Nigeria: Raia kadhaa wauawa katika shambulio la jeshi sokoni katika Jimbo la Zamfara
Angalau watu 72, wengi wao wakiwa raia, waliuawa katika shambulio la anga la jeshi la Nigeria lililolenga soko lililojaa watu katika Jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria, kiongozi wa…