Vita ya kupanda daraja Zanzibar, Raskazone yaipumulia Black Sailor
LICHA ya Raskazone inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Sharpboys, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Haji Kombo Haji amelia na baadhi ya…
Fountain Gate yasaini dili nono na PigaBet
DAR ES SALAAM; TIMU ya Fountain Gate imeingia mkataba wa miaka minne na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet kuwa mdhamini mkuu ili kuimarisha ushindani kwenye Ligi Kuu Tanzania…
Iran, Israel zazidisha mashambulizi ya makombora
MAPIGANO kati ya Iran na Israel yameendelea huku pande hizo zikishambuliana kwa makombora na droni. The post Iran, Israel zazidisha mashambulizi ya makombora first appeared on HabariLeo.
ACT Wazalendo yalaani Jambo TV kufungiwa siku 90
Chama cha ACT Wazalendo, kimelaani uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wa...
Robert Munis: Kipaumbele ni kuinusuru Barberian FC
MAKAMU Mwenyekiti mpya wa Barberian FC, Robert Munis amesema baada ya kukabidhiwa wadhifa huo muhimu kikosini humo, kwa sasa kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha anainusuru timu hiyo isishuke daraja…
Gunners FC kurejea kwa kasi, kocha Wandiba afichua mkakati
WAKATI Gunners FC ikijiandaa na mechi ya Ligi ya Championship dhidi ya Mbuni FC ya Arusha itakayopigwa Kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, Aprili 18, 2026, kocha wa timu hiyo,…
Adeyum: Bigman FC Bado Ina nafasi Championship
BEKI wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu, bado wana fursa ya kumaliza nafasi tano za juu katika msimamo wa…
Three arrested over bodaboda rider murder
DODOMA: POLICE in Dodoma are holding three suspects in connection with the murder of a bodaboda rider, Omary Bakari (21), who was allegedly killed in a robbery incident. According to…
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza mkakati mpya wa kuimarisha afya za wananchi kwa kuhakikisha elimu ya afya inawafikia …
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza mkakati mpya wa kuimarisha afya za wananchi kwa kuhakikisha elimu ya afya inawafikia wananchi moja kwa moja kupitia huduma ya nyumba kwa nyumba. Akizungumza…
Vyombo vya Ulinzi na Usalama: Nguzo ya amani, utulivu na maendeleo ya taifa
KATIKA muktadha wa maendeleo ya taifa lolote lile, amani, utulivu na usalama ni misingi isiyoweza kutenganishwa na ustawi wa jamii. Bila uwepo wa mazingira salama, ni vigumu kwa wananchi kushiriki…
Ethics body calls for stronger media role
DODOMA: The Ethics Secretariat has called on the media to intensify its role in promoting integrity, accountability and ethical conduct among public leaders, noting that journalists are key partners in…
Government rescues 5,353 street children
DODOMA: THE government has rescued 5,353 children living and working on the streets across the country, Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dr Dorothy Gwajima, said in…
Experts: Media play key role in promoting peace, unity and reconciliation
JOURNALISM is a powerful force that can either unite a nation or quietly tear it apart, experts have warned, urging media practitioners to embrace their responsibility in promoting peace and…
CCTV, privacy and the cost of misunderstanding the law
IN the past few days, I have followed carefully and with a sense of professional responsibility the public conversation that emerged after my presentation at the TBC Washitiri Meeting in…
Msichana wa Murang’a Alazwa Hospitalini Baada ya Jaribio la Kukumbatia Mti kwa Siku 7 Kumlemea
Harakati za Cynthia Njeri Mburu za kukumbatia miti huko Murang'a zilikamilika baada ya saa 128 kutokana na uchovu uliompelekea kukimbizwa hospitalini kwa matibabu.
BoT keeps key rate at 5.75pc
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) has maintained its central bank rate (CBR) steady at 5.75 per cent for the second quarter this year, marking a fourth consecutive…
No to elephant culling proposal, MPs told
DODOMA: THE government has intensified efforts to curb destructive elephant raids by expanding rapid-response centres in wildlife-prone regions, Prime Minister Mwigulu Nchemba told Parliament yesterday, while ruling out proposals to…
Kudos Govt for AFCON preps
DAR ES SALAAM: TANZANIA is co-hosting the Africa Cup of Nations (AFCON) 2027 along with neighbours Kenya and Uganda. The main biennial international men’s association football competition in Africa is…
Una uelewa wa kutosha kuhusu usonji?
Una uelewa wa kutosha kuhusu usonji? Unafahamu kuwa usonji sio ugonjwa wala sio ulemavu? Ungana na @esterbella_malisa aliyezungumza na @drisaacmaro anayetolea ufafanuzi mambo yote hayo. Mhariri @moseskwindi (Feed generated with…
Tanzania records strong investment growth in third quarter
DAR ES SAALAM: TANZANIA has continued to record remarkable progress in attracting investment, with 177 projects worth 1,122.09 million US dollars registered in the January–March quarter of the 2025/2026 financial…
Italia yasaka mrithi wa Gattuso akijiandaa kujiuzulu
Makocha hao ni Roberto Mancini, Antonio Conte, Jose Mourinho na Massimiliano Alegri.
PM outlines plan to complete tarmac roads
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba yesterday said the government remains committed to completing all remaining inter-regional tarmac roads, noting that the country is close to achieving full national connectivity through…
Wakristo duniani leo wanajumuika katika ibada maalumu ya Ijumaa Kuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Ijumaa ya mwisho ya Mfungo …
Wakristo duniani leo wanajumuika katika ibada maalumu ya Ijumaa Kuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Ijumaa ya mwisho ya Mfungo wa Kwaresma hata hivyo si kila mmoja anaifahamu asili ya siku…
#GIRLSCODE: BEFORE YOU SAY YES…….ZINGATIA YAFUATAYO
#GIRLSCODE: BEFORE YOU SAY YES.......ZINGATIA YAFUATAYO (Feed generated with FetchRSS)
TRA nets 9.31tri/- to post strong third quarter revenue surplus
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has delivered another standout performance, exceeding its revenue collection targets in the third quarter of the 2025/26 financial year, netting 9.31tri/- between…
Lati Lelelit: Wakazi wa Samburu waandamana kumtetea gavana baada ya mvurugano wa seneti
Wakazi Samburu waliandamana Maralal baada ya dhuluma dhidi ya Gavana Lati Lelelit katika Seneti. Hisia ziliongezeka huku waandamanaji wakidai heshima na uwajibikaji.
‘No escape from global shocks’
PM says govt is taking firm measures to safeguard development agenda DODOMA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has said the government has completed an initial assessment of the economic impact…
Magazetini, Ijumaa Aprili 3: Ndani ya Mkutano wa Uhuru na Gachagua, Viongozi Wengine wa Upinzani
Mnamo Ijumaa, Aprili 3, magazeti ya Kenya yaliangazia usuhuba mpya na muungano wa kisiasa kati ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta na DP Rigathi Gachagua.
Tanzania ilivyopunguza vifo vya uzazi kwa kinamama
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikipambana na muuaji wa kimya kimya bila mafanikio huku...
DRC: Waziri wa afya atangaza kumalizika kwa tahadhari dhidi ya mlipuko wa Mpox
Karibu miezi minne iliyopita, mamlaka ya Kongo ilitangaza kmalizika kwa ugonjwa wa Ebola nchini. Siku ya Alhamisi hii, Aprili 2, 2026, tahadhari ya kitaifa kwa Mpox iliondolewa. Mlipuko huo ulitangazwa…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Aprili 3, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Aprili 3, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Afisa mkuu wa ujasusi wa Urusi ameuawa pwani ya Libya
Huu ni uchunguzi wa kipekee wa RFI kuhusu vita vya vinavyoendelea katika bara la Afrika kati ya Kyiv na Moscow nchini Libya. Uchunguzi huu unafanyika kwa siri na unazingatia maslahi…
Taifa Gas yalinda watumiaji bei ya gesi ya kupikia ikipaa
Wakati bei ya gesi ya kupikia (LPG) ikiendelea kupanda katika soko la dunia, kampuni ya Taifa...
Waziri Kapinga: Kiwanda cha vifungashio kitachochea ajira
DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema uanzishwaji wa kiwanda kipya cha kutengeneza vifungashio unaofanywa na Kampuni ya SBC Tanzania Ltd kutachochea ajira kwa vijana mikoa…
Haiti: Wanajeshi wa kwanza cha kikosi kipya cha kimataifa cha kupambana na magenge wawasili
Nchini Haiti, mpango wa kutumwa kwa Kikosi cha kupambana dhidi ya Magenge (FRG) umeanza kutekelezwa. Ujumbe wa kwanza kutoka Chad umewasili mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince tangu siku ya Jumatano,…
#MzizimaDerby “….Azam FC ina saikolojia ya timu ndogo”
#MzizimaDerby “….Azam FC ina saikolojia ya timu ndogo” Amri Kiemba anaeleza ni kwanini anaiona Azam FC kuwa na tabia za “timu ndogo”, akigusia hamasa ambayo huzisukuma Yanga na Simba kusaka…
Waliokuwa wagombea urais wasisitiza maridhiano, wachambuzi hoja zatofautiana
Baadhi ya waliokuwa wagombea urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 kutoka...
Bipolar, ugonjwa wa akili unaohitaji uelewa zaidi kwa jamii
Machi 30, 2026, dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Akili ujulikanao kama...
Cuba: Serikali yatangaza kuachiliwa wafungwa 2,010 kwa ajili ya Pasaka
Serikali ya Cuba imetangaza Alhamisi, Aprili 2, kuachiliwa huru kwa wafungwa 2,010 kwa ajili ya kuadhimisha Wiki Takatifu. Mwezi uliopita, serikali iliahidi kuwaachilia huru wafungwa zaidi ya hamsini. Imechapishwa: 03/04/2026…
Marekani: Donald Trump amfuta kazi waziri wake wa sheria Pam Bondi
Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Sheria Pam Bondi siku ya Alhamisi, Aprili 2, 2026, afisa wa Ikulu ya White House ametangaza, kufuatia utata kuhusu kazi yake,…
#MzizimaDerby “….nilikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika ushindi wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar ugenini”
#MzizimaDerby “….nilikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika ushindi wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar ugenini” Abdulhalim Humud anakumbushia ‘kitu’ ambacho anakikumbuka zaidi alipokuwa akiitumia Azam FC……
Raundi ya 18 NBC Premier League kuanza kupigwa leo Ijumaa
Raundi ya 18 NBC Premier League kuanza kupigwa leo Ijumaa. Je, timu gani kuchukua ama kudondosha alama tatu? Usikose kutazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Jinsi mkakati wa vita wa Iran ulivyowashangaza Marekani na Israel
Balozi wa zamani wa Marekani katika NATO, Ivo Dalder, akijibu hotuba hiyo, alisema kuwa kauli ya Trump imezua "mashaka kuhusu malengo ya vita" na kuacha maswali kadhaa muhimu bila majibu.
Ndoa ya mjamzito katika Sharia ya Kiislamu
Hakika Sharia tukufu ya Kiislamu ni kamili na yenye kujumuisha kila kitu, inayofaa kwa kila...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupigia kura rasimu ya azimio kuhusu Mlango- Bahari wa Hormuz
China, ambayo ina kura ya turufu, inapinga mpango wowote wa kutumia nguvu.
Je, tunaelekea katika vita vya tatu vya dunia
Kuingilia kati kwa Marekani pia kunachochea hali kuwa mbaya zaidi kwani hata nchi zisizohusika moja kwa moja huathirika kiuchumi au kimkakati.