George Ruto azua mjadala baada ya kudai aliwahi ‘kusota’ ile mbaya: “Nimekosa hata bundles”
George Ruto, mwana wa Rais William Ruto, alisema alivyowahi kukosa pesa mbelen, akisisitiza kwamba kila mtu anakabiliwa na shida, bila kujali historia au hadhi yake.