2026 mjombazecoder

Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladimir Putin wamethibitisha leo Jumatano nguvu ya uhusiano kati ya mataifa hayo mawili licha ya msukosuko wa kimataifa, chini ya wiki…

TUKO SWAHILI NEWS

Mamake Wema Sepetu Asema Diamond Platnumz Alimtumia Bintiye Kujinufaisha

May 20, 2026 mjombazecoder

Mama wa Wema Sepetu amesema hakuwahi kuafiki mahusiano ya binti yake na msanii Diamond Platnumz, akidai msanii huyo alikuwa akijitafutia umaarufu.

TUKO SWAHILI NEWS

Kaka yake Rachel Wandeto azungumza kwa uchungu baada ya kifo chake, atuma ujumbe mzito kwa serikali

May 20, 2026 mjombazecoder

Familia ya Rachel Wandeto imezungumza baada ya kifo chake cha kusikitisha. Ndugu yake aliomba haki, akisisitiza anamuunga mkono Rais Ruto katikati ya huzuni yao.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

“Mtesaji maarufu,” mkurugenzi wa zamani wa gereza la Libya anakabiliwa na mashtaka ya ICC

May 20, 2026 mjombazecoder

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu imefungua vikao vya mashtaka kwa Khaled Mohamed Ali el-Hishri, mmoja wa makamanda wa gereza la Mitiga nchini Libya. El-Hishri anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi…

MWANANCHI

UCHAMBUZI WA MJEMA: Kwa aina hii ya vyama, bora tuwe na mgombea binafsi

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

TUKO SWAHILI NEWS

Magazeti ya Kenya: Mgomo wa matatu wawaanika ‘wataalamu’ wa ODM waliokabidhiwa serikali ya Ruto

May 20, 2026 mjombazecoder

Mgogoro wa mafuta wawaanika viongozi wa ODM katika serikali ya msingi mpana ya Ruto. Mbadi na Wandayi wanajitahidi kutoa suluhu, wakifichua changamoto mbele yao.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

EU: Makubaliano yafikiwa – chini ya shinikizo – kutekeleza makubaliano ya biashara na Marekani

May 20, 2026 mjombazecoder

Wabunge wa Bunge la Ulaya na nchi wanachama wa EU wamefikia makubaliano ya muda ya kutekeleza makubaliano ya biashara yaliyohitimishwa msimu uliopita wa joto na Marekani, ofisi ya rais wa…

MWANANCHI

KONA YA MALOTO: Trump anaiua kiuhakika sera ya nje ya Marekani

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Bolivia: Washington yaita maandamano dhidi ya rais Rodrigo Paz ‘mapinduzi ya umma’

May 20, 2026 mjombazecoder

Maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali nchini Bolivia ni “mapinduzi ya umma,” Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza siku ya Jumanne, akielezea uungaji mkono wake kwa…

MWANANCHI

Mambo 10 yaliyosalia mikononi mwa Diamond

May 20, 2026 mjombazecoder

Mwanamuziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz amefanikiwa kuweka rekodi nyingi katika muziki...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ebola nchini DRC: Kuanzia Mongbwalu hadi Bunia, jinsi mwitikio dhidi ya virusi unavyopangwa

May 20, 2026 mjombazecoder

Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameanza miongozi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Ebola. Mkoa huu wa kaskazini mashariki ndio kitovu…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Togo: Ruksa kwa raia wote wa nchi za Afrika kuingia Togo bila visa

May 20, 2026 mjombazecoder

Hakuna visa zaidi zinazohitajika kuingia Togo. Raia wa nchi zote za Afrika sasa wameondolewa masharti ya visa kwa kukaa nchini humo hadi siku 30. Tangazo hili melitolewa katika taarifa rasmi.…

ASTV TANZANIA

Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 20, 2026 kwenye

May 20, 2026 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 20, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)

MWANANCHI

Mtihani kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Viongozi wa nchi za Ghuba wagawanyika kuhusu mchakato wa kidiplomasia na Iran

May 20, 2026 mjombazecoder

Kulingana na Rais wa Marekani, Donald Trump, ni kwa ombi la falme za Kiarabu za Ghuba kwamba vita kati ya Iran na Marekani bado havijaanza tena. Rais wa Marekani alitangaza…

IDHAA YA DUNIA

WARIDI WA BBC: ‘Nina sehemu mbili za uke’

May 20, 2026 mjombazecoder

Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.

IDHAA YA DUNIA

WARIDI WA BBC: ‘Nina uke mara mbili na sijawahi kupata hedhi’

May 20, 2026 mjombazecoder

Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

DRC: Upinzani waajaribu kuungana dhidi ya mabadiliko ya katiba

May 20, 2026 mjombazecoder

Upinzani nchini DRC unajaribu kuungana dhidi ya marekebisho ya katiba. Mnamo Mei 6, 2026, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Rais Félix Tshisekedi alifungua mlango wa muhula wa tatu…

MWANANCHI

NIKWAMBIE MAMA: Bora niwe mwalimu au mbunge?

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

HABARI ZA KIPEKEE

Arsenal yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya Man City kulazimishwa sare na FC Bournemouth

May 20, 2026 mjombazecoder

Hatimaye baada ya miaka 22 ya ukame, Arsenal au ukipenda waite The Gunners wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2025-26 baada ya Man City kulazimishwa sare…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Wanajeshi wa Rwanda kuendelea na oparesheni zao nchini Msumbiji

May 20, 2026 mjombazecoder

Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe, amesema nchi ya Msumbiji imefanikiwa kupata fedha kwa ajili ya vikosi vya Kigali vilivyoko nchini humo kuendelea na operesheni za kijeshi…

MWANANCHI

Chadema, Magereza watofautiana afya ya Lissu mahabusu

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

MWANANCHI

Sintofahamu afya ya Lissu mahabusu

May 20, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Nigeria na Marekani zadai kuwauwa magaidi 175

May 20, 2026 mjombazecoder

Nigeria na Marekani zimedai kutekeleza mashambulio ya pamoja yaliyoua zaidi ya wanajihadi wa kiislamu 175 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, akiwemo kiongozi wa pili wa juu wa kundi la Islamic…

IDHAA YA DUNIA

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, akutana na Rais wa China Xi Jinping

May 20, 2026 mjombazecoder

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amekutana na Rais wa China Xi Jinping siku chache tu baada ya ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump.

ASTV TANZANIA

Wadau mbalimbali wa siasa na masuala ya haki jinai nchini wamepongeza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Gha…

May 20, 2026 mjombazecoder

Wadau mbalimbali wa siasa na masuala ya haki jinai nchini wamepongeza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa…

MWANANCHI

FYATU MFYATUZI: Tunachukia mabeberu, tunafanya ubeberu

May 20, 2026 mjombazecoder

Tokana na ufyatu, leo naja kifalsafa kama mwanafalsafa nguli ambaye hajawahi kutokea...

HABARI ZA KIPEKEE

Jeshi la Iran: Medani mpya za mapambano zitafunguliwa ikiwa adui atatumbukia katika mtego wa Israel

May 20, 2026 mjombazecoder

Jeshi la Iran limeonya kuwa iwapo adui ataanguka tena katika mtego wa Israel na kuanzisha uchokozi mwingine dhidi ya Iran, jeshi la taifa litafungua medani mpya ya mapambano kwa kutumia…

HABARI ZA KIPEKEE

Uganda yawaweka karantini zaidi ya watu 100 huku WHO ikitoa tahadhari kuhusu kasi ya Ebola

May 20, 2026 mjombazecoder

Serikali ya Uganda inasema zaidi ya watu 100 wamewekwa karantini huku maafisa wa afya wakijitahidi kudhibiti mlipuko nadra wa Ebola unaohusishwa na aina ya virusi vya Bundibugyo.

TUKO SWAHILI NEWS

NPS Yavunja ukimya kuhusu OCS wa Central Police, yaelezea kwa nini hatafikishwa mahakamani

May 20, 2026 mjombazecoder

Inspekta Mkuu Dishen Angoya alikamatwa kwa madai ya kuwaachilia huru washukiwa 64 wa maandamano kuhusu bei ya mafuta; uchunguzi unaendelea ila afya yake inatia hofu.

HABARI ZA KIPEKEE

Kulegeza kamba mara kwa mara Trump, ishara ya kuemewa mbele ya Iran

May 20, 2026 mjombazecoder

Pars Today - Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mara ya kumi na moja katika kipindi cha wiki chache tu, amerudia tena majigambo yake ya kuishambulia Iran lakini baadaye anatafuta…

TUKO SWAHILI NEWS

Arsenal: Ni kiasi gani cha pesa ambacho Gunners watapata kwa kutwaa ubingwa EPL

May 20, 2026 mjombazecoder

Arsenal wametawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya 2025/26, wakipata taji la kihistoria lenye faida za kifedha, ushawishi ulioongezeka, na mustakabali mzuri mbele.

ASTV TANZANIA

Elimu ya utunzaji wa mazingira ya bahari inatajwa kuwanufaisha wavuvi wa pweza mkoani Tanga ambao wanasema wameshuhudia manufaa …

May 20, 2026 mjombazecoder

Elimu ya utunzaji wa mazingira ya bahari inatajwa kuwanufaisha wavuvi wa pweza mkoani Tanga ambao wanasema wameshuhudia manufaa ya aina mbalimbali kama walivyozungumza na Mariam Shedafa. Mhariri @moseskwindi (Feed generated…

HABARI ZA KIPEKEE

Russia yaanza mazoezi ya nyuklia ya siku 3 huku Putin akitarajiwa nchini China kwa ziara ya siku mbili

May 20, 2026 mjombazecoder

Russia imezindua mazoezi makubwa ya silaha za nyuklia yanayohusisha makumi ya maelfu ya wanajeshi, huku mapigano na Ukraine yakizidi kuwa makali na Rais Vladimir Putin akielekea China kwa ziara ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Sheikh Zakzaky: Damu ya Imam Khamenei aliyeuawa shahidi itawaandama Wazayuni

May 20, 2026 mjombazecoder

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria amesema Imam Ali Khamenei aliyeuawa shahidi na damu yake safi vitaendelea kuuandama utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ni sawa na donda la…

IDHAA YA DUNIA

Pasipoti zenye nguvu zaidi Duniani 2026

May 20, 2026 mjombazecoder

Katika miaka ya hivi karibuni, nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Ethiopia, Zambia, Zimbabwe, Lesotho, Somalia, Mauritania na São Tomé na Príncipe, zimeweka masharti ya viza kwa raia wa Nigeria

HABARI ZA KIPEKEE

Intelijensia ya Iran yasambaratisha kundi la magaidi wa kitakfiri wenye uhusiano na Israel

May 20, 2026 mjombazecoder

Timu za upelelezi za Iran zimefanikiwa kusambaratisha seli nne za wanamgambo wa Kitakfri wenye mfungamano na utawala wa Israel katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran mkoa…

Posts pagination

1 … 125 126 127 … 1,019

Recent Posts

  • Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo
  • Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao
  • Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa
  • Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
  • Kombe la Dunia 2026: Jinsi Brazil mpya inavyoimarika na umuhimu wa Cunha

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARI ZA KIPEKEE

Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Wasomi wanawake wa Iran wataka Marekani na Israel ziwajibishwe kwa jinai zao

June 30, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa

June 30, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026

June 30, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS