Lake Victoria Marathon kusaidia watoto njiti
Mashindano ya mbio za nusu marathoni za Lake Victoria (Lake Victoria Half Marathon 2025) yamefanyika juzi Jumapili huku Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za mkononi, YAS kwa kushirikiana na huduma…
Mashindano ya mbio za nusu marathoni za Lake Victoria (Lake Victoria Half Marathon 2025) yamefanyika juzi Jumapili huku Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za mkononi, YAS kwa kushirikiana na huduma…
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo ambapo shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri, Inspekta John Kaaya ataulizwa maswali ya…
Kama una ndugu au jamaa ambaye unahisi ana changamoto ya akili na hujui jinsi ya kumwambia, sikiliza ushauri wa Mtaalamu wa Saikolojia, Elibariki Mkumbo, akielezea viashiria vya changamoto za afya…
“Haki ya kuishi ni haki ya msingi ya mwanadamu… kwa hiyo kumpa mtu wasaa wa kuchagua namna ya kufa, haijakaa sawa kwa sababu watu wengi hawajawahi kukabiliana na kifo…” wanasheria,…
Shirika la ulinzi wa kiraia la Gaza limesema leo kuwa vikosi vya Israel vimeanza kuondoka kutoka sehemu nyingi za eneo hilo, hasa katika mji wa Gaza City na Khan Yunis.
Mamlaka ya Ubelgiji imewakamata vijana watatu wanaoshukiwa kupanga njama ya kumshambulia Waziri Mkuu Bart De Wever na wanasiasa wengine kwa kutumia vilipuzi vya kurushwa kwa droni.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso, imekataa kuwachukua watu waliofukuzwa kutoka Marekani, katika hali inayoonekana kupuuza mojawapo ya sera za uhamiaji za Marekani zilizotiwa saini na Rais Donald Trump.
Senegal imeorodhesha vifo 17 vilivyotokana na homa ya Rift Valley, RVF katika wakati ambapo kuna mlipuko mkubwa usio wa kawaida wa ugonjwa huo unaosababishwa na virusi nchini humo.
KILICHOJIRI LEO KESI YA LISSU, YAAHIRISHWA HADI J’TATU #HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kesi…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia kijana aitwaye Piere Saimoni (20), mkazi wa Nzuguni B kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ubakaji. Kijana huyo anatuhumiwa kuwabaka wanawake…
Tuzo ya kimataifa ya amani ya Nobel imetolewa kwa mwanasiasa wa upinzani na mwanaharakati wa demokrasia nchini Venezuela, Maria Corina Machado, kamati inayotoa tuzo hiyo imetangaza. Imechapishwa: 10/10/2025 – 12:18Imehaririwa:…
Polisi wanatumia mabomu ya machozi, na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 10, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
Kamati ya Nobel ya Norway, imemtangaza kiongozi wa upinzani Venezuela na mwanaharakati wa kutetea demokrasia Maria Corina Machado kuwa mshindi wa Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2025.
#MEZAHURU: Je ni kweli MARAFIKI wa pembeni ndio chanzo cha NDOA nyingi kuvunjika kwa sasa.?
Changamoto za afya ya akili imekuwa ikiongezeka siku hadi siku katika jamii zetu. Hii inatokana na baadhi yatu kubeba mizigo ya kihisia kwa muda mrefu bila msaada, jambo linaloathiri mahusiano,…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wanafamilia wa…
Jeshi la Polisi nchini kupitia msemaji wake, DCP David Misime, limesema limejipanga kikamilifu kudhibiti uhalifu na kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na chombo kimoja cha habari…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
#HABARI: Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Tundu Antipas Lissu imeanza kusikilizwa ikiwa ni siku na tano mfululizo ambapo leo Mhe Lissu ameanza…
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, ameahidi kuwa endapo chama chake kitaingia madarakani, kitajikita katika kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la wananchi. Akizungumza katika mkutano…
Nchini Mali, maafisa kumi na mmoja wa vyeo vya juu, wakiwemo majenerali wawili, wamefutwa kazi jeshini. Uamuzi huo ulitolewa kwa agizo mnamo Oktoba 8, 2025, na rais wa mpito, Jenerali…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
Baada ya Israel na Hamas kufanya mkutano nchini Misri kujadili suluhisho la kudumu la amani katika Ukanda wa Gaza, pande hizo mbili zimekubaliana kuanza kutekeleza baadhi ya vipengele 20 vilivyopendekezwa…
#MICHEZO: Tarehe 14 Oktoba katika siku ya kumbukizi ya Hayati Julius Nyerere, uongozi wa Altas School umeandaa Marathon inayokwenda kufanyika, mbio hizi kwa mara ya saba zinakwenda kufanyika. Powered by…
Kampeni za uchaguzi nchini Côte d’Ivoire zinaanza leo Ijumaa, Oktoba 10. Uchaguzi wa urais utafanyika Jumamosi, Oktoba 25. Kabla ya hapo, kwa muda wa wiki mbili, wagombea watano walioidhinishwa na…
Kikosi cha dharura cha Ukraine kimefanya juhudi za kuokoa maisha ya watu na kudhibiti moto uliosababishwa na shambulio lililofanywa na Urusi usiku wa kuamkia leo katika mji wa Kyiv. Tukio…
Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaogundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya matiti, wataalamu wa afya wanasema hata wanaume nao hawako salama, kwani nao wako katika hatari ya…
#HABARI: Serikali ya Israel imethibitisha rasmi kuidhinisha mpango wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza pamoja na mpango wa kuwaachilia mateka, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Waziri Mkuu…
Umoja wa Ulaya (EU) unanuia kuongeza uwekezaji wa biashara katika nchi za Kusini, kama sehemu ya mkakati wake wa “Global Gateway” uliozinduliwa mwaka 2021 ili kukabiliana na ushawishi wa China…
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga katika Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. Crispin Kahesa amesema unene au uvimbe ndani ya titi, pamoja na mabadiliko ya sura au mwonekano wa titi…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wazee wa mkoa huo kuhamasisha jamii kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025, na kuhakikisha vijana wanalinda amani ya nchi. Amesema wazee wanayo…
Shutuma mpya za uvunjifu wa amani zaikumba Pembe ya Afrika: Addis Ababa inashutumu jirani yake, Eritrea, na Tigray People’s Liberation Front (TPLF) kwa “kujiandaa kikamilifu kwa vita dhidi ya Ethiopia.”…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
Kampeni za uchaguzi zinakaribia kumalizika nchini Cameroon. Wakati takriban wapiga kura milioni 8 wakiwa wameratibiwa kumpigia kura rais wao Jumapili, Oktoba 12, nini matarajio yao siku mbili kabla ya uchaguzi?…
Serikali ya Israel imetangaza leo Ijumaa, Oktoba 10, kwamba imeidhinisha makubaliano ya kuwaachilia mateka huko Gaza, hatua mpya katika utekelezaji wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko…
Chama tawala nchini Korea Kaskazini, Chama cha Wafanyakazi, kinaadhimisha miaka 80 tangu kuasisiwa kwake.
Korea Kaskazini, Alhamisi hii, Oktoba 9, imeadhimisha miaka 80 ya Chama cha Wafanyakazi, ambacho kimetawala nchi hiyo bila kugawana madaraka na vyama vingine tangu mwaka 1949. Imechapishwa: 10/10/2025 – 08:17…
Rais wa Peru Dina Boluarte ametimuliwa usiku wa Alhamisi, Oktoba 9, kuamkia Ijumaa, Oktoba 10, kwa kura nyingi za wabugne, kufuatia hoja kadhaa zilizowasilishwa wakati wa mchana na makundi mbalimbali…
magenge ya wahalifu wamepambana na polisi aktika mji mkuu wa Haiti, Port-au.Prince. Milio ya risasi imeripotiwa mjini humo.
🔴KUMEKUCHA: SARATANI YA MATITI ...OKTOBA 10, 2025
Kampeni nchini Cameroon, zinatarajiwa kutamatishwa kuelekea uchaguzi mkuu, uliopangwa kufanyika siku ya Jumapili, ambapo rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 43, anatarajiwa kuendelea…
🔴MAGAZETI: ALIKO POLEPOLE KWAIBUA UTATA- 10 OKTOBA 2025
Elimu ya Juu inayotolewa kwa mkopo ngazi mbalimbali Je, inatoa wataalamu wanaokidhi mahitaji ya nchi katika sekta mbalimbali ? #SWALILAKIPIMAJOTO #10oktoba2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 10, 2025
"Wale wachache wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya, wachukuliwe hatua, wale wenye akaunti nyingi za uongo kwa ajili ya kutukana watu"Neema Misanga - Mshiriki JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma…
"Vijana mkumbuke baadhi ya wahalifu, wamebaini kwamba kutokana na mitandao hiyo ya nje wakianzisha akaunti zao, wakipeleka maudhui ya uchonganishi, wakipata wafuasi wengi ndivyo wanavyolipwa na hiyo mitandao" DCP -…
"Kama kijana anawajibu wa kuhakikisha kwamba taarifa zote ambazo hazikuthibitishwa hapaswi kuzisambaza" Bakari Muno - Mshiriki JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M…