Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Arsenal wamtaka Bruno Guimaraes wa Newcastle
Viungo wa Newcastle Sandro Tonali na Bruno Guimaraes wanahitajika, Chelsea wanamtaka Maxence Lacroix na Liverpool bado wanamfukuzia Yan Diomande.
Viungo wa Newcastle Sandro Tonali na Bruno Guimaraes wanahitajika, Chelsea wanamtaka Maxence Lacroix na Liverpool bado wanamfukuzia Yan Diomande.
Katika sehemu hii ya pili tutaangazia Mafunzo na mazingatio yaliyomo Katika tukio la Kuhama...
Polisi nchini Kenya jana walitumia mabomu ya kutoa machozi dhidi ya waandamanaji katika maeneo mbalimbali mjini Nairobi huku makundi yanayoongozwa na vijana yakifanya kumbukumbu ya miaka miwili tangu maandamano ya…
#KombeLaDunia2026 Mwenyeji Marekani ameshafuzu hatua inayofuata, lakini amepania kuendeleza moto wake, akisaka rekodi ya kufikisha alama tisa... Habari mbaya kwake ni kwamba anakutana na wakongwe Uturuki ambao wanasaka heshima ili…
#KombeLaDunia2026 Paraguay vs Australia ni vita ya kufa au kupona... Kila timu ina alama tatu, ni ama watoke sare wafuzu wote au mmoja apigwe ili mwingine awe na uhakika wa…
#KombeLaDunia2026 Sweden nao wamepenya kupitia ‘tundu’ la best loser… Kuhusu Tunisia, hakuna habari mpya zaidi ya furushi la magoli walilobeba kurudi nalo Afrika. FT: Tunisia 1-3 Uholanzi FT: Japan 1-1…
#KombeLaDunia2026 Tunisia ‘gudubai’: Walifuzu kwa kishindo, na wametupwa nje kwa kishindo. FT: Tunisia 1-3 Uholanzi FT: Japan 1-1 Sweden Zinafuata Uturuki vs Marekani na Paraguay vs Australia saa 11:00 alfajiri…
Polisi dawati la jinsia na watoto wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza limetoa onyo kwa wazazi wanaowatelekeza watoto ambao baadhi yao ufanyiwa vitendo vya ukatili. Onyo hili limetolewa jijini Mwanza na…
K24 TV ilijiunga na mzozo wa Rais William Ruto-Standard Media kwa barua ya wazi, na kusababisha mabishano makali kati ya Oscar Sudi na Uhuru Kenyatta.
Uelewa mdogo wa sheria za usafirishaji wa bidhaa kutoka Tanzania kwenda China umetajwa kuwa moja ya vikwazo vikubwa vinavyowazuia wafanyabiashara wengi kunufaika na fursa zilizopo katika soko la China. Balozi…
Wakati wengi wakihofia panya, Idd Mwita mkazi wa Geita ameona fursa na kuwageuza kuwa chanzo cha kipato kupitia ufugaji wa panya weupe. Anasema tofauti na mtazamo wa kawaida, panya hao…
Familia ya Azam Media Limited imepata pigo la kumpoteza mmoja wa wafanyakazi wake, Wiltrudes Mutembei, aliyekuwa Mhariri Mtendaji Msaidizi wa chaneli ya UTV. Mutembei amefariki dunia leo wakati akiendelea na…
Zaidi ya watu 164 wameripotiwa kufariki na zaidi ya 900 kujeruhiwa kufuatia matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyoikumba Venezuela, kwa mujibu wa taarifa za serikali. Taarifa hizo zinasema shughuli za…
Mboga za sukuma wiki ni maarufu sana jijini Nairobi lakini usalama wake una utata. Soma hatari zinazoweza kuwepo na jinsi ya kujikinga ukiwa mlaji.
Hatua hiyo inafuatia ziara ya Waziri wa Afya wa Msumbiji Ussene Isse, leo Juni 25, 2026...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na mkandarasi; Shirika la Uzalishaji Mali JKT (SUMA JKT) leo, tarehe 25 Juni, 2026 kwa mara ya kwanza wamewasha umeme katika kitongoji cha…
Wataalamu wa biashara ya mafuta na bidhaa zake duniani wameonya kuwa nchi nyingi zinazoagiza mafuta kupitia masoko ya kimataifa, hususan zile zinazotegemea kwa kiwango kikubwa usafirishaji wa mafuta kupitia Mlango…
Kiwanda hicho kinaanzishwa kwa msaada wa UNCDF kupitia Mpango wa LoCAL (Local Climate Adaptive...
Serikali imeombwa kuangalia upya utaratibu wa utoaji wa mikopo kwa wanawake wajane ambao hawana uwezo wa kuanzisha au kuendesha shughuli za biashara zitakazowawezesha kurejesha mikopo hiyo. Ombi hilo limetolewa wakati…
Ili kuongeza wigo wa matibabu kwa wagonjwa wanaohitaji upandikizaji wa figo na uboho kwa watoto...
Miongoni mwa kampuni hizo ni Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni miongoni mwa wadhamini...
RC James amesema Serikali imeendelea kuwekeza fedha nyingi katika utekelezaji wa miradi ya...
Mbali na bati hizo, benki hiyo pia imetoa vifaa tiba katika Hospitali ya Nyangao na Hospitali...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda ameiagiza Tume ya Ushindani (FCC) kuongeza matumizi ya teknolojia za kisasa katika kubaini na kufuatilia bidhaa bandia, hususan kupitia biashara za kidijitali na…
Dar es Salaam. Katika kuimarisha mapambano dhidi ya bidhaa bandia nchini, Tume ya Ushindani...
Takribani wagonjwa 14 wamefanikiwa kufanyiwa upandikizaji wa uume katika Hospitali ya Benjamin...
Baadhi ya wakazi wa Simanjiro wameunga mkono utekelezaji wa miradi hiyo, akiwamo Esupati John...
Daktari aitaka Wizara ya Afya kushughulikia mwingiliano wa Nairobi Birdman na ndege wa mwitu huku kukiwa na wasiwasi juu ya hatari za afya ya umma na magonjwa
Arusha. Watu waliowahi kutumia dawa za kulevya na kupona wameiomba Serikali kuongeza juhudi za...
#HABARI: Msafara wa mamia ya makundi mbalimbali ya wakazi wa mkoa wa Tabora wameanza safari ya kuelekea Shirati - Rorya Mkoa wa Mara kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa…
Mwenendo wa ugonjwa umeonesha ongezeko la kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 24, 2026.
Frank, mkazi wa Goba ametiwa hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto huyo wa kike katika tukio...
HAPA NA PALE KUTOKA MARA - WANANCHI WAOMBA KUPEWA ELIMU, JUNI 25, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Akizungumzia hali ya upatikanaji wa damu, Simon amesema huduma ya damu salama inategemea kwa...
Watu 164 wamethibitishwa kupoteza maisha nchini Venezuela baada ya kutokea kwa mitetemeko miwili ya ardhi siku ya Alhamisi, huku watu wengine ambao hawajaonekana wakitafutwa kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka huku…
ARHSHA: YOUNG people who have recovered from drug addiction have expressed deep regret over their involvement in drug use, saying it destroyed their dignity, reputation and life ambitions. They made…
Polisi wamegundua kuwa Grace alifungwa minyororo na kakake kwa miezi 16 huku mwanawe akiondolewa kwake. Kisa chake cha kushtua kimewaacha wengi wakililia haki.
Maseneta nchini Nigeria, wamepitisha mswada, utakaoruhusu majimbo nchini humo kuwa na vikosi vyao vya polisi. Imechapishwa: 25/06/2026 – 16:26 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Hatua…
Amesema ni fedha hizo za mikopo zilizobadili hata miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam kupitia...
Zaidi ya watoto 80 wamebainika wakizurura katika Soko la Mirongo wakijihusisha na biashara ya...
ARUSHA: Wadau wa sekta ya bima nchini wametakiwa kuongeza juhudi za kuwafikia wananchi, hususan waendesha bodaboda na mama lishe, ili kuongeza uelewa na matumizi ya huduma za bima kwa lengo…
ARUSHA: JUMLA ya wanariadha 650 kutoka Tanzania Bara na Visiwani wanatarajiwa kukutana kwa siku mbili, Julai 3 na 4 mwaka huu, katika Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani, kushiriki Mashindano…
Morogoro. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Afya, Dk Saitore Laizer...
DODOMA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka walipakodi na wananchi wote kujitokeza kwa wingi kushiriki katika matembezi na Mbio za Shukrani kwa Mlipakodi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Tuzo…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imeitaka Tume ya Ushindani (FCC) kuimarisha na kupanua matumizi ya teknolojia za kisasa katika uchunguzi, ufutiliaji wa udhibiti wa bidhaa bandia katika masoko ya kidijitali. Pia…
Rais wa Seneti, Mabel Chinomona amesema maseneta 75 walipiga kura kuunga mkono marekebisho hayo...
Wanachama hao wanaitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu...