“Pomboo wa kujitoa mhanga” wanaodaiwa kutumiwa na Iran kutega mabomu ya majini
Miaka 26 iliyopita, mwezi Machi tarehe 8, 2000, BBC iliripoti kwamba Iran ilinunua pomboo wa "kujitoa muhanga".
Miaka 26 iliyopita, mwezi Machi tarehe 8, 2000, BBC iliripoti kwamba Iran ilinunua pomboo wa "kujitoa muhanga".
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran yuko Beijing mnamo Mei 6, 2026, kwa majadiliano kuhusu hali katika Mashariki ya Kati. Mkutano huu unasisitiza jukumu muhimu la Beijing katika mazungumzo…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), sheria iliyopendekezwa ya kuandaa kura za maoni inapitiwa upya katika Bunge la taifa kwa sasa. Rasimu hiyo imeonekana kukubalika, lakini upinzani unalalamika: wanaiona…
Ingawa Kyiv na Moscow zote zimependekeza kusitisha mapigano nchini Ukraine katika siku zijazo—Mei 8 na 9 kwa upande wa Urusi, na kuanzia saa sita usiku Jumanne, Mei 5, kwa upande…
Miezi miwili baada ya kuanza kwa mgogoro katika Mashariki ya Kati, Mlango-Bahari wa Hormuz, njia muhimu kwa biashara ya kimataifa, bado imefungwa na Iran. Hili ni pigo kubwa kwa uchumi…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumanne jioni, Mei 5, kwamba “maendeleo makubwa” yamefanywa kuelekea makubaliano ya “mwisho” kati ya Marekani na Iran, akibainisha kwamba kwa hivyo ameamua…
Shambulio linalohusishwa na Boko Haram, ambalo lilitokea usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne katika kambi ya kijeshi ya Barka Tolorom magharibi mwa Chad, upande wa Chad wa Ziwa Chad, limegharimi maisha…
Farhia Elmy anatumia muda wake mwingi baharini, tena chini ya maji kina kirefu na cha kati, akitafiti, akilima, akivinjari na shughuli nyingine muhimu za chini ya bahari.
Nchini Mali, vifaa vya kijeshi sasa vitadhibitiwa moja kwa moja na Rais wa Mpito. Kufuatia mashambulizi ya hivi majuzi ambayo yameikumba nchi hiyo na kupoteza maisha ya Waziri wa Ulinzi…
Bunge la Uganda limepiga kura kupitisha sheria tata ambayo Kampala inasema inalenga kukabiliana na wageni wanaoingilia masuala yake ya ndani. Imechapishwa: 06/05/2026 – 05:27Imehaririwa: 06/05/2026 – 05:29 Dakika 1 Wakati…
Trump alisema operesheni ya “Project Freedom”, iliyoanza siku chache zilizopita, itasimamishwa kwa “makubaliano ya pande zote” kwa sababu “maendeleo makubwa” yamepatikana kuelekea makubaliano na Iran.
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake mkubwa leo Jumanne kuhusu ripoti za mauaji ya kiholela nchini Mali, ambayo inakabiliwa na hali mbaya ya usalama kufuatia mashambulizi ambayo hayakuweza kutarajiwa ya…
Urusi inaisaidia Iran kwa kuwapa taarifa za kijasusi, kufuatilia picha za setilaiti, kuwapa teknolojia mpya ya ndege zisizo na rubani pamoja na ushauri wa kijeshi.
Rais wa Kenya William Ruto ametoa wito wa ushirikiano wa kikanda na ushirikiano wa kiuchumi, akizitaka Kenya na Tanzania kuimarisha uhusiano wa uwekezaji na kuepuka tofauti zinazogawanya majirani hao wawili
Ethiopia imevishutumu mnamo Mei 5, 2026 ,”vikosi vya kijeshi vya Sudan” kwa “kutoa silaha na usaidizi wa kifedha kwa mamluki wa Tigray,” na hivyo “kuwezesha uvamizi wao kwenye mpaka wa…
Wakati meli mbili zikikamatwa na nyingine kushambuliwa mwezi Aprili pwani ya Somalia, meli ya Eureka, yenye bendera ya Togo, ilitekwa nyara na watu wenye silaha waliokuwa wakisafiri kwenye meli za…
Siku mbili baada ya mahojiano marefu na waandishi wa habari wa Senegal, ambapo Rais alisisitiza mamlaka yake ya kumfukuza Waziri Mkuu wake iwapo atapoteza imani naye na kushughulikia hoja zake…
Nchini Uganda, rasimu ya sheria ya kudhibiti ufadhili wa kigeni yarejea Bungeni Jumanne hii, Mei 5, 2026. Ikiwasilishwa na serikali kama chombo cha kulinda uhuru, maandishi hayo yanazua utata. Watetezi…
Nchini Madagascar, maadhimisho ya Wiki ya Ulaya, ambayo yanaanza Mei 5, yanatoa fursa kwa Umoja wa Ulaya kukumbusha jukumu lake katika kisiwa hiki na hadhi yake kama mfadhili mkubwa zaidi…
Baada ya mwezi mmoja akiwa kifungoni mikononi mwa Boko Haram, daktari wa watoto kutoka Chad ameachiliwa huru Jumatatu jioni. Taarifa hii, iliyoripotiwa kwa mara ya kwanza na tovuti ya Tchadinfos,…
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wakati nchi hiyo ilikuwa ikisubiri kutangazwa kwa matokeo ya muda ya duru ya pili ya uchaguzi wa wabunge wa Aprili 26, 2026, Jumatatu, Mei…
Sudan imemrejesha nyumbani balozi wake nchini Ethiopia kwa mashauriano, ikiituhumu nchi hiyo kuhusika katika shambulio la uwanja wa ndege wa Khartoum pamoja na Falme za Kiarabu, shirika la habari la…
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amekosoa hali ya kisiasa nchini Sudan Kusini mbele ya Baraza la Usalama. Sudan Kusini inatarajia kufanya uchaguzi wake wa kwanza kabisa. Tangu uhuru…
Wakati Mashariki ya Kati inapambana na mzozo wa vita vya Iran na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, mawazo tofauti yanajitokeza nchini Syria yanayoiweka nchi hiyo kama ukanda wa kati wa…
Iwapo Marekani itatoa ulinzi wa kijeshi kwa meli zilizoathirika, hilo linaweza kuchochea mvutano wakijeshi na Iran.
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano vikiendelea kufanyiwa uchunguzi, WHO imesema.
Waasi wa ADF Mashariki ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wametekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya bindamu, hii ni kwa mujibu wa Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty…
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Assimi Goita, amechukua nafasi ya Waziri wa ulinzi kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi, Sadio Camara aliyeuawa katika mashambulizi ya waasi juma moja…
Makubaliano ya kusitisha vita kwa muda kati ya Iran, Israel na Marekani yameonekana kugonga mwamba Jumatatu baada ya pande hizo hasimu kushambuliana kwenye mlango wa bahari wa Hormuz huku taifa…
Baada ya sare yao dhidi ya Everton, kiwango cha juu kabisa cha alama ambacho Manchester City wanaweza kufikia msimu huu ni 83. Kuna mazingira ubingwa unaweza kuamuliwa mapema zaidi
Operesheni hiyo ni sehemu ya mpango wa Marekani unaoitwa “Project Freedom”, ambao kwa mujibu wa Rais Trump unalenga kusaidia meli zilizokwama na wafanyakazi wake baharini kuondoka salama katika Mlango bahari…
Nigeria imetangaza mpango wa kuwarudisha nyumbani raia wake, kutoka nchini Afrika Kusini, wakati huu kukiwa na hofu kubwa ya kuendelea kwa wimbi la kuwashambulia wageni hasa Waafrika katika nchi hiyo.…
“Mlipuko” uliofuatiwa na moto umekumba meli ya Korea Kusini katika Mlango wa Hormuz leo Jumatatu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imetangaza, ikiongeza kuwa hakukuwa na majeruhi ndani…
Nchini Mali, kundi la Azawad Liberation Front (FLA) linalotaka kujitenga na kujitawala Kaskazini mwa Mali, linasema sio kundi la kigaidi, kama linavyotambuliwa na serikali ya kijeshi jijini Bamako, baada ya…
Nchini DRC, chama cha rais wa nchi hiyo UDPS kimefanya maandamano katika mitaa ya Kinshasa. Uhamasishaji huo ulikuwa wa kuunga mkono vikwazo vya Marekani vilivyomlenga rais wa zamani Joseph Kabila,…
Iran inasema makombora yake mawili yamelenga meli ya kivita ya Marekani kwenye mlango wa Bahari ya Hormuz, baada ya nchi hiyo kupuuza onyo lake la kutopita katika eneo hilo, ambapo…
Mahamat Idriss Deby aonya dhidi ya “mbinu za udanganyifu wa ndani na nje” zinazolenga kuwagawanya Wachad. Katika mahojiano yaliyofanywa na timu yake ya mawasiliano, Rais wa Chad anajadili ziara yake…
Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa, timu ya kibinadamu ya ICRC imefanikiwa kufika eneo la Minembwe katika nyanda za juu za mkoa wa Kivu Kusini, pande zote mbili…
Angalau watu 18 wamefariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika sehemu nyingi za Kenya. Imechapishwa: 04/05/2026 – 16:18 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Mbwa mwenye manyoya ya rangi ya kutu amelala kando ya barabara. Anaonekana mtulivu, lakini video ya TikTok inapoanza kuonyesha mwili wake wote kuanzia usoni hadi sehemu nyingine, majeraha makubwa kwenye…
Mvutano wa kisiasa kati ya Uturuki na Israel umeongezeka baada ya shambulio la Hamas la Oktoba 7 mwaka wa 2023, na oparesheni ya kijeshi ya Israel eneo la Gaza.
Nchini Morocco, wanajeshi wawili wa Marekani hawajulikani waliko baada ya kukosekana karibu na mji wa kusini wa Tan-Tan siku ya Jumapili, Mei 3. Walikuwa wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya…
Moja ya makombora yanayotumiwa sana na Urusi kuishambulia Ukraine, ni makombora ya bei rahisi ya Iran yanayoitwa Shahed 136, na pia makombora yake ya Geran.
Nchini Mali, waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) wamechapisha taarifa mwishoni mwa wiki wakikataa jina la “gaidi,” lililotumiwa si tu na mamlaka ya mpito ya Mali bali pia…
Uzinduzi wa taratibu wa taasisi zinazotokana na uchaguzi wa hivi karibuni wa wabunge unaanza leo Jumatatu, Mei 4. Baada ya miaka mitano wakihudumu, wabunge wa bunge la saba walikamilisha rasmi…
Nchini Mali, taarifa zinaonyesha kuwa hali ya usalama inazidi kutulia katika baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mapigano, wakati wapiganaji wa kijihadi kutoka kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM)…
Waathiriwa wa shambulio hilo, lililotokea siku ya Alhamisi, Aprili 30, katika Jimbo la Niger, magharibi mwa Nigeria, walishutumiwa kuwa watoa taarifa kwa kundi la wanajihadi la Ansaru, ambalo liliibuka kutokana…
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Kundi lenye silaha linaloshirikiana na Islamic State limewateka nyara wakazi wengi wa Lisoma, katika eneo la Mambasa,siku ya Ijumaa, Mei 1. Utekaji nyara huu wa hivi karibuni unakuja huku Vwaashi…