#RSL Ahli wamehitimisha msimu kwa kishindo…!!!
#RSL Ahli wamehitimisha msimu kwa kishindo…!!! FT: Al Khaleej 1-4 Al Ahli Kimbembe cha ubingwa ni kesho Mei 21…. Je, ni Al Nassr au Al Hilal… Mechi zote mbili utazipata…
#RSL Ahli wamehitimisha msimu kwa kishindo…!!! FT: Al Khaleej 1-4 Al Ahli Kimbembe cha ubingwa ni kesho Mei 21…. Je, ni Al Nassr au Al Hilal… Mechi zote mbili utazipata…
#NBCPL Balama Mapinduzi ndiye mkombozi wa Mashujaa. FT: Dodoma Jiji 1-1 Mashujaa FC Coastal Union vs Simba ni saa 12:30 jioni LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuyaNBC #NBCUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJiji #MashujaaFC…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa Rais Samia...
Adan Mohamed aapishwa kimya kimya kuma kamishna mkuu wa KRA huku kukiwa na kesi mahakamani kuhusu umri wake, sifa zake. Hali hiyo imezua uteuzi huo.
Raila Junior amesherehekea ushindi wa Arsenal katika Ligi Kuu ya soka Ulaya, akiutoa kwa ajili ya baba yake marehemu. Pia alisema ni nani aliyekuwa bora msimu mzima.
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la Chama cha...
Gawio hilo linajumuisha gawio la kawaida la Sh504.26 kwa kila hisa lenye thamani ya Sh252...
Teknolojia ya Akili Unde (AI) imeendelea kutajwa nyenzo muhimu inayorahisisha ujifunzaji...
COAST REGION: TANESCO Managing Director Lazaro Twange has said the 400-kilovolt power transmission line project from Chalinze to Zuzu is expected to be completed by August 18, 2026. Speaking on…
Gundua nchi 10 za Kiafrika zenye deni kubwa zaidi linalodaiwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kulingana na data ya mikopo ya IMF ya Mei 2026.
Mbunge wa Tanganyika mkoani Katavi, Selemani Kakoso amewataka wabunge kuchukua uamuzi mgumu ili...
Shaweji na wenzake wanadaiwa kuingiza nchini shehena hiyo ya dawa za kulevya aina ya Mitragyna...
Daraja hilo linajengwa kwenye barabara ya mchepuko kutoka Mlima Nyoka, Uyole kuelekea Kasumulu...
Waislamu duniani wameingia katika moja ya vipindi vitukufu zaidi katika kalenda ya Kiislamu...
ARUSHA: THE Northern safari capital is bracing to host the annual Cape to Cairo Arusha International Marathon later this month, in what organizers describe as far more than a sporting…
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Kuwait have reaffirmed their commitment to strengthening bilateral cooperation following talks between Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, and Kuwait’s…
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema licha ya majengo mazuri ya hospitali yaliyojengwa...
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian film industry has been urged to strengthen unity and collaboration among practitioners in order to accelerate its growth and global competitiveness. This was said by…
Abasi Massoud Athumani (30), amefariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la maji lililopo...
ALGERIA: Ambassador Mobhare Matinyi arrived in Algiers on Tuesday, May 19, 2026, ready to officially begin his duties representing Tanzania in the People’s Democratic Republic of Algeria as Ambassador, marking…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 20 2026 - MFUMO WA MABARAZA YA ARDHI KUPITIWA UPYA (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: TANZANIA Bureau of Standards has organized a marathon known as the “Viwango Marathon” as part of celebrations marking 50 years since the establishment of the organization. The…
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amewatembelea baadhi ya majeruhi wa ajali ya gari...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita imebariki hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya mkazi...
#HABARI: Watumishi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameipongeza Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuendesha mafunzo ya elimu ya uraia, utawala bora, na usimamizi wa…
Viongozi wa vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika wamekutana Kibaha mkoani Pwani kushuhudia...
Waziri Ulega ameeleza namna fedha hizo zitakavyotumika kwa kila taasisi ambapo Wizara ya Ujenzi...
Mradi wa ujenzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia dawa na vifaa tiba la Bohari ya Dawa (MSD)...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewataka viongozi na makatibu wake kwenda kwa...
Mwanamuziki Nadia Mukami alisimulia matatizo ambayo amevumilia katika uhusiano wake na Arrow Bwoy huku akithibitisha kwamba walitengana miezi kadhaa iliyopita.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Edward Christopher ambaye kwa sasa anaichezea Stand United ‘Chama la Wana’ iliyopo Ligi ya Championship, amesema kila anapowaamgalia Wanamsimbazi wakicheza mechi anavutiwa na ufundi wa…
Nchini Uganda, watu zaidi ya 100 wamewekwa karatini, baada ya kushukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola, wakati huu serikali ikiweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo, baada ya watu wawili…
BAO la dakika ya 90 la mshambuliaji wa TRA United, Shaaban Idd Chilunda, limetosha kuipa ushindi timu hiyo wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mechi kali na ya…
AZAM FC imeendelea kusuka kikosi chake kuelekea msimu ujao, ambapo sasa iko hatua za mwisho kumnasa winga wa FC Saint-Éloi Lupopo, Henoc Molia, baada ya mapendekezo ya kocha Florent Ibenge.
SINGIDA Black Stars imeanza mchakato wa kusuka upya safu ya ushambuliaji ambapo kwa sasa inafanya mazungumzo na mshambuliaji Candidat Mapendo wa AS Dauphins Noirs ya DR Congo.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI - MEI 20, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Hatifungani hiyo iliyolenga kukusanya Sh15 bilioni, imefanikiwa kuvutia zaidi ya Sh33 bilioni...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imefanikiwa kuokoa zaidi ya...
Kutangazwa kwa majina ya wanaowania tuzo za BET kumezua mjadala mitandaoni baada ya mashabiki...
WAKATI Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), ikielekea ukingoni, maji na mafuta vianza kujitenga kutokana na ushindani wa kila eneo kutoka wasaka ubingwa hadi wale wanapigana kubaki katika ligi hiyo msimu huu.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imefanikiwa kurejesha...
Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kisimamishiwe usajili wake, kitozwe faini...
DODOMA: Serikali imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya…
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari Kibindu wilayani Bagamoyo mkoani Pwani...
DODOMA: Bibi Hellen Bugoye mwenye umri wa miaka 70 kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa…
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Tanzania (CMSA) imesema kuongezeka kwa imani ya wawekezaji katika masoko ya mitaji nchini, sambamba na mazingira mazuri yaliyowekwa na serikali,…
DAR ES SAAM: ZAIDI ya wadau 1,000 wanatarajia kushiriki Kongamano la 12 la wahandisi lenye lengo la kubadilishana uzoefu katika taaluma zao ambalo litafanyika tarehe 13 hadi 17 mwezi Septemba…
Dar es Salaam. Wanachama wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania (TAB) wameiomba Serikali kuweka mpango...