Umeshawahi kuwa hatiani kwa yasiyokuhusu?
Umeshawahi kuwa hatiani kwa yasiyokuhusu? ngoja nikusogezee "ubuyu" watu 10 wakiwemo wanaume wanane na wanawake wawili wamejikuta hatiani kwa unyanyasaji wa kijinsia baada ya kuzusha kuwa mke wa raisi wa…
Umeshawahi kuwa hatiani kwa yasiyokuhusu? ngoja nikusogezee "ubuyu" watu 10 wakiwemo wanaume wanane na wanawake wawili wamejikuta hatiani kwa unyanyasaji wa kijinsia baada ya kuzusha kuwa mke wa raisi wa…
Msanii wa Bongo Fleva @hamadaitz_amefichua kuwa bado ana hisia za kimapenzi kwa @linahafrica licha ya kutokubaliwa rasmi. Akizungumza kwenye kipindi cha #TheSpark, Hamadai alisema kuwa walikutana kwenye kazi ya pamoja…
@hamadaitz_ ameweka wazi kuwa alipokea kwa msisimko mkubwa taarifa za kuteuliwa na uongozi wa Clouds Media Group kufanya Hour Top ya mwaka mzima. Akizungumza kwenye kipindi cha #TheSpark na mtangazaji…
''Kuna ambao wanaoigiza sauti za viongozi wananiigiza pia'' @kingwendu_og Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme unaozalishwa kwa nguvu ya Jua uliopo Kishapu, Mkoani Shinyanga, uko mbioni kukamilika ambapo jumla ya megawati 50 zinatarajiwa kuingizwa…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa ajira za kudumu kwa wahitimu 136 kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini kupitia programu ya mafunzo ya uzoefu wa kazi (Internship Program) katika kipindi…
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ameziomba taasisi za fedha nchini zikiwemo benki kuweka utaratibu wa kuwakopesha wafugaji kwa kutumia dhamana za mifugo yao kama ilivyo…
Mjomba kagoma Melis kwenda shule tena, Usikose kufuatilia kisa hiki cha 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Chiku ameona amtoe tongo tongo mume wake
"Sijamchukulia mwanamke wake Hamorapa. Hatupo mapacha na siwezi kushare demu na Hamorapa"- @am_romelo, Msanii wa Bongo Fleva. #SentroYaCloudstv #LainiYaWana
Hawa viumbe ni wasumbufu jamani 🥹😅
Kundi la Muziki la @freshows_ likielezea mipango yake kwenye #SentroCloudsTv katika kuwapa wananchi burudani. #LainiYaWana
NMB MAPINDUZI CUP Fainali ni Dar es Salaam Derby, AzamFC dhidi ya Yanga SC. Mechi hii itapigwa Januari 13, 2026. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku kuruka mbashara kupitia…
Hivi ndivyo Kundi la muziki la @freshows_ lilivyojitambulisha kwenye #SentroYaCloudstv na jinsi linavyofanya kazi zake. #LainiYawana
Wazazi na walezi nchini wamesema wanatamani kuona mazingira ya kusomea na kujifunzia wanafunzi yakiwa yameboreshwa pindi muhula mpya wa masomo utakapoanza mwanzoni mwa wiki ijayo. Muhula mpya wa masomo nchini…
Wadau mbalimbali nchini wametoa maoni yao kufuatia kutangazwa kwa mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri jana Januari 8, 2026 huku aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene…
Kitoweo cha samaki wa nguruka chenye umaarufu mkubwa mkoani Morogoro kimeligeukia soko la kimataifa huku ikidaiwa kuwa hata wakazi wa mji huo wameanza kukikosa. Katikati ya simulizi hiyo ya kusisimua…
Wataalamu wa uchumi nchini wameihimiza serikali kuwarasamisha wafanyabisashara wadogo "wamachinga", maafisa usafirishaji "bodaboda" na wauza vyakula "Mama na Baba Lishe" ili kuongeza fursa kwa upande wao na kuiongezea serikali vyanzo…
Shangazi Mwaija bado anaendelea kula show za watoto wa Kikala 🙌 Mashavu kabadilika jamani 🥶
Wakati Side akimwambia Mwana kuwa anataka mtoto...Huku ni kama mambo yameitika kwa Chichi 😎👀
Ukiwa na mjomba kama huyu ni balaa
Mashavu hana tofauti na ule msemo wa pata kipato tujue tabia yako...
Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetakiwa kuwaunganisha wakulima na masoko ya kitaifa na kimataifa ya mazao yao sambamba na kutumia mafanikio waliyonayo ikiwemo benki Yao kuweka miongozo ya…
Ila leo Suzy ametema nyongo 😎
Serikali imeweka ukomo wa miezi mitatu kwa taasisi zote ambazo bado hazijasajiliwa katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi(PDPC)kutii sheria, vinginevyo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa. Agizo hilo limetolewa na…
Kampuni ya Azam Media Ltd imepewa tuzo maalum na Serikali ya kuitambua kuwa kampuni inayotoa kubwa ya mafunzo kwa vitendo (field and internship) kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema amani, usalama na utulivu wa kisiasa ni miongoni mwa mambo yanayokuza uwekezaji nchini, huku akiwaonya wanaotaka kuiharibu. Dkt…
Katibu Mkuu wa @ccmtanzania Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dk.Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro amesema Chama hicho hakijengwi katika majukwaa bali hujengwa kuanzia ngazi ya mashina na matawi huku akibainisha majukwaa hutumika zaidi kwa…
Siku tatu mara baada ya kutokea kwa tukio la mifugo aina ya Ngombe kondoo na mbuzi kukutwa imekufa katika mazingira ya kutatanisha jijini Dodoma Serikali imethibitisha kuwa mifugo hiyo imepewa…
Time ya kuwasha Tv yako ndo hii na leo tupo na @hamadaitz_ kupitia The spark ya Clouds Tv. Una lipi unatamani kujuaWeka swali lako hapa chini.
Kobisi akili yake inawaza mtoto tu kwa sasa, Ohoo leo Chiku naye kizaazaa. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
#happybirthday | @Trancy_car_decoration
Jeshi la Israeli limesema siku ya Ijumaa kuwa linashambulia maeneo lengwa ya Hezbollah nchini Lebanon. Jeshi la Lebanon limesema siku ya Alhamisi kuwa limechukua udhibiti wa operesheni kusini mwa nchi,…
#BSSNextLevelRevolution imerudi tena na sasa burudani inaaanza upyaaaaa…Hii ndio ratiba kamili ya #BongoStarSearch msimu wa 16. Vipaji HD, Kuzingatiwa. #BongoStarSearch2026 #BongoStarSearch
Wananchi wa Kijiji cha Lutukira Halmashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma, wameiomba serikali kutatua mgogoro na kurekebisha mipaka ya ardhi baina yao na muwekezaji ambaye anadaiwa kuvamia eneo lao…
Begum anajaribu kupanda mbegu gani kwa Gonja, Vipi kuhusu Bala Uhondo wote huu ni leo usiku kwenye OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku #AzamTWO
Mdau wa masuala ya elimu Hussein Mnyagatwa, amewataka wazazi kusimamia kwa karibu matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto wao ili kuhakikisha yanachangia maendeleo ya elimu zao. Mnyagatwa amesema mazingira…
Ni spy wala sio mfanyausafi kama unavyodhani Radhia 👀
Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imefanikiwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwa vikundi 30 kati ya 61 vilivyoomba na kukidhi vigezo, ambapo jumla ya shilingi milioni 315 zilitolewa…
Mchambuzi wa masuala ya uchumi, Ally Mkimo, amesema kuwa uhifadhi wa mafuta una faida kubwa kwa nchi zinazozalisha nishati hiyo, ikiwemo kukuza thamani ya fedha ya nchi na kuimarisha sera…
Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono wadau katika kufanikisha lengo la serikali kwa wananchi kutumia nishati safi ili kuendana na lengo la serikali la taifa kufikisha zaidi ya asilimia 80 ya…
''Mimi na Bambo tukikaa tunapanga na hatutaki masihara'' @kingwendu_og Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Ofisini kwa Sara hakuna siri tena, Usikose kutazama The PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vicent Anney, ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya serikali ya asilimia 10 kupitia makundi maalum ya wanawake, vijana na watu…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewaagiza wenyeviti wa vitongoji na mitaa mkoani humo kuimarisha juhudi za uhamasishaji, usimamizi na ufuatiliaji kwa wazazi na walezi wenye watoto wenye umri…
Zaidi ya wafanyakazi 900 wa shamba la maua la VASSO lililopo Kibosho wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, wamegoma kuingia kazini wakidai kuongezewa mishahara. Wafanyakazi hao wamesema mishahara yao haiendani na gharama…
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) inaendelea kuliheshimisha Taifa kwa kunyakua Tuzo ya Afrika ya Mifumo ya Kijiditali, baada ya kuonyesha ubunifu na ubora wa hali ya juu katika…
Jemo apigwa marufuku kukaa na Meris, Farouk naye anasakwa, Kufuatilia uhondo wa tamthiliya hii ya 6 of Us ni kuanzia saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Ratiba kamili ya #bongostarsearch baada ya Mwanza, #BSS #BSSS16 #NextLevelRevolution #SinemaZetuHD