George Ruto: Video yafichua ndani ya boma la kifahari la mwana wa rais, maegesho ni mashangingi tupu
Wakenya walipata mwonjo wa kipekee wa mtindo wa maisha ya kifahari ya George Ruto katika video iliyosambaa mtandaoni ikionyesha boma lake la kifahari.