Iran yaangusha ndege nyingine ya kivita aina ya F 16 ya adui
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu imesema operesheni hiyo lilitekelezwa kwa jina la siri “Ya Rasulullah” na kwa ajili ya kuwaenzi raia na watumishi waliouawa shahidi hivi karibuni walipokuwa…