Iran na Marekani zinapopigana, kwa nini mshindi awe Erdogan?
Siku tisa tu baada ya vita vya Marekani na Iran kuanza, alianzisha tena kesi ya Ekrem Imamoglu, meya wa mji wa Instanbul, ambaye amekuwa mpinzani mkuu wa Erdogan.
Siku tisa tu baada ya vita vya Marekani na Iran kuanza, alianzisha tena kesi ya Ekrem Imamoglu, meya wa mji wa Instanbul, ambaye amekuwa mpinzani mkuu wa Erdogan.
Iran imeharibu maeneo 20 ya kijeshi ya Marekani tangu kuanza kwa vita hivyo, picha na video za satelaiti zilizochambuliwa na kipindi cha BBC Verify, zikidokeza kuwa mashambulizi hayo ni makubwa…
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi wa FIFA, Pierluigi Collina, amesema baadhi ya mabadiliko hayo tayari yameidhinishwa, huku mengine yakitarajiwa kutumika rasmi wakati wa mashindano hayo makubwa zaidi ya soka duniani.
Nchini Sudan Kusini, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) halina uwezo. Kulingana na makadirio ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa, zaidi ya 56% ya…
Katika Ghuba ya Uajemi, kulikuwa na ongezeko kubwa la ndege zilizoripoti kuathiriwa na udanganyifu wa GPS baada ya kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran Mwezi Februari…
Mamilioni ya Waethiopia watapiga kura kote nchini lro Jumatatu Juni 1, 2026, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge, ambao utatoa nafasi ya kuchaguliwa Waziri Mkuu. Isipokuwa huko Tigray, eneo la…
Marekani imetangaza siku ya Jumapili, Mei 31, kwamba imefanya mashambulizi mwishoni mwa wiki kusini mwa Iran, ikilenga mifumo ya rada na udhibiti wa ndege zisizo na rubani, licha ya makubaliano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Rais wa Madagascar Kanali Michaël Randrianirina, amelihutubi taifa, akizungumza kwa muda mrefu kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumapili jioni, Mei 31, 2026. Hotuba ambayo wengi waliisubiri kwa hamu, ilikuja…
Nchini Senegal, kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF na kitengo cha utafiti cha polisi kumezua sintofahamu. Wabunge hao ni Guy Marius Sagna na Cheikh Bara Ndiaye. Kulingana na vyanzo vyetu,…
Raia wa Ethiopia hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao chama tawala cha Waziri mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kushinda kirahisi kutokana na upinzani kugawanyika. Imechapishwa: 01/06/2026 – 06:49 Dakika…
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Waethiopia milioni hamsini wameitwa kushiriki uchaguzi leo Jumatatu ili kuwachagua wabunge wao na maafisa wa kikanda. Wengi watakaochaguliwa watachagua waziri mkuu, nafasi ya juu zaidi nchini. Abiy Ahmed ameshikilia wadhifa…
Watu hawa wanne ambao walitibiwa kwa mchanganyiko wa viuavijasumu na dawa zingine kana kwamba walikuwa wakiugua malaria, wamefanikiwa kupona ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo na wanawakilisha matumaini katika mapambano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Mabadiliko yanahusiana na Mlango-Bahari wa Hormuz na kuondolewa kwa madini ya Urani iliyorutubishwa, kulingana na vyombo vya habari vya Marekani.
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na…
Maelfu ya maafisa walijaribu kudhibiti ghasia huku umati wa mashabiki - baadhi wakiwasha moto mitaani- kushangilia ushindi wa PSG dhidi ya Arsenal.
Jeshi la Israel limetangaza leo Jumapili, Mei 31, 2026, kwamba operesheni yake ya ardhini dhidi ya kundi la Hezbollah linalounga mkono Iran “inapanuka hadi maeneo mengine” baada ya wanajeshi wake…
Siku ya Jumamosi, Mei 30, 2026, ilikuwa siku ya mwisho ya kura za mchujo nchini Nigeria. Vyama mbalimbali sasa vimewateua wagombea wao wote kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Imechapishwa:…
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa Antananarivo, nchini Madagascar, imeomba idhini ya kuwashtaki majaji wanne wa Mahakama Kuu ya Katiba kwa “njama ya kuhatarisha usalama wa taifa.” Utaratibu huu unakuja siku…
Polisi nchni Ufaransa walirusha vitoa machozi kutawanya umati wa watu katikati mwa jiji la Paris.
Vita kati ya jeshi la Kongo na waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda inaendelea kusababisha idadi kubwa ya watu kuhama makazi yao mashariki mwa DRC. Huko Kalemie, zaidi ya…
Baada ya kufukuzwa kazi kwa Ousmane Sonko siku ya Ijumaa, Mei 22, 2026 na kuteuliwa kwa mrithi wake Ahmadou Al Aminou Mohamed Lô kama Waziri Mkuu mpya wa Senegal, tangazo…
Moja ya vizingiti vikubwa vinavokabili uhusiano wa kidiplomasia kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu ni mtazamo wake dhidi ya Wapalestina.
Mradi wa dira ya maendeleo ya 2030 wa MBS ulionekana kuwa hadithi za kisayansi. Sasa uhalisia ume
Kutafuna zaidi kunaweza kutoa faida nyingi, kutoka kwa kuboresha usagaji chakula na kusababisha ulaji wa chini wa kalori, kupunguza mafadhaiko na wasiwasi, na kuboresha uwezo wa utambuzi kwa kuimarisha ustadi…
Kutafuna zaidi kunaweza kutoa faida nyingi, kutoka kwa kuboresha usagaji chakula na kusababisha ulaji wa chini wa kalori, kupunguza mafadhaiko na wasiwasi, na kuboresha uwezo wa utambuzi kwa kuimarisha ustadi…
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti siku ya Ijumaa kwamba visa viwili zaidi vya Ugonjwa wa Virusi vya Ebola “Ebola Virus Disease “(EVD), vimethibitishwa katika mji mkuu wa Kampala. Imechapishwa:…
Wakati vita vya Marekani na Israel na Iran vilipoanza mwishoni mwa Februari, haikuwa Mashariki ya Kati pekee iliyohisi matokeo.
Wafanyakazi mashariki mwa DR Congo wanajenga upya kituo cha matibabu ya Ebola ambacho kilichomwa moto na waandamanaji mapema mwezi huu, huku maafisa wa afya wakionya kwamba taarifa potofu zinawafanya familia…
Waziri wa Elimu wa Kenya amesema wanafunzi hao wanaweza kushtakiwa wiki ijayo, kufuatia moto uliozuka siku ya Alhamisi katika shule inayosimamiwa na polisi wa Kenya. Imechapishwa: 30/05/2026 – 08:29 Dakika…
Italia inalaumiwa tena kwa kumruhusu Osama Almasri Najim kukwepa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai. Kulingana na hati ya kukamatwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, afisa huyu…
Nchini Niger, vikosi vya jeshi vimepokea vifaa vya kijeshi kutoka Marekani siku ya Jumanne, Mei 26, 2026. Ubalozi wa Marekani ulitangaza siku ya Ijumaa kwamba sare, vifaa vya kujikinga, vifaa…
Baadhi ya wazazi bado wanahangaika kujua kuhusu walipo watoto wao, huku serikali ikijitahidi kuonyesha kuwa imechukua hatua licha ya kuendelea kukosolewa vikali.
Wabunge wa Ghana wamepitisha moja ya sheria kandamizi zaidi dhidi ya jamii ya watu wa LGBT+ barani Afrika Ijumaa alasiri, Mei 29. Sasa inahitaji kuidhinishwa na Rais John Mahama ili…
Senegal bado inasubiri serikali mpya baada ya Ousmane Sonko kumkabidhi rasmi madaraka Waziri Mkuu Ahmadou Al Aminou Mohamed Lô, ambaye aliteuliwa siku ya Jumatatu. Changamoto kadhaa za dharura zinasubiri timu…
Mkutano wa Ijumaa ulifanyika katika Ikulu ya White House, katika sehemu inayotumika kushughulikia migogoro mikubwa.
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) yuko DRC tangu siku ya Alhamisi, Mei 28, kutoa msaada kwa raia wa Kongo. Alitoa wito wa mshikamano wa kimataifa. Waziri wa Afya…
WHO imechapisha mapendekezo yake ya kwanza kuhusu chanjo za majaribio na matibabu ya Ebola Bundibugyo siku ya Alhamisi, Mei 28. Hakuna chanjo au matibabu yaliyoidhinishwa kwa sasa kwa aina hii…
Wakati timu bora zaidi za Uingereza na Ufaransa zitakapomenyana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Jumamosi, itaadhimisha mwisho wa msimu mgumu kwa vilabu vyote viwili.
Alipata utajiri wa kujenga hoteli za kifahari nchini Ureno, na pia anamiliki mojawapo ya makumbusho yaliyotembelewa zaidi huko Lisbon.
John Walker alikuwa akichanganya kemikali katika jaribio la kutengeza vilipuzi wakati kijiti kilichokuwa kimefunikwa kwenye mchangayiko huo kilipogusa jiwe mbele ya jiko lake na kuwaka ghafla.
Mahakama Kuu nchini Kenya, imeweka zuio la muda kwa nchi hiyo kuwa na kituo cha karatini, kuwapa hifadhi raia wa Marekani watakaokuwa wameambukizwa virusi vya Ebola. Imechapishwa: 29/05/2026 – 09:54Imehaririwa:…
Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Moulay El Hassan ulikuwa wa ushindani mkubwa huku timu zote zikishindwa kutengeneza nafasi nyingi za wazi za kufunga, hali iliyofanya dakika 90 kumalizika bila…
Sehemu ya usalama ya mazungumzo kati ya Israel na Lebanon yanaanza leo Ijumaa Mei 29 huko Washington, nchini Marekani, chini ya usimamizi wa utawala wa Trump, wakati mapigano yakiendelea kushika…
Einstein alihisi kwamba hakuwa na ujuzi wa kisiasa wala uzoefu wa kuwa kiongozi wa serikali.
Je, Marekani na Iran zimeanzisha makubaliano ya mfumo wa kukomesha vita katika Mashariki ya Kati? Hivi ndivyo vyanzo vilivyonukuliwa na mahirika ya habari ya AFP na REUTERS vinavyodai. Makamu wa…
Siku moja baada ya Uganda kuchukua haua mpya katika mpaka wake na DRC katika jaribio la kudhibiti kuenea kwa mlipuko wa virusi vya Ebola, wasiwasi unaongezeka katika jumuiya ya wafanyabiashara.…
Mtu wa kwanza aliyekuwa ameambukizwa virusi vya Ebola (Bundibugyo) na kulazwa hospitalini, ameruhusiwa kuondoka katika kituo cha matibabu ya Ebola mnamo Mei 27 huko Rwampara, katika mkoa wa Ituri, mashariki…