Kisa nadra cha mwanamke aliyepata ujauzito wa wanaume wawili kwa wakati mmoja
Sababu nyingine inayofanya visa hivi viwe nadra ni kwamba watu wengi hawafanyi vipimo vya kujua baba ya mtoto ni nani.
Sababu nyingine inayofanya visa hivi viwe nadra ni kwamba watu wengi hawafanyi vipimo vya kujua baba ya mtoto ni nani.
Newcastle yafikiria kumuuza Yoane Wissa, Delap ataka kupigania nafasi Chelsea, Barcelona yamtaka Julian Alvarez
Kulingana na utafiti, lita moja ya bia inaweza kuwa na kati ya miligramu 0.3 hadi 1 ya vitamini B6.
Katika mashariki mwa DRC, benki zimefungwa katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Uamuzi huu wa Kinshasa unadai kuwa unataka kuwalinda wenye amana na kuzuia rasilimali za kifedha za waasi. Hata hivyo,…
Waziri wa Vita wa Burkina Faso CĂ©lestin SimporĂ© amewasilisha rasimu ya sheria kwa Baraza la Mawaziri siku ya Ijumaa, Aprili 24, kwa ajili ya kuundwa kwa jeshi la akiba. Kulingana…
"Haya ni mabomu yanayolenga shabaha. Yanaitwa 'mabomu ya akili' kwa sababu yanaweza kutofautisha kati ya meli za mafuta, za kivita au za kibiashara na kulipuka kwa kulenga aina fulani ya…
Kulingana na makala ya Axios iliyochapishwa siku ya Jumapili, ikimnukuu afisa wa Marekani na vyanzo viwili vinavyofahamu jambo hilo, Iran imewasilisha pendekezo jipya kwa Marekani, kupitia wapatanishi wa Pakistan, linalolenga…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amethibitisha tena uungaji mkono wa Pyongyang kwa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, akiahidi kuisaidia Moscow kupata ushindi katika “vita yake takatifu,” vyombo vya…
Vyama 14 vya kisiasa ambavyo vimikutana mwishoni mwa wiki hii huko Ibadan, kusini magharibi mwa Nigeria, vilikubaliana kusimamisha wagombea kutoka vyama hivyo katika ngazi zote za uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika…
Nchini Colombia, wimbi la vurugu linaendelea kuenea. Tangu Aprili 24, mashambulizi yameongezeka katika eneo la Cauca. Wizara ya Ulinzi imewatambua wapinzani wa FARC chini ya uongozi wa Ivan Mordisco kama…
Wakati viwanja vingine vikubwa vya ndege vikikabiliwa na panya, migomo ya wafanyakazi na miundombinu inayoporomoka, utulivu wa kisasa wa kiwanja cha ndege cha Changi unaonekana kuwa katika dunia yake ya…
Waziri wa mMmbo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, akizungumza kutoka Moscow, ameishutumu Marekani kwa kushindwa kwa mazungumzo nchini Pakistan. Imechapishwa: 27/04/2026 – 11:36Imehaririwa: 27/04/2026 – 11:40 Dakika 1 Wakati…
Jumapili, Aprili 26, ilikuwa siku ya misukosuko nchini Mali, siku chache tu baada ya kuanzishwa kwa mashambulizi yaliyoratibiwa kati ya waasi wa Azawad Liberation Front (FLA) na wanajihadi. Ingawa Bamako…
Mtu aliyekamatwa na polisi baada ya ufyatuaji risasi usiku wa kuamkia Jumamosi kwenye hoteli iliyokuwa ikiandaliwa Chakula cha Waandishi wa White House sasa ametambuliwa
Kulikuwa na hali ya afueni miongoni mwa nchi za Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) wakati Marekani na Iran zilipokubaliana kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili tarehe 8 Aprili.
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kuendelea kufungwa kwa Benki katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa M23/AFC katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini, kumesababisha changamoto kubwa ya kibinadamu…
Baada ya ziara yake nchini Oman na kuzungumza kwa simu na mwenzake wa Uturuki, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amerudi Islamabad Jumapili, Aprili 26. Asubuhi ya…
Hili ni suala nyeti sana ambalo linaisumbua ofisi ya rais wa Israel. Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufika mbele ya majaji leo Jumatatu, Aprili 27, katika kesi yake ya ulaghai, uvunjaji wa…
Utawala wa kijeshi nchini Mli umetangaza siku mbili za maombolezo ya kitaifa Jumapili, Aprili 26, baada ya kuthibitisha kifo cha Waziri wa Ulinzi Sadio Camara, aliyeuawa nyumbani kwake huko Kati…
Mshukiwa anatarajiwa kushtakiwa kwa makosa ya kutumia silaha katika uhalifu wa vurugu pamoja na kushambulia maafisa wa serikali kwa kutumia silaha hatari.
Nchini Chad karibia watu 42 wameuwawa baada ya makabiliano na mapigano kuzuka Jumapili kati ya makabila yanayoishi mashariki mwa nchi hiyo. Imechapishwa: 27/04/2026 – 05:44 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Newcastle yamtaka Nicolas Jackson, Nottingham Forest yamfikiria Hayden Hackney, Chelsea yamrejelea Conte
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, imebaini kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa inashika nafasi ya tano duniani kwa idadi ya wakimbizi, huku…
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwa mgombe wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Imechapishwa: 27/04/2026 – 05:19Imehaririwa: 27/04/2026 – 05:36…
Mzozo huo wa kisheria unatokana na mradi wa Hope Downs, mojawapo ya miradi mikubwa na yenye faida kubwa zaidi ya madini ya chuma nchini Australia.
Inaonekana vigumu kuamini, lakini kwa muda mrefu kumekuwa na dalili kwamba dawa hiyo inaweza kupunguza uwezekano wa kuenea kwa saratani ya utumbo mpana.
Kwa mujibu wa maafisa wa usalama, mtu mwenye silaha alivamia hafla ya chakula cha jioni iliyohudhuriwa na Trump na mkewe, na kufyatua risasi kuelekea maafisa wa usalama katika eneo la…
Rais wa Marekani alikuwa katikati ya mazungumzo kabla ya milio mikubwa ya risasi kusikika katika eneo la tukio, kisha akaondolewa 'mbio mbio' kupelekwa mahali salama.
Arsenal wameanza mazungumzo ya kumsajili Maxi Araujo, wakati Manchester United ikipanga mabadiliko makubwa ya kikosi yanayoweza kuhusisha kuondoka kwa hadi wachezaji 13. Wakati huo huo, Ederson ameongezwa kwenye orodha ya…
Rais wa Marekani Donald Trump, Makamu wake JD Vance na maofisa wengine wa serikali walikimbizwa katika eneo salama baada ya milio ya risasi kusikika kwenye ukumbi ambapo walikuwa wakihudhuria halfa…
Wajumbe kutoka Marekani wanatarajiwa jijini Islamabad nchini Pakistan siku ya Jumamosi, kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya awamu ya pili na wawakilishi wa Iran. Imechapishwa: 25/04/2026 – 17:04 Dakika…
Nchini Mali, jeshi limesema limepambana na makundi ya kigaidi, yaliyoshambulia jiji kuu Bamako na viunga vyake, siku ya Jumamosi. Imechapishwa: 25/04/2026 – 16:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Mahakama ya rufaa nchini Kenya imeamua kuwa uavyaji mimba nchini humo, sio haki ya binadamu. Imechapishwa: 25/04/2026 – 16:46 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Uamuzi…
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba…
Jeshi la Mali limesema makundi ya kigaidi yenye silaha yalishambulia ngome zake kadhaa za kijeshi katika mji mkuu Bamako mapema leo Jumamosi. Imechapishwa: 25/04/2026 – 11:50Imehaririwa: 25/04/2026 – 12:28 Dakika…
Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi na wengine huko Gaza wameanza kupiga kura leo Jumamosi, Aprili 25, kuwachagua mameya wao. Kwa jumla, karibu watu milioni 1.5 wamejiandikisha kupiga kura katika Ukingo…
Wakati wa ziara ya Gustavo Petro huko Caracas, rais wa Colombia na rais wa mpito wa Venezuela wametangaza siku ya Ijumaa, Aprili 24, ushirikiano kati ya vikosi vyao vya kijeshi…
Wakati siku ya Malaria Duniani inaadhimishwa leo Jumamosi, Aprili 25, Shirika la Afya Duniani limethibitisha awali dawa mpya ya malaria katika mfumo wa vidonge vinavyoweza kuchanganywa na maziwa . Kwa…
Hata hivyo, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema hakuna mipango ya mazungumzo ya ana kwa ana kati ya pande hizo mbili, akibainisha kuwa ujumbe wa Iran…
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Mazungumzo kati ya Marekani na Iran ili kukomesha vita yanatarjiwa kuanza tena leo Jumamosi Aprili 25, huku wajumbe kutoka pande zote mbili wakisafiri hadi Islamabad, ingawa majadiliano ya moja kwa…
Licha ya kuongezwa kwa muda wa wiki tatu wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon yaliyotangazwa na Donald Trump siku ya Alhamisi, Aprili 23, mvutano unaendelea kati…
Wachimbaji madini zaidi ya mia moja kutoka kampuni ya Doruk Madencilik wamekuwa wkiandamana mbele ya Hifadhi ya Kurtulus katikati mwa Ankara kwa siku kadhaa. Wachimbaji hao madiniambao wanatokea katika jiji…
Askari kadhaa na wasaidizi wao kutoka Volunteers for the Defense of the Homeland (VDP) pia wameripotiwa kutoweka kufuatia shambulio lililotokea mapema siku ya Jumatano asubuhi, Aprili 22. Imechapishwa: 25/04/2026 –…
Akikabidhiwa mamlaka hayo tangu Aprili 7, James Swan amewasili siku ya Ijumaa, Aprili 24, katika mji mkuu wa Kivu Kaskazini, unaodhibitiwa na AFC/M23, kwa ziara ya siku mbili, ambapo amekutana…
Morgan Rogers hana neno kuhamia Ulaya, Manuel Akanji anatarajiwa kuhamia moja kwa moja Inter Milan, huku Manchester City wakiwa na imani ya kumsajili Elliot Anderson.
Nchini Nigeria, kumezinduliwa Mahakama maalum ya kijeshii, itayosikiliza kesi dhidi ya maafisa 36 wa kijeshi, walioshtakiwa kupanga njama za kumpindua rais Bola Tinubu. Imechapishwa: 24/04/2026 – 15:16 Dakika 1 Wakati…
Ukame umesababisha watu zaidi ya 62,000 kuyahama makazi yao katika wilaya tano nchini Somalia, tangu kuanza kwa mwaka huu, huku Umoja wa Mataifa ukionya kuwa hali ya nchi nzima, inaweza…
Baadhi ya wanawake ambao walijifunza kuendesha baiskeli miaka ya 1990, walijipatia nafasi nzuri za kazi, wakabadilisha maisha yao, pamoja ya watoto na wajukuu wao.
Kamanda wa jeshi la IRGC na Quds amesisitiza uwepo wa mshikamano katika idara za serikali ya Iran.