Jeshi la Iran: Droni za adui zilizotunguliwa hadi sasa ni 132
Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuangushwa kwa ndege isiyo na rubani au droni moja ya kivita aina ya Hermes ya…
Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuangushwa kwa ndege isiyo na rubani au droni moja ya kivita aina ya Hermes ya…
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mauaji yanayotekelezwa na utawala huo dhidi ya raia wa Palestina…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amejibu madai ya uongo ya rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kuwepo kwa mazungumzo na Iran.
Rais wa Marekani amelazimika kuondoa vitisho vyake kuhusu kushambulia miundombinu ya umeme ya Iran baada ya onyo kali la Iran.
Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi Iran ya Khatamul Anbiyaa (SAW) amesema kuiambia Marekani na Israel kwamba: Munafanya makossa kufananisha vita vyenu na taifa lenye ghera na jeshi imara la…
Mufti Mkuu wa Libya ametoa taarifa kuhusu mashambulizi na uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran akisisitiza kuwa: Ni wajibu kuwahami Waislamu pale vita vinapotokea…
Waziri Mkuu wa Uhispania ametahadharisha kuhusu mgogoro wa nishati wa muda mrefu kwa wanadamu wote kutokana na vita vya uchokozi vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezitahadharisha taasisi za fedha zinazodhamini bajeti ya kijeshi ya Marekani.
Wananchi wa Uhispania wameandamana kulaani vita vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran. Maelfu ya wananchi wa Uhispania wamemiminika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Madrid,…
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Kenya, Shakira Wafula, ametangaza mshikamano wake na watu wa Iran na Palestina, akitoa ujumbe wa imani na matumaini.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, ameashiria msimamo wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi-NATO- kuhusu kukataa madai ya hivi karibuni ya maafisa…
Mwanazuoni mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al‑Sistani, amelaani kwa maneno makali vita vinavyoendeshwa hivi sasa na Marekani na Israel dhidi ya Iran na…
Harakati ya Muqawama au mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon imeweka rekodi mpya baada ya kutekeleza operesheni 61 dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku…
Katika kujibu hatua ya hivi karibuni ya viongozi wa Al-Azhar, Chuo Kikuu cha Kidini cha nchini Misri ya kulaani hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kulipiza kisasi dhidi…
Duru ya pili ya hujuma za kijeshi za Marekani na utawala wa Kizayuni imekuwa nukta muhimu katika historia ya mikataba na makubaliano ya kijeshi katika ulimwengu wa Magharibi.
Jeshi la Iran limetangaza kuwa limetungua ndege ya kivita aina ya F15 ya maadui wavamizi, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, kusini mwa nchi.
Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza kuwa makombora ya Iran sasa yanadhibiti kikamilifu anga ya utawala ghasibu wa Israel.
Baada ya Iran kufunga Lango Bahari la Hormuz na kupanda bei ya nishati kwa kiwango kikubwa, Wizara ya Fedha ya Marekani imelazimika kutangaza kuwa imeondoa vikwazo vya kununua mafuta ya…
Rais wa Russia amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa mshirika mwaminifu wa Iran katika nyakati hizi ngumu za kukabiliana na hujuma ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni na Marekani
Msemaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza shambulio kwa mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben‑Gurion katika mji wa Lod umbali wa…
Msemaji wa Kamandi ya Jeshi la Iran ya Khatam al-Anbiyaa (SAW) ametoa onyo kali kuhusu uwezekano wa kushambuliwa kijeshi miundombinu ya nishati na mafuta ya Iran.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema inaonekana kuwa umewadia wakati wa kutekeleza mpango unaofuata uliopangwa hapo awali kwa ajili ya mashambulizi zaidi dhidi ya Israel.
Gazeti la Uingereza la Independent limeandika kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amenasa katika maangamizi kwa kuanzisha vita dhidi ya Iran na analazimika kuipati Iran inachokitaka ili kukomesha vita hivyo.
Msemaji wa tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amepongeza mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya maeneo mbalimbali ya utawala…
Kinara wa Wademokrati katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amekosoa serikali na Warepublican nchini humo kwa kuanzisha vita dhidi ya Iran na kusisitiza udharura wa kubadilishwa utawala wa Marekani.
Mauaji ya kigaidi dhidi ya Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran mnamo Machi 17, 2026, siku 18 tu baada ya mauaji mengine ya kigaidi…
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii akisema: Taifa lenye irada na azma ya atomiki halihitaji bomu la atomiki.
Gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal limeripoti kwamba, Iran imeshambulia kwa makombora mojawapo ya kambi za mbali zaidi za kistratijia za jeshi la Marekani nje ya nchi hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haikubali suala la kusitishwa mapigano, bali inataka kukomeshwa kabisa, kikamilifu na daima kwa vita hivyo.
Operesheni iliyofanikiwa ya makombora ya Iran dhidi ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Haifa imesababisha uharibifu mkubwa katika kiwanda hicho. Kampuni ya Kusafisha Mafuta ya Haifa katika ardhi zinazokaliwa kwa…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwaambia wananchi wa Iran kwamba: Kwa kumpa adui pigo, mmemfahamisha kwamba hapambani tu na makombora, ndege zisizo na rubani, torpedo na zana za kijeshi…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa ujumbe maalum kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, 1405 na kusema: “Mwaka huu, kuliko wakati mwingine wowote, tunauhitaji Nowruz; Nowruz…
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Mrengo wa Haki utaendelea kuwa na uwezo na nguvu zaidi kila siku, na kwamba…
Mkurugenzi wa zamani wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi cha Marekani amekiri kwamba viongozi wakuu wa utawala wa Kizayuni na washirika wake wanaochochea vita wa Marekani ndio walimshinikiza…
Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu na mwenzake wa Uingereza, Yvette Cooper, kuhusu taathira za vita vya kulazimishwa vya Marekani na utawala wa…
Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa yoyote atakayepuuza haki ya Iran ya kujihami atakuwa amemhudumia adui.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema kuwa mashambulizi yanayoendelea katika eneo la Magharibi mwa Asia yamevuruga usafirishaji wa baharini na kwamba Beijing itaendeleza juhudu za usuluhishi…
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na…
Zahran Mamdani, meya Mwislamu wa New York, ametuma ujumbe wa salamu za Sikukuu ya Nowruz na mwaka mpya wa Kiirani kwa Wairani na kutangaza kwamba bado anapinga mashambulizi ya kijeshi…
Maafisa wa serikali ya Marekani wamegundua ndege zisizo na rubani zisizojulikana juu ya kambi ya kijeshi huko Washington ambako Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Vita wa Marekani…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza umuhimu wa hatua za haraka kutoka kwa nchi za eneo la Asia Magharibi ili kuzuia kuendelea kwa matumizi ya ardhi…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa onyo kuhusu uhalifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, akisisitiza kuwa moto wa mgogoro huu unaweza kuenea…
Ndege ya kivita ya kimkakati aina ya F‑35 ya Jeshi la Marekani imelengwa kwa kombora na kuharibiwa vibaya ikiwa inaruka katika anga ya kati mwa Iran kwa lengo la kutekeleza…
Hebu, jaribu kufumba macho yako na faradhisha kuwa unaishi katika mwaka wa 2050. Kwa mtazamo wako dunia itakuwaje wakati huo? Mgawanyo wa nguvu umebadilika vipi?
Picha za setilaiti za NASA zinaonyesha moto mkubwa uliotokea katika kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha gesi duniani huko Qatar.
Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika taasisi za gesi na nishati za Iran pamoja na shambulio katika kisima cha…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa vita vya sasa si vita vya wananchi wa Marekani. Ismail Baqaei ameeleza haya katika ujumbe aliotuma katika mtandao wa…
Gavana wa Benki Kuu ya Marekani ametahadharisha kuhusu athari mbaya za vita dhidi ya Iran kwa uchumi wa Marekani na kuongezeka gharama za maisha nchini humo.
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ametuma ujumbe na kuandika kuwa: Mashambulizi dhidi ya miundo msingi ya nishati ya Iran yana taathira ambazo ukubwa wake utaitatiza dunia nzima.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel Albares, amesisitiza kwamba Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel wameanzisha “vita vya upande mmoja” dhidi ya Iran na huo ni“ukiukaji…