🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 09, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 09, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 09, OKTOBA 2025
"Kama Biden aliweza kuufungia mtandao wa Tiktok ukiwa hauendani na Propaganda zao kwa sababu maudhui ya TikTok ni ya china, pia hii Instagam, Twitter na Facebook haziendani na sisi tuzitie…
"Leseni inayotolewa na TCRA inatolewa na masharti, yale masharti yanatakiwa kuyatekeleza, yale masharti inamaana ni miiko" Robin Ulikaye - Afisa Mawasiliano TCRA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000…
#HABARI: Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga, amemuhakikishia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan,…
#HABARI: Mkurugenzi wa Nishati safi ya kupikia, Wizara ya Nishati, Bw. Nolasco Mlay, ametoa wito kwa shule zote nchini kuhakikisha zinaachana na matumizi ya kuni na badala yake kuhamia kwenye…
Algeria imefuzu kwa Kombe la Dunia siku ya Alhamisi, ikiwa ni timu ya nne kutoka Afrika kupata nafasi hiyo kwa mashindano yatakayofanyika Marekani Kaskazini mwakani, baada ya kuwafunga Somalia 3-0.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilisha reli ya kisasa ya SGR kutoka Tanga hadi Musoma na kufufua bandari za Mkoa wa Mara ili kuchochea…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2025 yatazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Sambamba…
#HABARI: Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu, imeendelea na usikilizwaji wa shahidi wa pili, baada ya upande wa Jamhuri kuhitimisha kusawazisha maswali ya dodoso yaliyokuwa yakiulizwa…
🔴MALUMBANOYAHOJA: SIASA ZA MITANDAONI WAKATI WA UCHAGUZI.JE, NINI CHANGAMOTO.
Rais Felix Tshisekedi ametoa wito kwa mwenzake wa Rwanda Paul Kagame "kukumbatia amani" na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi ametoa wito kwa watumishi wa umma kote nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika…
Fahamu kwamba pamoja na uchaguzi huu wa mwaka 2025 kufanyika Tanzania Bara na Visiwani, kitovu cha kipekee ni Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Upekee wake unatokana na…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema endapo atachaguliwa, atahakikisha wananchi wanapewa fursa za kujikwamua na kuboresha hali ya maisha yao. Kauli hii alitoa…
#HABARI: Dereva wa gari la kubebea na kuchanganya zege lenye Namba za Usajili Z 994 NS la Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Iris, Nassor Fatawi Idd amefariki dunia na…
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa…
Katika kampeni za kunadi ilani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), wananchi wa Mkoa wa Pwani wameahidiwa kufaidika na mageuzi ya kisera yatakayochochea ukuaji wa uchumi kupitia viwanda na…
Mgombea Urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elius amesema atahakikisha uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Iringa unakua kupitia ujenzi wa viwanda vya mazao ya misitu…
#HABARI: Wanaharakati wa Kenya na Uganda, wametoa wito kwa Umoja wa Afrika na Mashirika ya Kimataifa ya Haki za Binadamu, kuingilia kati kufuatia kukithiri kwa visa vya utekaji nyara katika…
Rais Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa Uturuki iko tayari kushiriki katika ujumbe wa mataifa mbalimbali kufuatilia kusitishwa kwa mapigano Gaza, akiahidi kuunga mkono juhudi za ujenzi upya.
Waziri wa Madini, Anthony Peter Mavunde amezindua ujenzi wa mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) unaofanywa na kampuni ya Faru Graphite Corporation inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 09, 2025 - KESI YA LISSU SHAHIDI ALIVYOGUNDUA JINAI
Ukiwa mfanyabiashara au mteja, umewahi kujiuliza ‘QR Code’ zina umuhimu gani? Meneja Masoko wa ScanCode Tanzania, Cresensia Mbunda, anaeleza kuwa teknolojia hiyo ni nyenzo muhimu inayorahisisha miamala, upatikanaji wa taarifa…
Uwe mzawa au mtalii, AzamPesa inakuhakikisha maisha ya kifahari yasiyo na usumbufu popote ulipo. Kwa sasa, huduma hiyo imezidi kupanuka baada ya kuingia katika ushirikiano na kampuni ya VISA, hatua…
Keane ashinikiza Amorim afukuzwe, ampendekeza Simeone Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na kocha Ruben Amorim haraka iwezekanavyo, ili kuinusuru timu hiyo ambayo imeanza…
#MALUMBANOYAHOJA: Siasa za mitandaoni wakati wa uchaguzi. Je, nini changamoto, wajibu na majukumu ya raia, serikali na wadau kulinda jamii na taifa dhidi ya upotoshaji na uchonganishi?
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kiutu, OCHA imesema takribani tani 170,000 za misaada zimeandaliwa na zinasubiri kupelekwa katika Ukanda wa Gaza.
JKT Queens imeifuata Simba Queens katika fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kuitoa Yanga Princess kwa mikwaju ya penati 6-5 kufuatia sare ya bao 1-1.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi amemtaka Rais wa Rwanda, Paul Kagame kuacha kuwaunga mkono waasi wa M23 nchini Kongo.
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen amesalimika katika kura mbili za kutokuwa na imani naye katika Bunge la Ulaya.
Jumuiya ya Maendeleo ya Biashara ya Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika — COMESA — imetangaza kuanza mkakati mkubwa wa kidijitali unaolenga kuimarisha biashara.
Ripoti za vyombo vya habari zilizotolewa leo, zinaonyesha kuwa jeshi la Sudan lilitumia gesi ya klorini katika mashambulizi mawili mwaka 2024, kaskazini mwa mji mkuu, Khartoum.
Mwandishi wa vitabu kutoka Hungary, László Krasznahorkai ameshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi kwa mwaka 2025.
Tanzania inatarajia kuongeza uzalishaji wa madini ya kinywe barani Afrika, kufuatia uzinduzi wa ujenzi wa mgodi wa madini hayo katika eneo la Mahenge, wilayani Ulanga mkoani Morogoro. Mradi huo unatarajiwa…
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Japani umefanya ziara katika maeneo yanayosimamiwa na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi (TISEZA) kwa lengo la kutathmini fursa na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara…
#HABARI: Wadau mbalimbali wamendelea kuchangia ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ambapo kampuni inayojishugulisha na ujenzi ya Sami…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KILIMANJARO: OKTOBA 09, 2025, MAGUGU MAJI KERO KWA WAVUVI
Umoja wa Mataifa utaanza kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani na operesheni zake na kuwalazimu maelfu ya wanajeshi kuondoka katika maeneo mbalimbali ya migogoro duniani katika miezi michache ijayo.
Mpira wa miguu unachukua mwelekeo mpya sasa baada ya vilabu kuanza kulipwa ili kucheza mechi zake za ligi ya ndani katika mataifa ya nje.
KUNA uwezekano wa zaidi ya asilimia mia moja kwamba mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya Yanga na Simba ukakutanisha makocha wawili wapya wa timu…
KUNA mjadala ambao unaonekana kuteka vijiwe vingi vinavyojadili soka ukihusu tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi na tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi katika Ligi Kuu Tanzania Bara.