Nusu ya watoto duniani wanakabiliwa na athari za mabadiliko ya hali ya hewa
Takriban nusu ya watoto wote duniani sasa wanaishi katika mazingira yanayokabiliwa na hatari zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa, hali inayotishia afya yao, elimu na maisha yao kwa mujibu…