Niger: JNIM yadai kuhusika na shambulio la uwanja wa ndege wa Niamey lililowaua wanajeshi 11
Angalau wanajeshi kumi na mmoja, raia wawili, na washambuliaji 22 wameuawa katika shambulio la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Niamey siku ya Alhamisi asubuhi, Juni 18, kulingana na ripoti…