Minister urges stronger customs role
ZANZIBAR: CUSTOMS authorities have been urged to strengthen their role in protecting national economies while facilitating legitimate trade amid rapid changes in global commerce driven by technology and AI. This…
Serikali yaja na mpango mpya kuboresha mfumo wa stakabadhi ghalani
Dodoma. Waziri MKuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inapanga kufanya maboresho katika...
TZ records sharp rise in honey exports
DODOMA: THE volume of Tanzanian honey exports has increased by 67.85 per cent over the past year, reflecting continued growth in the beekeeping sector and rising competitiveness of the product…
Je, Aliko Dangote kuridhia kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga
Picha katika Ikulu ya Tanzania zimemuonesha Bilionea wa Afrika Aliko Dangote akikutana na rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hii leo Jumamosi.
Martha Karua alinganisha utawala wa Ruto na enzi ya Moi huku bei ya mafuta ikizidi kupanda
Kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua amelinganisha utawala wa Rais Ruto na enzi ya Moi baada ya kupanda kwa bei za mafuta hivi karibuni, akinukuu makalaya 1997.
Uwanja Majengo Moshi kujengwa kwa Sh2.1 bilioni
Moshi. Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imesaini mkataba na Kampuni ya Sibstone Limited wa...
Uhondo wa mechi 104 Kombe la Dunia 2026 mbashara Azam TV
Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha...
Mama aliyekuwa akitarajia pacha ajifungua watoto wanne: “Sikutarajia”
Mama wa mtoto mmoja sasa ni mama ya watoto watano hii ni baada ya kujifungua mapacha wanne. Rachel alifunguka kuhusu safari yake ya kihisia na yenye changamoto tele.
Kwa nini UAE imekuwa na wasiwasi kuhusu kufichuliwa safari ya Netanyahu huko Abu Dhabi?
Kufichuliwa kwa safari ya Netanyahu huko UAE wakati wa vita vya kichokozi vya Marekani na utawala haramu wa Israel dhidi ya Iran kumewafanya watawala wa UAE wawakasirikie sana wenzao wa…
Kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la Islamic State ameuawa Nigeria
Kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Islamic State ameuawa katika oparesheni ya pamoja na jeshi la Marekani na Nigeria Magharibi ya taifa hilo la Afrika Magharibi.…
Chalinze yanunua Gereda la Sh1.2 bilioni kuondoa gharama za ukodishaji
Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani imenunua Gereda mpya yenye thamani ya Sh1.2...
#HABARI: Zaidi ya shilingi milioni 167.7 fedha za Serikali zilizotumika kinyume na matumizi mkoani Singida zimerejeshwa serikali…
#HABARI: Zaidi ya shilingi milioni 167.7 fedha za Serikali zilizotumika kinyume na matumizi mkoani Singida zimerejeshwa serikalini baada ya ufuatiliaji wa fedha hizo ambazo ni za utekelezaji miradi mbalimbali ya…
Ida Odinga amjibu John Mbadi kuhusu kauli yake ya “Baba yuko wapi sasa”: “Hamna anayeishi milele”
Mama Ida Odinga amjibu Waziri wa Hazina John Mbadi kuhusu urithi wa Raila Odinga, akisisitiza kwamba viongozi wakuu bado 'hawa hai' katika kumbukumbu zetu.
Ndani ya Boksi: Kuna Kiba, kuna Mondi, kuna nyama choma
Kiba aliupa kisogo muziki wake. Kabla hajainuka upya na kukaza mpaka leo. Kabla hajajulikana...
Kindiki amkingia kifua Ruto kuhusu bei ya mafuta, asema serikali inajitahidi kuweka mikakati kabambe
Naibu Rais Kithure Kindiki ameitetea serikali ya Kenya Kwanza dhidi ya mgogoro wa mafuta duniani, akisisitiza kupunguzwa kwa VAT na kuhimiza uvumilivu.
Azam TV yaweka rekodi, kuonyesha mechi zote 104 Kombe la Dunia
Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha mbashara mechi zote 104 za Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico.
WCO meeting calls for efficient tax, customs systems in driving sustainable economy
ZANZIBAR: THE Golden Tulip Airport Hotel in Zanzibar this week became a hub for regional customs and trade dialogue as delegates gathered for the World Customs Organization (WCO) Eastern and…
Njia tatu za kupunguza kasi ya kuzeeka kwa ubongo
Kipindi chetu cha "maisha yenye afya" - yaani, idadi ya miaka ambayo watu hutumia kufurahia afya njema - inapungua katika sehemu nyingi za dunia.
Minada kichocheo wakulima wa kahawa
KAGERA: Wadau wa kahawa mkoani Kagera kupitia kikao cha wadau wa zao hilo wamepongeza mabadiliko ya kimfumo ya ununuzi kwa njia ya mnada na kudai kuwa mfumo huo umeongeza uwazi…
Baba yake Kimani Mbugua aomba msaada baada ya kufungwa jela miezi 4 baada ya kifo cha mwanawe
Baba yake Kimani Mbugua, Dedan, anaomba msaada akiwa gerezani, akidai hana hatia katika mashtaka ya ulaghai miezi kadhaa baada ya kifo cha kusikitisha cha mwanawe.
Govt targets 308 mining sites in rural electrification drive
DODOMA: THE government plans to supply electricity to 308 small-scale mining sites across the country by June 2027 under an ongoing initiative aimed at improving productivity and reducing operational costs…
Over 72pc of youth remain low-skilled, House told
DODOMA: TANZANIA is facing a major youth skills gap, with only 3.6 per cent of young people possessing high-level skills against the national target of 12 per cent, august House…
Jumamosi, tarehe 16 Mei, 2026
Leo ni Jumamosi tarehe 28 Dhulqaada 1447 Hijria sawa na tarehe 16 Mei 2026.
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Liverpool yawalenga Diomande, Nusa na Barcola msimu ujao
Liverpool wana imani na mshambuliaji Alexander Isak, 26, na wanamtafuta winga wa Ivory Coast, 19, Yan Diomande na mshambuliaji wa Norway Antonio Nusa, 21,
Tanzania unveils AI tourism chatbot
DODOMA: THE government has unveiled an Artificial Intelligence (AI) powered tourism platform capable of serving visitors in more than 56 international languages, in a major digital transformation expected to reshape…
Kwa nini baadhi ya majengo huegama bila kuanguka
Kwa kawaida, majengo huinama kutokana na msingi wake kuzama au kusogea upande mmoja, mara nyingi kwa sababu ya udongo laini, maji chini ya ardhi, au makosa ya ujenzi.
Dar markets key sectors to Moscow
ARUSHA: TANZANIA has unveiled a range of strategic investment sectors for Russian investors, identifying them as key areas capable of driving stronger economic cooperation between the two countries. The sectors…
Tourism revenues soar
DODOMA: TANZANIA earned 4.4 billion US dollars (about 11.88tri/-) from tourism in 2025 as visitor numbers surged to nearly six million, reinforcing the sector’s position as the country’s second-largest foreign…
Banks urged to deepen inclusion as 78pc remain unbanked
ARUSHA: DESPITE strong growth in the country’s banking industry in recent years, nearly 78 per cent of the population still remains outside the formal banking system. This prompting government calls…
Israel na Lebanon zakubaliana kuongeza muda wa usitishaji mapigano kwa siku 45
Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani imesema kuwa duru ya nne ya mazungumzo kati ya Lebanon na Israel itafanyika tarehe 2 na 3 mwezi wa Juni
Chege na warembo damudamu
Staa wa Bongofleva, Chege ni kati ya wanamuziki wanaounda kundi maarufu nchini la TMK Wanaume...
Nani aliyejenga Al-Kaaba
Kaaba, iliyoko katikati ya Msikiti Mkuu katika mji wa Makka, ni sehemu takatifu zaidi kwa Waislamu na ndiyo eneo ambalo Waislamu huelekea wanaposwali.
Magazeti ya Kenya: Ruto ajipiga kifua kuhusu ‘2Tam’ huku akijiandaa kwa miereka na upinzani 2027
Magazeti ya Kenya mnamo Mei 16 yanajadili hasira ya umma kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, ubabe wa kisiasa baada ya chaguzi ndogo, na habari nyinginezo.
Taraji P. Henson ampa maua bibi yake wa miaka 102
Mwigizaji wa Marekani, Taraji P. Henson (55), ameeleza jinsi bibi yake mwenye umri wa miaka...
Winnie Odinga amlipukia John Mbadi, amwambia Hazina ya Fedha si jukwaa la siasa: “Na si mali yako”
Mbunge wa EALA Winnie Odinga amemkosoa Waziri John Mbadi kwa kuiingiza Hazina ya Kitaifa katika siasa kutokana na kupanda kwa deni, bei ya mafuta, na uhaba wa ajira.
Ruth Odinga awashangaza waombolezaji Kisii baada ya kufichua Seneta Onyonka aliwahi kuwa mpenzi wake
Ufichuzi wa Ruth Odinga ulikuja wiki moja tu baada ya Onyonka kufichua kwamba alikuwa na watoto 12 na wake kadhaa, akiwemo kamishna wa zamani wa IEBC Roselyn Akombe.
Osoro apigwa na butwaa Kisii, akatiza hotuba baada ya waombolezaji kuukataa mchango wa pesa za Ruto
Mbunge wa Mugirango Kusini Sylvanus Osoro alizomewa Ijumaa na waombolezaji baada ya kutangaza kuwa ameleta mchango wa Rais Ruto kwa Seneta Richard Onyonka.
Gradine Toto: Kutimuliwa jeshini hadi kutoa wimbo ‘Mayday Rachel’
‘Mayday Rachel’ ni jina la wimbo wa mwanamuziki Gradine Dulo ‘Gradine Toto’ ambaye ameuteka...
Kamishna wa zamani IEBC Roselyn Akombe atua Kenya kuhudhuria mazishi ya mamake Seneta Onyonka
Kamishna wa Zamani wa IEBC Roselyn Onyonka amemwomboleza mama wa Seneta Richard Onyonka, wiki moja baada ya seneta huyo kufichua kwamba yeye ni mmoja wa wake zake.
Wakati tamaduni nyingi za Kiafrika zikiendelea kufunikwa na usasa, jamii ya Wahehe wa Mkoa wa Iringa bado inaendelea kushikilia …
Wakati tamaduni nyingi za Kiafrika zikiendelea kufunikwa na usasa, jamii ya Wahehe wa Mkoa wa Iringa bado inaendelea kushikilia vazi lao la asili kama alama ya historia, heshima na utambulisho…
Ebola yaibuka tena nchini DRC, WHO yaimarisha hatua za kukabiliana na mlipuko
Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza kuisaidia kikamilifu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC baada ya kuthibitishwa kwa mlipuko mpya wa ugonjwa hatari wa Ebola katika jimbo la Ituri, kaskazini…
Sheikh Qassim: Imamu Khamenei alirejesha Umma kwenye Uislamu halisi
Mwanazuoni mkuu wa Bahrain, Ayatullah Sheikh Isa Qassim amemsifu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Imam Ali Khamenei, kama "mtu aliyerudisha Umma kwenye Uislamu halisi."
Araqchi: Ubadilishanaji wa teknolojia na rasilimali watu ufanyike bila vikwazo kati ya wanachama wa BRICS
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa BRICS kwamba: Ubadilishanaji wa teknolojia na rasilimali…
Mashirika ya Kiislamu ya Marekani: Warepublican wamegeuza vikao vya Kongresi kuwa silaha dhidi ya Waislamu
Mashirika ya Kiislamu nchini Marekani yametangaza kwamba vikao vya Kongresi, ambavyo wabunge wa Republican wametangaza kuwa lengo lake ni kuondoa Sharia nchini Marekani, vimekuwa silaha dhidi ya Waislamu waliowachache kwa…
Hamas: Quds na Msikiti wa Al-Aqsa ndio utambulisho wa Palestina
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba uvamizi wa walowezi wa Kizayuni na kufanya "maandamano ya bendera" huko Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al-Aqsa ni majaribio yaliyoshindwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 16, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Masauni: Sera haitoshi uhifadhi wa mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema usimamizi na uhifadhi wa...