🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE – JANUARI 27, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE - JANUARI 27, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE - JANUARI 27, 2026
#HABARI: Serikali imeweka vikosi vya kudumu vya Askari katika Kata za Bwiti na Mwakijembe kwa lengo la kuwawezesha askari Wanyamapori kuwahi mwitikio haraka katika matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeungana na Watanzania wote kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya zoezi la kupanda…
#MEZAHURU "....mwaka 2023 tukasema sasa tuje na muongozo ambao sasa utawataka hawa watu wote ikiwemo watengeneza maudhui kuzingatia....hiyo kazi ya sanaa inataliwa isimdhalilishe yeye msanii au mtazamaji...."-Abel Ndaga - Afisa…
#MEZAHURU"....kisheria sasa tunaongelea umetengeza kitu halafu umekituma au umekisambaza kiwafikie watu flani, lakini mimi ninaweza kutengeneza content yangu hapa nikabaki nayo sidhani kama tutaita maudhui nafikiri hiyo nitaiita video, tutayapa…
#MEZAHURU”….kuna mtu anatengeneza maudhui ambayo hayana maana....maudhui ambayo hayana maana, ukimuuliza mtu kwa nini umetengeneza hiki hana sababu za kukupa, lengo lako lilikuwa ni nini basi tu mimi niliona watu…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kifo cha Gidion Mbwambo (34), kilichotokea Januari 27, 2026 katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Kisanga, Mtaa wa Nguzo, Kata…
MEZA HURU- WATENGENEZA MAUDHUI
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
#HABARI: Mwanamazingira kutoka Kenya, Truphena Muthoni, amepokea uthibitisho rasmi kutoka rekodi ya dunia ya Guinness (GWR) kwa kukumbatia mti kwa saa 72, zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufanikisha rekodi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
#HABARI: Mtu mmoja ambaye ni dereva wa lori la mizigo amepoteza maisha katika ajali iliyotokea asubuhi ya leo Januari 27, 2026 majira ya saa 12:00 asubuhi, katika eneo la Mnadani…
".....suala la marekebisho ya katiba ambalo ni mojawapo ya ahadi ya Chama Cha Mapinduzi.....Mheshimiwa Rais alisisitiza kuwa Serikali itafanyia kazi suala hili, kwa kuanza kwanza na kuunda Tume Huru ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
#HABARI: Ajali imetokea asubuhi ya leo Januari 27, 2026 majira ya saa 12:00 asubuhi, katika eneo la Mnadani, Kata ya Tinde, Halmashauri ya Shinyanga mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imehusisha basi…
"....nitoe maelekezo kwa mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kuwa katika upimaji wa maeneo mapya wanazingatia kutenga maeneo ya kijani na nafasi ya upandaji miti katika…
“Mh. Spika nilikuwa naomba majibu kutoka kwa Serikali kuhusiana na barabara ya Kasulu road barabara ambayo itakwenda kuwasaidia wananchi wa kata kama machinjioni, Lubuga Kagera pamoja na Kata ya Majengo,…
MEZAHURU: Kipi kifanyike kuhakikisha WATENGENEZA MAUDHUI NA WAHAMASISHAJI (kwenye mitandao ya kijamii) wanapeleka maudhui sahihi kwa jamii lakini pia wanafaidika na kazi zao..? -MezaHuru -Weka maoni yako -Saa Tisa Alasiri
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa ataongeza ushuru wa bidhaa zinazoingizwa kutoka Korea Kusini hadi kufikia asilimia 25. Hatua hiyo imekuja baada ya kumshutumu Rais wa taifa hilo…
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 27, 2026
🔴KUMEKUCHA: SIKU YA FARAGHA NA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI-- JANUARI 27, 2026
🔴 #MAGAZETI: ..JANUARI 27, 2026
Wananchi wa Nyampindi, kijiji cha Ipumbuli, Kata ya Kizengi wilayani Uyui mkoani Tabora kumshinikiza Mwenyekiti kujiuzulu kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake. Je, waigwe na wengine wanaopitia machungu kama hayo badala…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 27, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 26, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 26, 2026
#HABARI: Mahakama ya Hakimu mkazi Kivukoni, Kinondoni imetaifisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa limebeba Magendo, baada ya vijana wanne kukiri kukwepa kodi ya shilingi Milioni 125.5 na kuchepusha vifaa…
🔴AIBU YAKO HATA WEWE: MADEREVA WABAMBWA KWENYE MWENDO WA HATARI | JANUARI 26, 2026
#HABARI: Tume ya Haki za Binadamu, Kenya imelaani vitendo vya kufyatua mabomu ya machozi kwa waumini wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kianglikana la Mtakatifu Petro, eneo la…
#HABARI: Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema nafasi za kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea Haziuzwi, zinatolewa bure kwa kila kijana wa Kitanzania mwenye sifa zilizoainishwa na…
#HABARI: Zaidi ya wanafunzi 550 wenye uhitaji katika Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, wamekabidhiwa vifaa vya kujifunzia vikiwemo madaftari na sare za shule na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI JANUARI 26, 2026 - KARAKANA ZA KUCHATA MBAO CHATEKETEA ARUSHA
#HABARI: Wajasiriamali jijini Mbeya wameutaka uongozi wa jiji kuunda Tume maalum ya kuwachunguza na kuwaondoa watendaji wa mitaa, kata, na watumishi wa jiji wanaotuhumiwa kuomba rushwa katika mchakato wa mikopo…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaji Abubakar Kunenge, ametoa ufafanuzi kuhusu mgogoro wa ardhi wa hekari 850 katika Kijiji cha Lupunga, wilayani Kibaha, kufuatia malalamiko ya wakazi kudaiwa kuvamia…
#HABARI: Zaidi ya wananchi 1,000 mkoani Manyara wameanza kunufaika na Kambi Maalum ya Matibabu inayotolewa na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na Hospitali…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA LINDI - JANUARI 26, 2026
#HABARI: Familia ya watu watatu, akiwemo baba, mama, na mtoto wa miaka mitatu katika Kata ya Kagera, Manispaa ya Kigoma Ujiji, wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuchomwa moto mara…
#HABARI: Watumishi wa ajira mpya wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma ili kufikia malengo ya halmashauri na…
#MEZAHURU:”…. Kwa hiyo ukishakuwa umefika pale lazima uwe umeshafahamu taarifa zako binafsi zote unazo sio unaenda pale unaulizwa ulisoma wapi..? Kitu fulani hiki ulikipatia wapi.? Halafu unaanza kusitasita,”- Jeniffer Mteleke…
#MEZAHURU: “…zipo za nchi mbalimbali ' pamoja na vyuo mbalimbali pamoja na vyazo sahihi vya sehemu vya sehemu ambazo unataka kwenda kupata huo ufadhili mfano kuna balozi wa Ufaransa, kuna…
🔴MEZA HURU: FURSA KUSOMA NJE .JANUARI 25, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#HABARI: Wananchi wamekumbushwa kuzingatia utunzaji wa fedha kwa kuzihifadhi vizuri ili zisiharibike ubora wake kwa kuepuka tabia ya kuhifadhi fedha kwenye matiti, kushika fedha hususani za noti ukiwa na vumbi…
"....mchango wa sekta ya madini umeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka....mpaka kufika tarehe ya 25 mwezi wa kwanza mwaka 2026 sekta ya madini imekusanya zaidi ya bilioni 741.....na katika siku 100…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Chrispin Chalamila amesema katika kipindi cha Julai hadi Disemba mwaka jana, wameweza kuokoa shilingi bilioni 60.2 kutokana na kudhibiti vitendo vya rushwa huku kati ya…
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, Dkt. Jafar Seif ameagiza kuhamishwa kwa vifaa tiba vilivyohifadhiwa au kufungwa katika baadhi ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#MEZAHURU: Je kweli FURSA ZA KUSOMA NJE ya nje zija tija kwenye Maendeleo ya Taifa letu.?