Anayedaiwa kusafirisha bangi, apewa siku tano kupitia nyaraka za ushahidi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Januari 20, 2026 kwa ajili ya Jamhuri kumsomea hoja za...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Januari 20, 2026 kwa ajili ya Jamhuri kumsomea hoja za...
Kampuni ya Azam Ice Cream imezindua rasmi bidhaa mpya ya ice cream yenye ubora wa hali ya juu, ikilenga kuwapatia wateja ladha mpya na chaguo pana kulingana na mahitaji yao.…
DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya kusaka watoto ambao hawajaripoti shule. Oparesheni hiyo inatarajia kuanza Januari…
Rais Yoweri Museveni amepiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari iliyoko katika kijiji...
Yanga SC wamemtambulisha mshambuliaji Depu leo kama mchezaji mpya wa klabu hiyo, akitarajiwa kuimarisha safu ya ushambuliaji kuelekea Ligi Kuu na michuano ya CAF. 📊 TAKWIMU ZA DEPU (Depú) Jina…
Comment yako itasomwa na @neypova kwenye show tamu ya Tv #TheSpark na @djfantastic255 atasimamia Burudani ya muziki Ikifika saa 05:00 washa Tv yako kisha weka Clouds Tv .
Ni sehemu ya mahojiano na Musiba Paul Kitema maarufu kama Dkt. Nyuki ambaye ni mtaalamu wa Nyuki katika kipindi cha #Baragumu live ambapo mahojiano yalilenga kuangazia fursa mbalimbali za kiuchumi…
Shughuli ya upigaji kura unaendelea katika vituo mbali mbali vya upigaji kura baada ya mchakato huo kuanza kuchelewa kutokana na hitilafu za kiufundi. Katika vituo vingi vya kupigia kura, upigaji…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesogeza mbele kutoa hukumu katika kesi ya kusafirisha dawa...
Wanandoa Chloé Frammery na Steven Kittirath wameingia katika historia baada ya kuweka rekodi ya...
Ukisikia maajabu ndo leo, Karesi na Begum wafunge pingu za maisha, Osman ajeruhiwa. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO
PWANI: HIFADHI ya Msitu wa Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi imeendelea kuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kukuza sekta ya utalii nchini, kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watalii wa ndani…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Richarid Muyungi amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Balozi Mhandisi Cyprian Luhemeja, Dodoma, leo Januari 14,…
🔴MEZA HURU: ...JANUARI 15, 2026
Zaidi ya wananchi 500 wa Mkoa wa Arusha wanatarajiwa kulipwa fidia ya takribani shilingi bilioni 3 kupisha ujenzi wa barabara ya Mianzini hadi Ngaramtoni. Mradi huo unaojengwa kwa kiwango cha…
Utafiti umebaini kuwa mikataba mibovu ya mauzo ya mazao ndiyo chanzo kikubwa cha wakulima wa...
Serikali imesema itachukua hatua za kisheria dhidi ya mkandarasi Sichuan Road and Bridge Group...
#ALAMA za Mtanga tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD @sophiamgaz anasema huyu si muigizaji na mchekeshaji tu, bali alama ambayo bado inaendelea kustawi kwenye tasnia ya Filamu.…
Hali nchini Iran ni “inayobadilika na inayotia wasiwasi mkubwa”: amesema Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa, Martha Pobee mbele ya wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa…
Baada ya takribani miongo miwili ya majadiliano, mkataba wa kimataifa wa kulinda viumbe wa baharini kwenye eneo la Bahari kuu na sakafu ya Bahari, unaanza kutekelezwa Jumamosi hii, ikiwa ni…
Dunia inakabiliwa na kipindi cha zahma kubwa inayochangiwa na migogoro inayoongezeka, ukosefu wa usawa unaozidi kupanua wigo, mabadiliko ya tabianchi na kudhoofika kwa ushirikiano wa kimataifa, Katibu Mkuu wa Umoja…
Kesi imeendelea kusikilizwa leo katika mahakama ya Haki ya Umoja wa Mataifa ICJ kuhusu madai ya Gambia kwamba Myanmar ilitekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Rohingya, ikiwemo madai…
Kadri Sudan mwezi huu inavyoangazia zaidi ya siku 1,000 za mgogoro mkali, kile kilichogeuka kuwa janga kubwa zaidi la njaa na wakimbizi duniani hakioneshi dalili za kupungua. Hali hii inatokea…
“Huko El Fasher, sikuweza kupata uchunguzi wowote wa afya kwa sababu hakukuwa na hospitali zilizobaki karibu nasi,” anasema Zainab, mwenye umri wa miaka 26, ambaye alikuwa mjamzito wakati mji mkuu…
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Lidede, wilayani Nanyumbu, kwa kujitoa kujenga majengo saba ya Shule ya Msingi. Hatua hiyo imelenga kutatua msongamano…
DAR ES SALAAM: THE Acting Chief Executive Officer of the National Insurance Corporation (NIC Insurance), Kaimu Abdi Mkeyenge, has led an NIC delegation on an official visit to the headquarters…
DODOMA: TANZANIA’S Foreign Affairs Ministry has today, January 15, 2026, briefed President Samia Suluhu Hassan on the diplomatic steps taken over the past year to safeguard the country’s international standing…
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na mabalozi wanaowakilisha nchini zao hapa Tanzania Katika hafla ya kufungua mwaka kwa mabalozi hao. Katika hafla hiyo, Rais Samia amegusia mambo mbalimbali ikiwemo vurugu…
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC Insurance), Kaimu Abdi Mkeyenge, ameongoza ujumbe wa NIC katika ziara rasmi iliyofanyika Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri…
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Tanga, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na Mkurugenzi...
Kombe la Dunia la 2026, limeanza kukumbwa vikwazo baada ya mashabiki kutoka mataifa 15...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maji, imekutana na Serikali ya Korea kupitia ubalozi wake hapa nchini, ili kutafuta ufumbuzi wa uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam,…
Huyu Firaz ashakuwa pasua kichwa, Karam naye mambo yameanza kuwa shwari Usikose kufuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Serikali imetangaza ajira 1,283 zinazohitajika kujazwa katika taasisi na mamlaka mbalimbali za...
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema amekwazika kwa timu yake kushindwa kufunga mabao manne...
MADRID: UN Tourism Secretary-General Shaikha Al Nuwais has highlighted Madrid and Spain’s strategic role as a global meeting point for the tourism industry, underscoring the country’s importance as host of…
ARUSHA: Ubora, mshikamano na kiu ya ushindi ndivyo vilivyoibeba timu ya Ulipo Tupo Lake Zone mpaka kutwaa ubingwa wa soka wa CRDB Super Cup msimu wa tano, baada ya kuifunga…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 15, 2025
Ikiwa zimepita siku tatu tangu kufunguliwa kwa shule nchini, diwani wa kata ya Rau, Manispaa ya...
Ikiwa ni katika fremu ya uingiliaji wake katika masuala ya ndani ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amezindua sarakasi mpya ya takwimu kuhusu Iran.
KIPA wa zamani wa Simba, Ahmed Feruz amerejea katika Ligi Kuu Bara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuidakia Namungo akitokea Stand United inayoshiriki Ligi ya Championship.
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema wachezaji wa timu hiyo wapo tayari kuendeleza vita na ushindani mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kurejea tena huku akitamba keshokutwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki katika machafuko na uvurugaji…
Mipango inaendelea kupangwa kuhakikisha wajumbe wa kamati ya wateknokrati iliyoteuliwa kuendesha masuala ya Ghaza kusafiri hadi Misri kwa mkutano wake wa kwanza, uliotarajiwa kufanyika leo Alkhamisi au kesho Ijumaa. Hayo…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema, badala ya viongozi wa Umoja wa Ulaya, EU kutoa matamshi ya kuzungumzia hali ya Iran, ingekuwa bora kama…
Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kwenye mkanda wa video akimtukana tusi la nguoni mfanyakazi mmoja wa kampuni ya magari ya Ford Motor aliyemkosoa kiuchokozi wakati alipotembelea kiwanda kimoja cha…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema utawala wake unalenga kurekebisha na kujenga Taifa, na kwamba migogoro iliyoshuhudiwa nchini sivyo Watanzania walivyo. Dkt.Samia ameyasema hayo…
NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa mechi za viporo kuchezwa. Je, nani kukila kiporo chake nani kitampalia Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports
Hii vita ya Jemo na Yusuf mbona itakuwa kasheshe. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku. #AzamTWO