Mambo yanazidi kuchanganya kwa Zein, mama ni kama hamtaki Sara
Mambo yanazidi kuchanganya kwa Zein, mama ni kama hamtaki Sara. Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
#VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ikiwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) i…
#VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ikiwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ikitokea Morocco, ambako ilishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya…
Wakazi wa kijiji cha Makome B katika kata ya Mbawala halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao wanateseka kupata maji …
Wakazi wa kijiji cha Makome B katika kata ya Mbawala halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao wanateseka kupata maji ya kunywa na matumizi mengine wameiomba serikali kukamilisha mradi…
“Kwenye miradi mingi ya madini wananchi wengi ambao wanakaa pale wanapewa priority
"Kwenye miradi mingi ya madini wananchi wengi ambao wanakaa pale wanapewa priority. "Wanapewa ajira kwa wale ambao wana ujuzi au ambao hawana ujuzi watapewa ujuzi au watapewa zile kazi za…
Marekani yajiondoa kwenye mashirika 66 ya kimataifa
Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru Marekani ijiondoe kutoka mashirika 66 ya kimataifa, akisema hayahudumii tena maslahi ya kitaifa ya Marekani.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo amekutana na Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo ndani ya Halmas…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo amekutana na Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kwa lengo la…
“Serikali inafanyia kazi kwenye mabadiliko ya sheria ya madini kuna baadhi ya kodi zimeongezwa zingine zimepunguzwa”- Mariam Mga…
"Serikali inafanyia kazi kwenye mabadiliko ya sheria ya madini kuna baadhi ya kodi zimeongezwa zingine zimepunguzwa"- Mariam Mgaya- Katibu Mtendaji Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi Uwajibikaji katika rasilimali za Madini,Mafuta na…
Naibu Waziri Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Dkt
Naibu Waziri Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Dkt. Pius Chaya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanafuata maelekezo ya serikali kwa kuajiri wataalam wa ndani wenye ujuzi wa miradi inayotekelezwa, ikiwemo…
Serikali imetangaza kuanza utekelezaji wa mkakati wa kubadilisha miundombinu ya maji isiyofaa, kwa lengo la kudhibiti upotevu wa…
Serikali imetangaza kuanza utekelezaji wa mkakati wa kubadilisha miundombinu ya maji isiyofaa, kwa lengo la kudhibiti upotevu wa maji na kuboresha huduma kwa wananchi. Aidha, wananchi wametakiwa kutunza na kulinda…
Kiongozi wa kundi la STC Yemen akimbilia UAE
Taarifa ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia imesema, Kiongozi wa upande wa Kusini mwa Yemen unaotaka kujitenga, Aidaros Alzubidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kutawala vichwa vya habari za kimataifa baada ya kufanya mazungumzo ya simu na Rais w…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kutawala vichwa vya habari za kimataifa baada ya kufanya mazungumzo ya simu na Rais wa Colombia, Gustavo Petro, siku chache tu baada ya kutoa…
Watumishi wa halmashauri wakiwemo wakurugenzi watendaji na madiwani mkoani Lindi wametakiwa kutumia ipasavyo mafunzo ya uongozi …
Watumishi wa halmashauri wakiwemo wakurugenzi watendaji na madiwani mkoani Lindi wametakiwa kutumia ipasavyo mafunzo ya uongozi yaliyotolewa kwa madiwani, ili kutatua changamoto za kiuongozi zinazojitokeza katika utekelezaji wa majukumu ya…
Mambo yalivyo kabla ya robo kupigwa
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya robo fainali ya Kombe la...
Mashambulizi ya Urusi yasabisha ukosefu wa umeme Ukraine
Mashambulizi ya Urusi ya katika eneo la Dnipropetrovsk nchini Ukraine yamewaacha zaidi ya watu milioni moja bila maji na umeme.
Kitaani kwako kuna Kero ipi⁉️
Kitaani kwako kuna Kero ipi⁉️ #clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Wizara ya Afya inaendelea kutoa huduma maalum za upasuaji kwa wagonjwa wa mabusha, Katika Kituo cha Afya Kinondoni, Dar es Salaa…
Wizara ya Afya inaendelea kutoa huduma maalum za upasuaji kwa wagonjwa wa mabusha, Katika Kituo cha Afya Kinondoni, Dar es Salaam. Farasi wa #MorningTrumpet amefika kituoni hapo na kuelezwa kuwa,…
Marekani yasitisha misaada Somalia kufuatia madai ya wizi
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani wamewakemea vikali viongozi wa Somalia kufuatia madai ya wizi wa msaada wa chakula na kusitisha programu zote zinazoendelea za msaada wa…
Tume ya Jaji Chande yatua Mara, kukutana na waathirika, viongozi
Katika Mkoa wa Mara, amesema wajumbe wawili wanatarajiwa kukutana na walengwa kwa muda wa siku...
Morocco yakabiliwa na presha kabla ya robo fainali AFCON
Timu ya taifa ya Morocco inaendelea na dhamira ya kutwaa taji la Kombe la Mataifa ya Afrika wakiwa nyumbani, lakini inakabiliwa na shinikizo kubwa kabla ya robo fainali dhidi ya…
Dodoma yaja na kampeni ya kujikinga na magonjwa ya mlipuko
Ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko yakiwamo ya kuhara na kipindupindu, Idara ya Afya ya Jiji...
127 wagundulika kuwa na mabusha Dar
Hata hivyo 27 kati ya waliogundulika kuwa na mabusha tayari wamefanyiwa upasuaji na wanaendelea...
Hii familia kila siku yanaibuka mambo mapya, Jevdet naye kaanza kuonewa wivu, Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Hii familia kila siku yanaibuka mambo mapya, Jevdet naye kaanza kuonewa wivu, Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Shambulio la Marekani liliwauwa watu 100 Venezuela
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela Diosdado Cabello amesema watu 100 waliuawa katika shambulio lililofanywa na Marekani nchini Venezuela, ambalo lilimwondoa mamlakani aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
Marekani kujiondoa kwenye mashirika 66 ya kimataifa
Rais wa Marekani, Donald Trump, amechukua hatua kubwa katika sera ya kimataifa kwa kuamuru Marekani ijiondoe kwenye mashirika 66 ya kimataifa, akisema kuwa hayahudumii tena wala kukidhi maslahi ya kitaifa…
Muungano wa Saudi: Kiongozi wa STC Yemen akimbilia UAE
Kiongozi wa kundi la waasi (STC) nchini Yemen Aidaros Alzubaidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
🔴SHAMRASHAMRA YA MAPOKEZI YA TAIFA STARS – DAR ES SALAAM JANUARI 08 2026
🔴SHAMRASHAMRA YA MAPOKEZI YA TAIFA STARS - DAR ES SALAAM JANUARI 08 2026
Polisi ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya raia, vifo vitatu vyachunguzwa
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, askari huyo anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga risasi na...
Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington
Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.
Simba, JKT Queens vitani WPL
Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) jana zilipigwa mechi nne, lakini jioni ya leo kuna pambano la kukata...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….JANUARI 08, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 08, 2025
Keffe D kufikishwa mahakamani Agosti 10, mauaji ya Tupac
Ikiwa ni zaidi ya miaka 27 tangu kuuawa kwa rapa wa Marekani, Tupac Shakur. Hatimaye mwanga...
Marekani yasitisha msaada kwa serikali ya Somalia kufuatia madai ya wizi wa misaada ya chakula
Serikali ya Trump imeishutumu serikali ya Somalia kwa kuharibu ghala la shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililokuwa na misaada ya chakula iliyofadhiliwa na Marekani.
Sekta binafsi yataja vikwazo katikati ya ukuaji Zanzibar
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kitaifa ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Ali Suleiman Amour amesema...
Mke Fella akanusha uvumi wa kukataa misaada, wageni
Mke wa Saidi Fella, Sweet Fella, amewaomba Watanzania walioguswa na kuumwa kwa mumewe, waweze...
Mshambuliaji wa Algeria awaomba radhi mashabiki wa DRC
Mshambuliaji wa Algeria, Mohamed Amoura, ameomba radhi kufuatia ishara tata aliyoifanya wakati wa kusherehekea ushindi wa timu yake dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye Kombe la Mataifa ya…
Ufaransa: Wakulima wenye hasira wakusanyika katika mitaa ya Paris na chini ya Mnara wa Eiffel
Wakulima wenye hasira nchini Ufaransa wanaendeleza shinikizo kwa serikali siku chache tu kabla ya kusainiwa kwa makubaliano ya biashara huria na Mercosur na dhidi ya usimamizi wa mgogoro wa magonjwa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio ya…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29,…
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Jafar Seif kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Prof.…
DRC: Hali ya usalama yazidi kuwa mbaya katika eneo la Djugu, Ituri
Hali inazidi kuwa mbaya katika katika eneo la Djugu, mkoani Ituri, kaskazini mashariki mwa DRC. Kundi la waasi la CRP, kundi linaloongozwa na Thomas Lubanga – mfungwa wa zamani wa…
Niger: Jeshi lafanya mashambulizi mapya ya ndege sisizo na rubani sokoni, raia kadhaa wauawa
Katika mapambano yake dhidi ya makundi ya wanajihadi, jeshi la Niger limeongeza mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika wiki za hivi karibuni katika eneo la Tillabéri, kwenye mpaka na…
Sekta isiyo rasmi inavyogeuka kimbilio kwa wahitimu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesisitiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo...
Mabadiliko makubwa uhamiaji yaja
Maboresho hayo yametajwa kuwa mkakati wa kuendelea kuboresha sekta ya utalii ambayo imekuwa...
Benin kufanya uchaguzi wa wabunge na wa serikali mitaa Jumapili
Wapiga kura wa Benin wanaenda kupiga kura Jumapili, Januari 11, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge na wa serikali za mitaa. Unafanyika kama ilivyopangwa, zaidi ya mwezi mmoja baada ya…
Nimesota Kings Music Records miaka minne hadi natambulishwa
MSANII wa kwanza wa kike chini ya lebo ya Kings Music Records, Mutimawangu, amesema amepitia safari ndefu na yenye changamoto kwa kukaa kwa miaka minne akisubiri kutambulishwa rasmi na lebo…
Shauri atamani kuvunja rekodi binafsi riadha
MWANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Magdalena Shauri amesema anataka kuvunja rekodi yake ya taifa ya marathoni kwa wanawake akilenga kukimbia chini ya saa 2:18 katika mashindano yajayo ya kimataifa.
Yanga plot striker signing ahead of Mapinduzi Cup Semis
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans Head Coach Pedro Goncalves has disclosed that the club is eyeing the signing of a new striker during the current transfer window as part of…
KMC yakomba noti usajili wa Pipino
KMC imeingiza zaidi ya Sh70 milioni baada ya aliyekuwa kiungo wa kikosi hicho, Ahmed Bakari Pipino kuvunja mkataba wa miaka miwili uliobaki, huku akikamilisha taratibu za kujiunga na Singida Black…
Stars fly home with pride
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S heroes -Taifa Stars, are due to arrive home today from Morocco following a memorable and successful outing at the Africa Cup of Nations (AFCON), travelling aboard…