Cuba ni tishio kwa usalama wa Marekani – Marco Rubio
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa Cuba ni tishio kwa usalama wa taifa la Marekani na kuwa hakuna uwezekano wa kuafikiwa kwa makubaliano ya amani…
Ebola: India yaahirisha mkutano wa kilele wa Afrika kutokana na kuzorota kwa ‘hali ya afya’
India na Umoja wa Afrika wameahirisha mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika wiki ijayo, kuanzia Mei 28 hadi 31, huko New Delhi, kutokana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Nakuru: Mvulana wa miaka 16 akiri kumuua msichana wa gredi ya 6, asema mapepo yalimuingia akapagawa
Polisi huko Nakuru wamemkamata kijana wa miaka 16 kwa mauaji ya Mercy Nyambura, 12, aliyepatikana amekufa baada ya kutoka shule. Upasuaji wa maiti unaonyesha mateso.
Maonyesho ya “Kisiwa cha Dhambi” yafanyika Magharibi mwa Kabul
Maonyesho maalumu ya yanayodhihirisha uhalifu wa nchi za kibeberu pamoja na kashfa za kingono za viongozi wa nchi za Magharibi yaliyopewa jina "Kisiwa cha Dhambi" yanafanyika magharibi mwa mji mkuu…
Video ya mama asiyeona akifanya kazi ya kusaga mahindi kwa ajili ya familia yasisimua mioyo ya wengi
Mama asiyeona amewavutia watumiaji wa mtandao kwa uhuru na nguvu zake, akifanya kazi katika kiwanda cha mahindi. Azimio lake linavutia watu wengi mtandaoni.
Ebola DRC: Vifo 159 vinakadiriwa na visa 626 vinavyoshukiwa, atangaza Waziri wa Afya wa Kongo
Waziri wa Afya wa Kongo ametangaza siku ya Alhamisi asubuhi, Mei 21, katika kipindi cha RFI cha “Appels sur l’actualité”, taarifa mpya kuhusu janga la Ebola linaloathiri sehemu za mashariki…
Ndoto ya Afrika isiyo na mpaka yakaribia baada ya Togo kuruhusu Waafrika kuingia nchini humo bila visa
Togo imetangaza ruhusa kwa raia wa nchi zote za Afrika kuingia nchini humo bila visa na kukaa huko kwa hadi siku 30, mradi tu wawasilishe maombi kielektroniki kupitia jukwaa la…
Ijumaa, tarehe 22 Mei, 2026
Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na tarehe 22 Mei 2026.
Zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe vyafungwa Sudan
Nchini Sudan, zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe katika jimbo la Darfur Magharibi,vimelazimika kusitisha shughuli zao kutokana na kupungua kwa ufadhili, watu karibu laki mbili wakisalia bila msaada. Imechapishwa:…
Uganda yasitisha kwa muda usafiri wote wa umma kwenda DRC
Mamlaka nchini Uganda imetangaza kusimamisha usafiri wote wa umma kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mlipuko mbaya wa Ebola umeendelea kuenea. Imechapishwa: 22/05/2026 – 05:43Imehaririwa: 22/05/2026 – 05:45 Dakika…
“Awuoro”: Ruth K adai alitumia KSh 900,000 kuhama nyumba ya Mulamwah baada ya kutengana
Ruth K anaelezea uzoefu wake wa kuhama nyumba ya Mulamwah, akifichua gharama zinazohusika na kushughulikia hisia za kushangaza kutoka kwa mashabiki nchini Kenya.
Namungo, Mbeya City hakuna mbabe
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya Namungo dhidi ya Mbeya City, imeshindwa kutoa mshindi, baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 zikifungana bao 1-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani…
Wasanii wa Afrika Mashariki wanavyoishi katikati ya vita ya Marekani na Iran
Wanamuziki wengi wa Afrika Mashariki hupenda kufanya matamasha na kuishi Dubai kwa lengo la kupata malipo mazuri pamoja na kutumia jukwaa hilo kuwafikia mashabiki wa kimataifa.
Maoni mseto huku Celestine Ndinda akipuuza bathidei ya Njugush: “Mapenzi yaliisha”
Timothy Kimani, almaarufu Njugush, anakaribia bathidei yake ya kwanza bila mke wake wa zamani Celestine Ndinda. Mashabiki wameamsha kimya chake kikuu.
Maseneta waishinikiza Marekani kutathmini upya uhusiano na Tanzania
"Tanzania imekuwa mshirika muhimu wa Marekani katika Afrika Mashariki, lakini kuzorota kwa demokrasia, vurugu za kisiasa na ukandamizaji wa hivi karibuni haviwezi kupuuzwa," amesema Jeanne Shaheen.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 22, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Ronaldo aipa Al Nassr ubingwa wa Saudi Arabia
Ronaldo amefunga mabao mawili katika ushindi huo ulioipa Al Nassr taji la ligi kwa mara ya...
Mbunge Malinyi akumbushia miundombinu ya barabara
DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Malinyi Dk Mecktridis Mdaku ameiomba Wizara ya Ujenzi kuendelea kuzingatia changamoto za kijiografia na mazingira katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu, akisema maeneo yenye mvua nyingi…
Programu ya “Startups za Viwango” yazinduliwa
Kampuni ya huduma za kidijitali na mawasiliano, Yas, kwa kushirikiana na Chemba ya...
#NBCPL Magoli yote makali….ameanza Hassan Kabunda, akajibiwa na Eliud Ambokile;
#NBCPL Magoli yote makali….ameanza Hassan Kabunda, akajibiwa na Eliud Ambokile; Je, lipi umelipenda zaidi? FT: Namungo FC 1-1 Mbeya City Yanga vs Singida BS ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD…
MSIMAMO: ‘On top of the table’, kwa mara ya kwanza msimu huu: Je, watakaa hapo kwa saa ngapi?
MSIMAMO: ‘On top of the table’, kwa mara ya kwanza msimu huu: Je, watakaa hapo kwa saa ngapi? #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable (Feed generated with FetchRSS)
#NBCPL Sare…
#NBCPL Sare…. FT: Namungo FC 1-1 Mbeya City LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuyaNBC #NBCUpdates #ImenogaZaidi #NamungoFC #MbeyaCity #NamungoMbeyaCity (Feed generated with FetchRSS)
Ulega awajibu wabunge, Spika Zungu amtaka Nape kumshukuru Rais Samia
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali itahakikisha inafanyia kazi mapendekezo na...
#RSL Msimu umemalizika na Al Nassr ndiyo mabingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League) 2025/26
#RSL Msimu umemalizika na Al Nassr ndiyo mabingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League) 2025/26. FT: Al Nassr 4-1 Damac FT: Al Feyha 0-1 Al Hilal LIVE…
Baharia aliyeuawa shambulio la bomu Hormuz azikwa Musoma
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka ameongoza mamia ya wakazi wa mji wa Musoma na...
Sua yaanza utekelezaji miradi ya Sh3.4 bilioni
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) kimeanza utekelezaji wa miradi mipya 12 ya utafiti ya...
Mfumo uanagenzi kuboreshwa ili kukidhi mahitaji ya ajira
DAR ES SALAAM: Wadau wa maendeleo ya ujuzi wamepitia na kuthibitisha rasimu ya mwelekeo wa Uanagenzi Tanzania katika hatua inayolenga kuimarisha mfumo wa mafunzo ya vitendo ili kuendana na mahitaji…
Tanzania yaimarisha uchumi jumuishi kwa kuzingatia makundi yote
DAR ES SALAAM:TANZANIA imeendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi jumuishi unaowashirikisha watu wote, wakiwemo watu wenye ulemavu, kupitia uwekezaji katika huduma za afya, teknolojia saidizi, maji pamoja na mifumo ya…
Ni Chama tena Simba
Miongoni mwa wachezaji wa Simba kwa sasa, hutoacha kulitaja jina la nyota wa kikosi hicho...
Chama aibeba tena Simba ikirejea kileleni
UNAPOTAJA miongoni mwa wachezaji hatari wa Simba kwa sasa, hutoacha kulitaja jina la nyota wa kikosi hicho, Clatous Chota Chama 'Triple C', baada ya kuirejesha tena timu hiyo kileleni katika…
FT. COSTAL UNION 1 – 2 SIMBA SC
FT. COSTAL UNION 1 - 2 SIMBA SC (Feed generated with FetchRSS)
Rio Ferdinand aukwaa ubalozi wa Utalii Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, leo Mei 21,2026 imemteua mchezaji wa zamani wa...
Wizara ya Viwanda na Biashara Zanzibar yaja na vipaumbele vitatu
Wizara ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara imepanga kutekeleza vipaumbele vitatu vinavyolenga...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Mzinga leo Mei 21, 2026 wamesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano yanayolenga …
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Mzinga leo Mei 21, 2026 wamesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha ushirikiano katika Utafiti, Teknolojia, Uzalishaji na Usambazaji wa nishati…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 21, 2026 -POLISI KUCHUNGUZA TUKIO LA DJUMBE
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 21, 2026 -POLISI KUCHUNGUZA TUKIO LA DJUMBE (Feed generated with FetchRSS)
“Kasri la Mfalme”: Jumba Kubwa la Onyonka huko Kisii Lafichua Utajiri wa Kushangaza
Seneta wa Kisii Richard Onyonka alionyesha jumba lake la kifahari kijijini kwao, na kuzua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kifo cha mamake.
#HABARI:David Djumbe, Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akionyesha mikono yake ilivyoathirika baada ya kufungwa pin…
#HABARI:David Djumbe, Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akionyesha mikono yake ilivyoathirika baada ya kufungwa pingu na watu wasiojulikana. Djumbe yupo kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa…
#MICHEZO: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw
#MICHEZO: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Albert Chalamila, ameahidi kutoa zawadi ya shilingi milioni 50 kwa timu ya mpira wa kikapu ya Dar City Basketball endapo itafanikiwa…
#HABARI: Viongozi mkoani Singida wamehimizwa kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu na kupewa taarifa sahihi kuhusu ut…
#HABARI: Viongozi mkoani Singida wamehimizwa kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu na kupewa taarifa sahihi kuhusu utekelezaji wa miradi ya Serikali ili kujenga uwajibikaji, kuongeza uwazi, na kuimarisha ulinzi wa rasilimali za…
Mbunge wa Musoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mgore Miraj, ameishinikiza Serikali kuhakikisha fedha zote zinazokusan…
Mbunge wa Musoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mgore Miraj, ameishinikiza Serikali kuhakikisha fedha zote zinazokusanywa kwa ajili ya Wizara ya Ujenzi zinatumika moja kwa moja kwenye shughuli za…
Usikose kipindi hiki Maalum, Jumatano Mei 27, 2026
Usikose kipindi hiki Maalum, Jumatano Mei 27, 2026. kuanzia Saa 3:35 Usiku hapa ITV pekee. (Feed generated with FetchRSS)
Mbunge wa Geita Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chacha Wambura, amesema changamoto kubwa inayowakabili wananchi katika …
Mbunge wa Geita Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chacha Wambura, amesema changamoto kubwa inayowakabili wananchi katika maeneo mengi nchini ni ubovu wa miundombinu ya barabara zinazohudumiwa na TARURA na…