#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zainab Abdallah (@zainababdallah…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zainab Abdallah (@zainababdallah) amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kuendelea kuchukua hatua stahiki kwa Viongozi na…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Patrobas Katambi, amesema Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa nchi salama Barani Afrika, kutokana na uimara wa Jeshi la Polisi na ushirikiano…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….JANUARI 28, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
Sheria zisiwabague wakubwa na wadogo
Kila ninapofuatilia mijadala na maelezo ya wananchi wanapotembelewa na viongozi au waandishi wa...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) kuwaweka ndani Mkandarasi na Mhandi…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) kuwaweka ndani Mkandarasi na Mhandisi Mshauri wa mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Nguzo…
Serikali, CCM ina dhamana ya upendo uliotetereka
Nimekuwa nikifuatilia katika mitandao ya kijamii hasa kunapokuwa na taarifa za kifo kiongozi wa...
Iran ilivyofanikiwa kuvunja mtandao wa mawasiliano ya kigaidi kwa kukata intaneti
Iran ilifanikiwa kuvuruga na hatimaye kuvunja mtandao wa mawasiliano wa makundi ya kigaidi na washirika wao wa nje kwa hatua ya kukata intaneti wakati wa machafuko ya Januari 2026.
Kivuli cha Professor Jay kwenye safari ya AY, Tundaman, Chid Benzi
Tangu akiwa na kundi la Hard Blasters Crew (HBC) hadi aliposimama peke yake, Professor Jay...
Usiku wa Ulaya na vita ya kufuzu Ligi ya Mabingwa
Mzunguko wa nane na wa mwisho wa hatua ya ligi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya unatarajiwa kutoa...
Waziri wa Usalama: Umoja wa kitaifa utazuia vitisho kwa umoja wa kitaifa wa Iran
Waziri wa Usalama wa Iran amesema kuwa taifa la Iran halitaruhusu umoja wa kitaifa wa nchi hii udhoofishwe akisisitiza kuwa umoja wa taifa la Iran ndiyo nguzo kuu ya kukabiliana…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….JANUARI 28, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetangaza kukamata watuhumiwa mbalimbali 55 katika kipindi cha mwezi Januari, 2026 waki…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetangaza kukamata watuhumiwa mbalimbali 55 katika kipindi cha mwezi Januari, 2026 wakiwemo vijana wanaopora simu kwa kutumia bodaboda maarufu kama Vishandu. Kamanda wa…
Serikali ya Sudan Kusini: Hatuko vitani licha ya mapigano makali
Serikali ya Sudan jana ilitangaza kuwa haiko vitani licha ya mapigano makali yanayoendelea dhidi ya waasi katika siku za karibuni.
Dunia inavyorejea kwenye utawala wa mtu mmoja
Kwa muda mrefu, dunia imekuwa ikiyumba kati ya nguvu za watawala binafsi wenye nguvu za...
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili, ambao ni Steve Stephano Elias (27) na Moses Jos…
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili, ambao ni Steve Stephano Elias (27) na Moses Joseph maarufu kama Kisoko (26) kwa tuhuma za kumteka Haiti Ramadhani na…
Rwanda yaishtaki serikali ya Uingereza kwa kukiuka makubaliano ya wahamiaji
Rwanda imeishtaki serikali ya Uingereza kuhusu makubaliano ya wahamiaji ambayo London imeyatelekeza yapata miaka miwili iliyopita.
#HABARI: Polisi huko Mlolongo nchini Kenya, wamemkamata mwanamke kwa tuhuma za kuwapa sumu watoto wake watatu kufuatia mgogoro k…
#HABARI: Polisi huko Mlolongo nchini Kenya, wamemkamata mwanamke kwa tuhuma za kuwapa sumu watoto wake watatu kufuatia mgogoro kati yake na mumewe. Mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Linet Mubaba,…
Jinai mpya: Hamas yailaani Israel kwa kufukua mamia ya makaburi huko Gaza
Harakati ya muqawama ya Palestina, Hamas, imelaani jinai mpya ya utawala mhalifu wa Israel, ikisema kuwa wanajeshi wa Israel wamefukua mamia ya makaburi katika eneo la mashariki la Ukanda wa…
MONUSCO yawarejesha nyumbani waasi 15 wa zamani wa Rwanda kutoka Kongo
Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) kimeripoti kuwa kimewarejesha nyumbani Wanyarwanda 34, wakiwemo wapiganaji 15 wa zamani wa kundi la waasi…
#HABARI: Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambaye pia ni mtoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Winnie Oding…
#HABARI: Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambaye pia ni mtoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Winnie Odinga, amekataa vikali madai ya mfanyabiashara Oketch Salah kwamba…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 28, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 28, 2025
#HABARi: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linachunguza tukio la Mtoto Shaban Muebo (12) Mkazi wa Kijiji cha Masyalele Wilaya ya Na…
#HABARi: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linachunguza tukio la Mtoto Shaban Muebo (12) Mkazi wa Kijiji cha Masyalele Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara kwa kosa la kujaribu kumuua…
Maneno manne ya Fella baada ya ukimya wa muda mrefu
Dar es Salaam. Sweet Fella ambaye ni mke wa meneja wa wasanii, Mkubwa Fella, amesema hali ya...
Stanbic waratibu hatifungani ya makazi kuimarisha umiliki wa nyumba
Hatifungani hiyo inalenga kuhamasisha mtaji wa ndani kwa ajili ya kugharamia mikopo ya nyumba...
#HABARi: Wananchi mkoani Lindi, wameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kumtambulisha Mkandarasi, amb…
#HABARi: Wananchi mkoani Lindi, wameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kumtambulisha Mkandarasi, ambae atatekeleza mradi kwenye vitongoji 159 vya Wilaya za Liwale, Nachingwea, Ruangwa pamoja na Kilwa,…
Mwanamke amshikilia mwanamke mwanzake mateka kwa miaka 25
Wixon alimpa mwathiriwa chakula kidogo na hakumruhusu kutoka nje ya nyumba na alilazimika kuoga kwa siri usiku.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….JANUARI 28, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
Yanga, Al Ahly zatumiana salamu kwa dozi sawa
Yanga na Al Ahly zimepata ushindi unaofanana katika mechi za Ligi kwenye nchi zao leo Jumanne...
Jumatano, tarehe 28 Januari, 2026
Leo ni Jumatano 8 Sha'ban 1447 Hijria mwafaka na 28 Januari 2026.
Kenya katika kivuli cha ukoloni wa Uingereza; simulizi ya umwagaji damu na ukandamizaji dhidi ya Mau Mau
Katika miaka ambayo Uingereza ilijiona kuwa taifa kubwa na lisilo na mpinzani duniani, ardhi moja katika Afrika Mashariki polepole ikageuka na kuwa eneo la mojawapo ya uzoefu mchungu zaidi wa…
Uganda: Serikali yatetea hatua zake na mkakati wake wa usalama baada ya uchaguzi
Nchini Uganda, serikali inakataa shutuma za ukandamizaji wa kisiasa. Katika taarifa iliyotolewa Januari 27, 2026, Waziri wa Habari alitetea kukamatwa kwa watu na kuzimwa kwa huduma yaintaneti, akisema kwamba alichukua…
#SwaliLaKipimaJoto:Wakandarasi wanaosubiri ziara za viongozi kukamilisha miradi.Je, wawajibishwe kwa mujibu wa mikataba wanayoin…
#SwaliLaKipimaJoto:Wakandarasi wanaosubiri ziara za viongozi kukamilisha miradi.Je, wawajibishwe kwa mujibu wa mikataba wanayoingia
Riyadh yasema haitaruhusu mashambulizi dhidi ya Iran kutokea kwenye ardhi yake
Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameapa akisisitiza kwamba ardi ya ardhi ya nchi yake haitotumika kuishambulia Iran. Hayo alimuahikishia Rais wa Iran Masoud Pezeshkian siku ya Jumanne, wakati…
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 28, 2026
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 28, 2026
Uzee kumkutia R Kelly gerezani
Wakati nguli wa Pop R Kelly akiendelea kutumikia kifungo chake katika gereza la Butner, North...
Yanga yarejea kileleni, Depu aendelea kutupia
KIKOSI cha Yanga, kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumanne Januari 27, 2026 kwenye Uwanja wa KMC Complex…
Rais wa Iran Pezeshkian aonya kuhusu vitisho vya Marekani
Wakati wa mazungumzo ya simu na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman, Rais wa Iran Massoud Pezeshkian amesisitiza kwamba ukosefu wa utulivu wa kikanda “haufaidii mtu yeyote.” Imechapishwa: 28/01/2026…
Mashariki mwa DRC: Serikali yawakumbuka waathiriwa wa mzozo, mwaka mmoja baada ya kupoteza Goma
Serikali ya Kongo imetangaza Januari 27, 2026, “siku ya kuwakumbuka waathiriwa wa ukatili uliofanywa na muungano wa jeshi la Rwanda na M23-AFC katika miji ya Bunagana na Uvira,” mashariki mwa…
Rais Pezeshkian: Vita vya kisaikolojia vya Marekani vinalenga kuvuruga usalama Asia Magharibi
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameonya kwamba harakati za kijeshi za Marekani katika Asia Magharibi ni sehemu ya juhudi zilizopangwa za kuyumbisha amani ya eneo hilo.
The Guardian: Hofu inayotanda Minneapolis inafanana na ya vita vya wenyewe kwa wenyewe
Makala ya uchambuzi iliyochapishwa na gazeti la Uingereza la The Guardian imefafanua ilichokielezea kuwa ni eneo la kutisha huko Minneapolis, Minnesota, nchini Marekani na kusema kwamba ni wakati muhimu unaofichua…
Jeshi la Sudan lavunja mzingiro wa miaka 2 wa wanamgambo wa RSF dhidi ya mji muhimu huko Kordofan
Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limevunja mzingiro wa karibu miaka miwili wa wanamgambo wa RSF katika mji muhimu katika mkoa wa Kordofan, na kudhibiti njia kuu za usafirishaji.
Namna Urusi inavyotumia wanaosakwa na Interpol kuwawinda wakosoaji wake ughaibuni
Maelfu ya faili zilizotolewa na mtoa taarifa wa Interpol zinafichua kwa mara ya kwanza ukubwa wa unyanyasaji unaoonekana kufanywa na Urusi dhidi ya shirika la polisi la kimataifa ili kuwalenga…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 28, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 28, 2026
Somalia yakamata msaada wa chakula uliorejeshwa kwa WFP baada ya kutoelewana na Marekani
Serikali ya Somalia imesema kuwa msaada wa chakula uliotolewa kwenye ghala wakati wa shughuli za upanuzi wa bandari katika mji mkuu, Mogadishu, umerejeshwa kwa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani…
Donald Trump kupunguza operesheni dhidi ya wahamiaji haramu kufuatia mauaji ya watu wawaili
Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani amesema utawala wake unafikiria kupunguza operesheni za wahamiaji wasio na vibali kwenye mji wa Minneapolis baada ya maafisa wa kikosi maalum cha uhamiaji…
Trump ‘kulegeza kamba’ dhidi ya wahamiaji haramu kufuatia mauaji ya Mmarekani
Hayo yanajiri huku Waziri wa masuala ya usalama Kristi Noem akikabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kufuatia mauaji ya raia wa Marekani yaliyotokea huko Minneapolis, yaliyofanywa na Mawakala wa idara ya…