đź”´AIBUYAKO…APRILI 27, 2026
đź”´AIBUYAKO...APRILI 27, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´AIBUYAKO...APRILI 27, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI:Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepongeza juhudi za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mchango wake katika kukuza Sekta ya Madini ambapo…
#HABARI: Mwenyekiti wa WLF, Mhe. Dkt. Evaline Munisi (MB), ametoa wito kwa Watanzania, hususan kizazi cha sasa, kuutazama Muungano kama amana takatifu ya Taifa na tunu ya kihistoria tuliyoachiwa na…
FT: Mlandege 0-3 Simba Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
HT: Mlandege 0-0 Simba Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
#HABARI: Kampuni ya GASCO, ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), imeendelea kuwa kinara katika kuwawezesha Watanzania wazawa kwa kuwapa nafasi za moja kwa moja…
"Kadri inavyowezekana tutumie sheria zetu vizuri, lakini pia wakati mwingine tutumie busara bila kuvunja sheria, nawaomba uhamiaji na vyombo vingine vya Serikali inapobidi katika mambo yanayoelezwa vizuri kisheria kila inapowezekana…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Tabora mkoani Tabora, Upendo Wella, amekitaka kikosi cha 212 cha Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kushirikiana na vyombo vingine vya dola kudhibiti…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja kusoma kwa bidii na kuzingatia masomo yao ili kuongeza kiwango cha ufaulu shuleni hapo.…
#HABARI: Vifo vya wanawake na watoto wachanga wakati wa kujifungua wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, vimepungua kutoka vifo vya watoto 17 hadi 5 na mama mmoja, hadi sifuri katika kipindi cha…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Emmaneul Cherehani ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Nishati kuwekeza miundombinu na umeme wa uhakika katika vijiji, Kata na maeneo…
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA NA UCHESHI...APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....APRILI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Baadhi ya wafanyabiashara wa viazi vitamu katika Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam, wameuomba uongozi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kutengeneza mfumo utakaowazuia wakulima kujaza viazi kinyume…
‎#HABARI: Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Msangano, iliyopo kitongoji cha Sayuni, Kata ya Msangano, Wilaya ya Momba mkoani Songwe, wapo katika hatari ya kukumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo mimba…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO...APRILI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....APRILI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuepusha ajali kwenye matumizi ya barabara kwa waenda kwa miguu. -Weka maoni yako (Feed generated with FetchRSS)
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Pakistan inaendelea na maandalizi ya mazungumzo ya kusitisha Vita baina ya Marekani na Iran, huku taarifa zikieleza kuwa Makamu wa rais wa Marekani JD Vance atasafiri siku ya Jumanne…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 21, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU: Je wewe kama Mtanzania unafahamu WAJIBU WAKO KATIKA ULINZI NA USALAMA kwenye kulinda Amani la taifa letu..? -Weka maoni yako -SaaTisa Alasiri (Feed generated with FetchRSS)
#MICHEZO: Lamine Yamal ametajwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi Duniani katika hafla ya Laureus World Sports Awards 2026 iliyofanyika katika Palacio de Cibeles, Madrid. Katika hafla hiyo iliyoongozwa na Novak Djokovic…
".....wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora......mara…
#HABARI: Rais William Ruto amekashifu watu wanaolinganisha gharama ya mafuta ya Kenya na ya majirani zake huku akidokeza kuwa hatua hiyo ni kwa kile alichokitaja kuwa ni kutokana na Kenya…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 20, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MAREKANI: Mtu mmoja amewaua watoto wake saba pamoja na mtoto mwingine ambaye si wa familia hiyo katika tukio la mauaji ya risasi yaliyotokea Shreveport katika Jimbo la Louisiana nchini Marekani,…
#HABARI: Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran hapo jana ilitangaza kuwa itarejesha vizuizi vyote kwenye Mlango Bahari wa Hormuz, hatua inayobadili msimamo wake iliyouchukua juzi Ijumaa wa kuufungua mlango huo…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imewahukumu maofisa wawili wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Thadeus Mtui na Florian Kilango, kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini…
đź”´KUMEKUCHA: QR CODE NA AKILI UNDE (AI)...APRILI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´#MAGAZETI:SABABU ADO KUBANWA NA ABUNGE WA CCM..APRILI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´WATOTO WETU -APRILI 18, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameitaka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Tabora, kuongeza kasi ya usambazaji wa dawa kwa wakati hasa katika maeneo ya Vijijini…
đź”´KUMEKUCHA MICHEZO: ..APRILI 16, 2026- SIMBA YAENDELEZA UBABE WAKE NBC (Feed generated with FetchRSS)
đź”´KUMEKUCHA: ..APRILI 16, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wizi wa miundombinu ya umma kuendelea kurudisha nyuma maendeleo. Je,wakamatwe wanaonunua miundombinu hiyo ili kukomesha biashara hiyo ? (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 mkoani Dar es Salaam zinatarajiwa kuingia wilayani Kinondoni Aprili 17, 2026, ambapo utakimbizwa kwa umbali wa kilometa 63.9. Katika mbio hizo, Mwenge…
"Ni muda wa kufikiria kujenga barabara za Lami, na kuachana na Barabara za Vumbi, na mmerahisisha lugha kuita barabara za vumbi, barabara za vumbi wakati wa kiangazi ikifika masika ni…
"Ukimpelekea mkulima mbolea shambani, tusipompa barabara ya kufikisha mazao kuyaleta mjini, sawasawa na kazi bure tu...lazima tufanye maamuzi kuhusu suala la barabara..."-Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu Baba Levo…
"...juzi nilienda kwa Shemdoe nyumbani kwake, sikumkuta...nilikuta Watoto wake niliona sura zimefanana nikajua ni Watoto wake, lengo nilikuwa nataka nikakae na Shemdoe tuongee kifamilia kuhusiana na barabara za Kigoma Mjini,…
#HABARI: Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar wamesema kifo raia wa Marekani, Ashly Robinson (31) kimetokana na kujinyonga katika chumba cha hoteli. Polisi wamesema Ashly ambaye alikuwa matembezini Zanzibar, alikutwa…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA, UVUNJIFU WA SHERIA WATAKIWA KUDHIBITIWA - APRIL 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
‎#HABARI: Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Lazaro, amesema kuwa vita vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali duniani vinaendelea kuathiri uzalishaji wa bidhaa, usafirishaji hali inayochangiwa na kupanda kwa bei…
FT: Simba 3-1 Dodoma Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA, SERIKALI YAOMBWA KUDHIBITI TAKATAKA KWENYE MITARO- APRIL 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
HT: Simba 0-1 Dodoma Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…