Wasanii wa Afrika Mashariki wanavyoishi katikati ya vita ya Marekani na Iran
Wanamuziki wengi wa Afrika Mashariki hupenda kufanya matamasha na kuishi Dubai kwa lengo la kupata malipo mazuri pamoja na kutumia jukwaa hilo kuwafikia mashabiki wa kimataifa.