Mali: Je, waasi wa FLA wanaotaka kujitenga ni magaidi?
Nchini Mali, waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) wamechapisha taarifa mwishoni mwa wiki wakikataa jina la “gaidi,” lililotumiwa si tu na mamlaka ya mpito ya Mali bali pia…
Nchini Mali, waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) wamechapisha taarifa mwishoni mwa wiki wakikataa jina la “gaidi,” lililotumiwa si tu na mamlaka ya mpito ya Mali bali pia…
Uzinduzi wa taratibu wa taasisi zinazotokana na uchaguzi wa hivi karibuni wa wabunge unaanza leo Jumatatu, Mei 4. Baada ya miaka mitano wakihudumu, wabunge wa bunge la saba walikamilisha rasmi…
Nchini Mali, taarifa zinaonyesha kuwa hali ya usalama inazidi kutulia katika baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mapigano, wakati wapiganaji wa kijihadi kutoka kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM)…
Waathiriwa wa shambulio hilo, lililotokea siku ya Alhamisi, Aprili 30, katika Jimbo la Niger, magharibi mwa Nigeria, walishutumiwa kuwa watoa taarifa kwa kundi la wanajihadi la Ansaru, ambalo liliibuka kutokana…
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Kundi lenye silaha linaloshirikiana na Islamic State limewateka nyara wakazi wengi wa Lisoma, katika eneo la Mambasa,siku ya Ijumaa, Mei 1. Utekaji nyara huu wa hivi karibuni unakuja huku Vwaashi…
Miaka ishirini baada ya mzozo wa kwanza mbaya katika eneo hili la magharibi mwa Sudan, vita ambavyo vimeendelea tena kwa miaka mitatu iliyopita nchini humo, huku kukiwa na kutojali kwa…
Marekani mwishoni mwa juma lililopita imetaka kuachiwa kwa wafungwa wote wa kisiasa nchini Sudan Kusini ndipo iweze kutoa msaada wowote wa kifedha kusaidia nchi hiyo kufanya maandalizi ya uchaguzi mkuu…
Mashirika matatu makubwa ya afya duniani katika taarifa yao ya pamoja yamelaani kushindwa kwa jumuiya ya kimataifa kuwalinda wafanyakazi wa afya, hospitali na wagonjwa katika maeneo yenye migogoro. Imechapishwa: 04/05/2026…
Inaelezwa kuwa ndege 100 na wanajeshi karibu 15,000 watahusika kwenye operesheni hiyo ambayo Rais huyo wa Marekani ameielezea kama “msaada wa kibinadamu” kwa mataifa yasiyohusika moja kwa moja na vita…
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini, Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es…
Juventus wanamuwania kiungo wa Manchester City Tijjani Reijnders, Newcastle United wanataka kumbakiza mshambuliaji Will Osula, huku Crystal Palace na Chelsea wakimnyemelea kocha wa Bournemouth Andoni Iraola.
Saudi Arabia, Urusi na mataifa mengine 5 ya muungano wa wazalishaji mafuta duniani, OPEC, wameongeza uzalishaji katika hatua inayotarajiwa kuweka muendelezo wa upatikanaji wa bidhaa hiyo hasa baada ya kujiondoa…
Wakili maarufu wa Mali na mwanasiasa mkosoaji wa utawala wa kijeshi aliripotiwa kutekwa nyara usiku wa kuamkia Jumapili ya wikendi iliopita na watu waliokuwa wamejifunika nyuso katika mji mkuu Bamako,…
Nchini DRC, chama UDPS cha kwake rais Felix Tshisekedi, kinatarajiwa kufanya maandamano ya amani kuonesha uungaji mkono wao kwa rais wa Marekani Donald Trump pamoja na mpango wa amani wa…
Historia ya Kenya ya kutumia makundi ya kihalifu yaliyoungwa mkono kisiasa inaanzia miaka ya mapema ya 1990, wakati mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa.
Katika jamii nyingi za Nigeria,thamani ya mwanamke bado inahusishwa na uwezo wake wa kuoleka na kuzaa, ila kwa sasa wanawake wengi nchini Nigeria wanachagua kutokuwa na watoto, si kwa sababu…
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa uamuzi wa Marekani kuondoa wanajeshi 5,000 kutoka nchini humo ulikuwa “unatabirika,” huku muungano wa kijeshi wa NATO ukisema kuwa unatafuta ufafanuzi kutoka Washington.
Liverpool wametoa ofa ya kumnunua mlinzi wa kati wa Uholanzi, Sam Beukema.
Jeshi la Iran, linasema kuna uwezekano vita kati yake na Marekani huenda vikarejea, na Tehran ipo tayari iwapo Washington itaanza mashambulizi mapya. Imechapishwa: 02/05/2026 – 17:58Imehaririwa: 02/05/2026 – 18:00 Dakika…
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limewashtumu maafisa wa usalama nchini Uganda kwa kuwauwa watu 16 kwa kuwapiga risasi huku mamia ya wafuasi wa upinzani…
Filamu ya uhalifu halisi inamfuatilia mwanamke anayekabiliwa na uamuzi mgumu unaobadili maisha baada ya mchumba wake kutoa ungamo la kushtua.
Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu la Amnesty International limechapisha ripoti yake siku ya Alhamisi, Aprili 30, ikielezea vurugu za baada ya uchaguzi nchini Uganda, zilizofuata kuchaguliwa tena kwa…
Mahakama ya kijeshi nchini DRC inatafuta kuthibitisha tena nidhamu ndani ya vikosi vya jeshi vya nchi hiyo. Zaidi ya wanajeshi 80 wa FARDC wanashtakiwa, huko Kisangani, kwa “uasi,” “kukataa kupigana,”…
Alifukuzwa kazi, akatishiwa, na kulazimishwa kwenda uhamishoni. Nchini Sierra Leone, pambano la Umu Thoronka limechukua sura mpya. Mwandishi huyu wa habari, aliyebobea katika masuala ya afya na jinsia, alifukuzwa kazi…
Nchini Nigeria, Mahakama Kuu imeamuru Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) siku ya Alhamisi, Aprili 30, kurejesha mara moja chama cha upinzani cha African Democratic Congress (ADC) kwenye orodha…
Mgogoro katika Mashariki ya Kati una athari kubwa duniani kote, na kuathiri vibaya minyororo ya usambazaji wa misaada ya kibinadamu duniani na utoaji wa misaada. Gharama za juu za usafiri…
Nchini Mali, baada ya kuiteka Kidal mwihini mwa wiki iliyopita, wanajihadi wa kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM) na waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) walichukua…
"Baadhi ya watu hupungua uzito sana, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa la kuvutia, lakini wengi hurejesha haraka mara tu wanaporejea katika maisha yao ya kawaida, kwa sabab au matatizo ya…
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, ameamuru kuondolewa kwa wanajeshi wapatao 5,000 kutoka Ujerumani ndani ya mwaka mmoja, wakiwakilisha takriban 15% ya wanajeshi waliopo, Pentagon imetangaza siku ya Ijumaa,…
Katika barua kwa Bunge la Marekani, Rais Donald Trump ameandika kwamba vita dhidi ya Iran “vimekwisha,” akizingatia sheria ya Marekani inayoweka kikomo cha mzozo bila idhini ya bunge hadi siku…
Uchavushaji wa mawingu ni mbinu ya kuchochea mabadiliko madogo ya hali ya hewa kwa kutumia mawingu yaliyopo ili kusaidia kuzalisha mvua au theluji zaid
Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa anafuatiliwa na viongozi mbalimbali wa Iran wanaotoa makubaliano, wakati Washington inafanya kazi ya kubainisha upande unaofaa wa kufanya nao mazungumzo.
Barcelona yamfuatilia Joao Pedro wa Chelsea na Cristian Romero wa Tottenham, Aston Villa yamtaka Ibrahim Mbaye wa PSG, Leeds na Coventry zapigania Lois Openda huku kambi ya Anthony Gordon ikifanya…
Badala ya kutumia lugha ya kawaida ya kidiplomasia, akaunti za mitandaoni za Iran zilichukua mkondo usio wa kawaida kwa kutumia vichekesho, kejeli na majibu yaliyoratibiwa kwa lengo la kuunda simulizi,…
Kushughulika na Trump ni mojawapo ya changamoto tata zaidi katika diplomasia ya kisasa, kwani viongozi hulazimika kuchagua kati ya kumkabili moja kwa moja au kumsifu ili kuepuka athari kali -…
Kufikia Desemba 2024, China ilikuwa tayari imetekeleza sera ya kutotozwa ushuru kwa mataifa 33 ya Afrika yenye maendeleo ya kiwango cha chini.
Mataifa 53 ya Afrika, isipokuwa Eswatini, kuanzia leo Mei tarehe 1, itaanza kusafirisha na kuuza bidhaa zake nchini China bila kutozwa ushuru. Imechapishwa: 01/05/2026 – 06:44Imehaririwa: 01/05/2026 – 06:58 Dakika…
Miaka nane baada ya taifa la kenya kupiga marufuku vifungashio vya plastiki, tatizo hili bado ni kero hasa katika mpaka wa Busia, kati ya Kenya na Uganda. Imechapishwa: 01/05/2026 –…
Maafisa wanasema lengo la Kabila lilikuwa kuyumbisha serikali iliyopo madarakani na kumuweka mgombea wa upinzani ili kurejesha ushawishi wa kisiasa.
Mahakama Kuu nchini Uganda, imemkuta na hatia Christopher Okello Onyum, na kumuhukumu kunyongwa kwa makosa manne ya mauaji ya watoto wanne wa shule katika Kituo cha Maendeleo ya Watoto wa…
Tangu Aprili 2023, Sudan imekuwa ikikumbwa na vita kati ya jeshi la serikali na kikosi cha Rapid Support Forces, ambavyo vimesababisha vifo vya makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha…
Everton yafufua nia ya Delap, yawania mastaa watatu wa England, Salah aifikiria Fenerbahce huku Chelsea ikitarajia kuvuna kupitia Jackson.
Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, ikimtuhumu kwa kuwaunga mkono waasi wa kundi lenye silaha la M23. Imechapishwa: 01/05/2026…
Waafghanistan wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa vituo vya matibabu na mipaka iliyofungwa, wakati huo huo viwango vya saratani vikiwa juu sana.
"Kadri mvua inavyokuwa kubwa, ndivyo uwezo wake wa kuleta faida mwilini unaongezeka ," anasema Profesa wa Sayansi ya Dunia, Dan Cziczo.
Katika mapitio ya magazeti ya leo, tunachunguza kwa nini ni rais wa Marekani pekee ndiye anayeweza kumaliza vita vya sasa Iran
Mashirika ya haki za binadamu yanalaani mara kwa mara jinsi wafungwa wa Kipalestina wanavyotendewa. Shirika la Physicians for Human Rights–Israel linalaani ukiukwaji mwingine wa haki za msingi. Familia za wafungwa…
Nchini colombia, mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu mafuta ya visukuku umemalizika Santa Marta. Kufuatia mkutano usio kuwa wa kawada Jumatano alasiri, Aprili 29, nchi 56 zilizoalikwa na Colombia zilitangaza…
Marekani imebainisha uwezekano wa kuzingirwa kwa muda mrefu kwa bandari za Iran siku ya Jumatano, Aprili 29, jambo ambalo litazidisha shinikizo kwa uchumi wa dunia, na athari ya haraka kwa…