Maafisa wanaobambikia wananchi bili za maji
Maafisa wanaobambikia wananchi bili za maji. Je, waadhibiwe kama wezi wa maji?
Maafisa wanaobambikia wananchi bili za maji. Je, waadhibiwe kama wezi wa maji?
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 29, 2026
#HABAI: Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeendesha zoezi la uhakiki wa uthamini wa mali kwa wananchi, walioguswa na Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Katumba–Lupaso yenye urefu wa kilomita 35.3,…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 29, 2026
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 28, 2026
#ITVUPDATES: Mvua iliyoambatana na upepo mkali ndio chanzo cha Mti mkubwa kuanguka katikati ya Barabara Kuu ya Morogoro–Dar es Salaam katika eneo la Mzambarauni karibu na stendi ya Msamvu na…
#HABARI: Mti mkubwa umeanguka katikati ya Barabara Kuu ya Morogoro–Dar es Salaam katika eneo la Mzambarauni karibu na stendi ya Msamvu, hali iliyosababisha barabara hiyo kutopitika kwa muda na kuzua…
#HABARI: Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 31523 ya mwaka 2024, inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, pamoja na mwenzake Rweyemamu Rwezaura John, imeendelea leo katika Mahakama…
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa Serikali yake itaendelea kuheshimu na kutekeleza maamuzi ya mahakama, hata pale ambapo baadhi ya maamuzi hayo yanapingana na sera za Serikali yake.…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kivule lililopo Mkoani Dar es Salaam, Ojambi Massaburi, amesema Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri iliyoleta mageuzi makubwa nchini, ikiwemo kuvuna…
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 28, 2026 - WATU WAWILI WAUAWA KWA TUHUMA ZA WIZI WA NG'OMBE SONGWE
#HABARI: Watu wawili wameuawa na wananchi wenye hasira kali katika Kijiji cha Isalalo, wilayani Mbozi, kwa tuhuma za wizi wa ng'ombe nane wanaodaiwa kuibiwa wilayani Momba. Katika tukio hilo, wananchi…
#HABARI: Wananchi wa vitongoji 175 mkoani Mtwara wameipokea kwa shangwe hatua ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa kusambaza umeme utakaogharimu zaidi ya shilingi…
“…lakini Mheshimiwa Mwenyekiti nakisi ambayo sisi tunaiona hauwezi kuwa na mchakato bora wa Katiba Mpya kwa kutaja ahadi ya Katiba mpya peke yake sisi tunaona kwamba Katiba mpya inashughulikiwa kwa…
“…Mheshimiwa Mwenyekiti nukta moja ambayo imeachwa katika mijadala yetu na mimi nitaisema ni juu ya umuhimu wa haki ili kupata amani ya kweli…”- Ado Shaibu, Mbunge wa Tunduru Kaskazini. Powered…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi wa kitaalamu katika maeneo ya Tabata na Kimara jijini Dar es Salaam, kufuatia malalamiko ya wateja mitandaoni kuhusu umeme kuisha haraka. Kaimu…
#HABARI: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO - JANUARI 28, 2026
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania imeipatia tuzo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika kutatua migogoro ya wananchi kwa njia ya usuluhishi nje ya…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata KG 52.2 za Bangi na 38.9 za Mirungi na kuziteketeza katika Dampo la Serikali la Muriet lililopo jijini…
#HABARI: Serikali imeweka wazi kuwa haina mpango wa kuweka sheria kali inayowalazimisha watoto kuwahudumia wazazi wao wasiojiweza, badala yake inategemea misingi ya kifamilia na kijamii. Kauli hiyo imetolewa bungeni na…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, Bw. Justice Kijazi, amewapiga marufuku watumishi wa halmashauri hiyo kufunga maduka ya wafanyabiashara wanapochelewa au kukiuka taratibu za ulipaji kodi. Badala yake, amewaagiza…
#MEZAHURU: “…..kwanza utaifa, uzalendo vilevile kuondoa yale makapi ya ubaguzi, hisia za kujifanya mimi ni bora halafu tuthamini hutu kama tunavyosema kazi na utu..”-Kanali Mstaafu- Haroun Kondo. Powered by #MCHEZOSUPA…
#MEZAHURU: “…..Ni neno utaliona fupi lakini linabeba taswira kubwa sana hasa unapozungumzia nchi, ni kujitoa kwa nchi yako na kutanguliza maslahi ya nchi mbele kabla yako wewe binafsi...” Powered by…
đź”´MEZA HURU: UMUHIMU WA UZALENDO KWENYE TAIFA ...JANUARI 28, 2026
#MEZAHURU: Kipi kinachangia asilimia kubwa ya vijana wengi wa sasa wanaonekana kukosa UZALENDO? -WekaMaoni -SaaTisaKAMILI
đź”´UTOAJI WA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEKELEZAJI WA AHADI-WIZARA YA MAJI
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
‎#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zainab Abdallah (@zainababdallah) amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kuendelea kuchukua hatua stahiki kwa Viongozi na…
‎ #HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Patrobas Katambi, amesema Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa nchi salama Barani Afrika, kutokana na uimara wa Jeshi la Polisi na ushirikiano…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) kuwaweka ndani Mkandarasi na Mhandisi Mshauri wa mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Nguzo…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetangaza kukamata watuhumiwa mbalimbali 55 katika kipindi cha mwezi Januari, 2026 wakiwemo vijana wanaopora simu kwa kutumia bodaboda maarufu kama Vishandu. Kamanda wa…
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili, ambao ni Steve Stephano Elias (27) na Moses Joseph maarufu kama Kisoko (26) kwa tuhuma za kumteka Haiti Ramadhani na…
#HABARI: Polisi huko Mlolongo nchini Kenya, wamemkamata mwanamke kwa tuhuma za kuwapa sumu watoto wake watatu kufuatia mgogoro kati yake na mumewe. Mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Linet Mubaba,…
#HABARI: Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambaye pia ni mtoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Winnie Odinga, amekataa vikali madai ya mfanyabiashara Oketch Salah kwamba…
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 28, 2025
#HABARi: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linachunguza tukio la Mtoto Shaban Muebo (12) Mkazi wa Kijiji cha Masyalele Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara kwa kosa la kujaribu kumuua…
#HABARi: Wananchi mkoani Lindi, wameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kumtambulisha Mkandarasi, ambae atatekeleza mradi kwenye vitongoji 159 vya Wilaya za Liwale, Nachingwea, Ruangwa pamoja na Kilwa,…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
#SwaliLaKipimaJoto:Wakandarasi wanaosubiri ziara za viongozi kukamilisha miradi.Je, wawajibishwe kwa mujibu wa mikataba wanayoingia
đź”´#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 28, 2026
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 28, 2026
đź”´ #MAGAZETI: AINA YA MISWAKI HATARI KIAFYA / PANDE MBILI WINGA MPYA SIMBA ..JANUARI 28, 2026
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 27, 2026
#HABARI: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, imesema inakabiliwa na uhaba wa zaidi ya shilingi Bilioni 22 zinazohitajika kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka…
#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda jijini Dar es Salaam umejitokeza kushiriki zoezi la upandaji miti, katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya Rais wa…
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 27, 2026
#HABARI: Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) mkoani Songwe umeanza rasmi kazi ya upanuzi wa miundombinu ya barabara katika mpaka wa Tunduma unaounganisha Tanzania na Zambia. Zoezi hilo limehusisha uvunjaji wa…