ICC yasikiliza kesi dhidi ya kamanda wa zamani wa Gereza la Mitiga huko Libya kuhusu unyanyasaji
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imefungua kesi dhidi ya kamanda wa zamani wa gereza la Libya, Mohammed Ali El Hishri, anayetuhumiwa kusimamia uhalifu dhidi ya ubinadamu katika kituo maarufu…
Sarmat: Lifahamu kombora la Urusi lenye uwezo wa kuruka umbali mrefu zaidi duniani
Urusi imetangaza jaribio la mafanikio la kombora la masafa marefu la Sarmat.
Mgomo wa sekta ya uchukuzi Kenya waahirishwa kuruhusu mazungumzo baina ya serikali na sekta hiyo
Mgomo wa sekta ya uchukuzi uliokuwa umeingia siku ya pili nchini Kenya umeahirishwa kwa muda wa siku saba ili kutoa nafasi kwa mazungumzo kati ya serikali na viongozi wa sekta…
Tanzania hosts TIMUN Conference, insists on youth’s role in driving global transformation
ZANZIBAR: THE Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Ngwaru Jumanne Maghembe, has underscored the critical role of youth in driving sustainable development and positive transformation both…
Wanafunzi waiomba TPDC kuwapatia elimu ya gesi asilia kwa vitendo
Wanafunzi wanaoshiriki majukwaa ya sekta ya mafuta na gesi mkoani Mtwara wameliomba Shirika la...
Tanzania yaibuka kinara mageuzi ya afya kidijitali Afrika
Tanzania imeendelea kujijengea nafasi kama moja ya nchi zinazoongoza mageuzi ya kidijitali...
Tanzania yachukua hatua 10 za dharura kuikabili Ebola
Serikali ya Tanzania imetoa maagizo na hatua 10 za dharura za kuimarisha ulinzi dhidi ya...
Wakina baba wanaofanya uamuzi mgumu wa kuwauza watoto wao ili kujikimu
Nchini Afghanistan leo, idadi ya kutisha ya watu watatu kati ya wanne hawawezi kumudu mahitaji yao ya msingi.
Hawa hapa waandishi wa habari waliopenya ‘chekeche’ tuzo za EJAT
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetangaza wateule 18 wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari...
OCS wa Nairobi Central akamatwa, adaiwa kuwaachilia washukiwa 64 wa maandamano kuhusu mafuta
OCS wa Kituo cha Polisi cha Nairobi Dishen Angoya alikamatwa kwa madai ya kuwaachilia washukiwa 64 wa maandamano kuhusu bei ya mafuta ambayo yamelemaza nchi.
Ngina Kenyatta na Alex Mwai: Shule za kifahari ambazo bintiye Uhuru, mumewe walisoma
Ngina Kenyatta, bintiye rais wa zamani Uhuru Kenyatta, aliolewa na Alex Mwai katika hafla ya faragha. Gundua elimu na asili zao za kifahari.........
Serikali yaeleza hali ya usalama mpaka wa DRC
DODOMA; SERIKALI imesema hali ya usalama ya mpaka wa Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wenye urefu wa kilometa 554 ni shwari. Hata hivyo, imesema mpaka huo unakabiliwa…
Vipaumbele 8 bajeti ya ulinzi mwaka 2026/27
DODOMA; Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Rhimo Nyansaho amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ikiwa na…
Shule ya Upili ya Wasichana ya Mbooni yafungwa kwa muda kufuatia mlipuko wa maradhi ya tumbo
Shule ya Upili ya Wasichana ya Mbooni katika Kaunti ya Makueni imefungwa kwa muda kutokana na mlipuko wa kuhara, ikiwahimiza wazazi kuwachukua wanafunzi.
Ticha Star: Tumaini jipya la muziki wa dansi Tanzania
Kama ulidhani muziki wa dansi umepotea, soma makala haya kwani wakati wengi wakidhani hivyo...
Kwa Nini Ndoto ya Marekani ya Kuwa Nchi ya Fursa Imeyoyoma
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema, kutokana na “hali ya kijamii” ya Marekani inayozidi kuwa mbaya, haitazami tena nchi hiyo kwa jicho la mahala pa kuwashauri watoto wake wakasome au…
TRA yaja na Shahada ya Uzamili ya Kodi kuongeza wataalamu
DAR ES SALAAM: CHUO cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA-ITA), kimeanza mchakato wa kuanzisha Shahada ya Uzamili ya Kodi (Masters Degree in Taxation), itakayolenga kuzalisha wataalamu wenye ujuzi…
Xabi Alonso: Chelsea yampa mchezaji wa zamani wa Liverpool mkataba wa muda mrefu kuwa meneja
Chelsea ilimteua Xabi Alonso kama meneja mpya kwa mkataba wa miaka minne kuanzia Julai 2026, ikilenga kufufua bahati ya klabu hiyo baada ya msimu mbaya.
Mbunge Paul Biego akidiria hasara baada ya lori lake la KSh 20m kuchomwa wakati wa maandamano
Mbunge wa Nakuru Paul Biego anadai lori lake la KSh 20 milioni lilichomwa wakati wa maandamano ya kupinga bei ya mafuta, yakiangazia uvunjaji wa sheria na ghasia.
Kituo cha kwanza cha ajira za madini Afrika Mashariki chazinduliwa
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mfumo huo unalenga kuhakikisha uwezo wa ndani unaenda sambamba na...
Kwa nini Bukayo Saka wa Arsenal alinyimwa penati mechi yao dhidi ya Burnley
Arsenal wanakaribia kumaliza ukame wao wa Ligi Kuu kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Burnley. Kelele za penati zenye utata zachochea mjadala huku Havertz akifunga ushindi.
Watoa maudhui lishe, afya bila kibali kubanwa
DODOMA; Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa…
James Orengo amtosa Gladys Wanga kikaangoni, amwambia angali mtoto sana mambo ya siasa: “Nikome”
Gavana wa Siaya James Orengo anapeleka Linda Mwananchi Homa Bay, huku akimvaa Gladys Wanga katika hali ya kisiasa iliyojaa mgogoro kabla ya uchaguzi wa 2027.
Vifo vya Ebola vyafikia 131, maambukizi yakishika kasi
Shirika la Afya Duniani (WHO) tayari limetangaza mlipuko huo wa Ebola unaosababishwa na kirusi...
Idara ya DCI yaanika picha za washukiwa walioteketeza Mazda CX-5 huko Githurai
DCI inachunguza washukiwa waliohusika na uchomaji wa gari aina ya Mazda CX-5 wakati wa maandamano ya Thika Road. Kanda za video huenda ikawa na undani wa tukio hilo.
Neymar ajumuishwa kikosi cha Brazil Kombe la Dunia
Kocha wa Brazil, Carlo Ancelotti amemrudisha nyota mkongwe Neymar katika kikosi cha taifa kwa...
Ujenzi SGR Tanga-Arusha-Musoma wahojiwa bungeni
DODOMA; Mbunge wa Tanga Mjini, Kassim Mbaraka amehoji bungeni ni lini ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Bandari ya Tanga – Kilimanjaro – Arusha – Singida hadi Musoma yenye…
Rachel Wandeto: William Ruto amuomboleza mwimbaji aliyeshambuliwa kwa kujichora picha yake
Rais William Ruto ameomboleza mwimbaji Rachel Wandeto anayedaiwa kushambuliwa kwa petroli na kuchomwa moto sababu ya kuunga mkono achaguliwe tena 2027.
Putin ziarani Beijing kuimarisha ushirikiano na China
Rais wa Urusi Vladimir Putin anafanya ziara nchini China leo Jumanne kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, siku chache tu baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuzuru Beijing.Ingawa…
Michael Carrick amwaga wino kuendelea kuwa meneja Man United baada ya kipindi cha ukaimu kutamatika
Michael Carrick anatarajiwa kuwa meneja wa kudumu wa Manchester United baada ya kipindi cha kuvutia cha mpito kilichohakikisha kufuzu Ligi ya Mabingwa.
Hatua ya EPRA kupunguza dizeli kwa KSh 10, na kuongeza bei ya mafuta taa kwa KSh 38 yawakera Wakenya
Wakenya wameikashifu Mamlaka ya Kudhibiti Kawi na Petroli kwa kutangaza punguzo la KSh 10 kwa bei ya dizeli huku wakiongeza gharama ya mafuta taa kwa KSh 38.
Ushirikishwaji mikopo halmashauri wahojiwa bungeni
DODOMA; Serikali imesema inatambua umuhimu wa kuwashirikisha wabunge wote, wakiwemo wa Viti Maalum, katika utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 katika halmashauri. Kauli hiyo imetolewa na Niabu Waziri…
EPRA yatoa sasisho mpya la bei za mafuta, dizeli yashuka kwa KSh 10, mafuta taa yapanda kwa KSh 38
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli imetangaza bei mpya za mafuta, ikipunguza bei ya dizeli kwa KSh 10 kwa lita huku ikiongeza bei za mafuta taa kwa KSh 38.
Waziri abanwa bungeni, Dk Mwigulu na Spika Zungu wasema…
Serikali imetaja sababu tatu zinazosababisha kucheleweshwa kwa malipo ya kifuta jasho na...
Bungoma: Jamaa azikwa katika jeneza la kioo, familia yasema alitaka hivyo katika wasia wake
Mzee Daniel Mukhwana Matakala, 99, alitimiziwa matakwa yake ya kuzikwa katika jeneza la chuma na kioo. Hatua hiyo ilichochea hisia mbalimbali mtandaoni.
Cape Verde: PAICV yarejea madarakani baada ya miaka kumi katika upinzani
Chama cha mrengo wa kushoto, PAICV, kimeshinda uchaguzi, huku Waziri Mkuu Ulisses Correia e Silva, kiongozi wa Movement for Democracy (MpD), akikubali kushindwa. Mpito mpya wa kisiasa unakaribia Cape Verde,…
Kutoka kukimbia ndoa ya utotoni na ‘mzee’ hadi kuwa mke wa rais
Maisha binafsi ya mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa kisiasa barani Afrika yamefichuliwa katika mahojiano maalum ya kipekee ya BBC World Service.
Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania usimamizi mzuri wa miradi
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo...
Mgomo wa Matatu: Wamiliki wa matatu wapongezwa kwa kumshika shati Opiyo Wandayi kuhusu bei ya mafuta
Mvutano uliibuka wakati wa mkutano na waandishi wa habari huku Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi akijibiwa vikali na wenye matatu kuhus bei ya juu ya mafuta.
‘Hatutasalimu amri kamwe’: Pezeshkian aapa kuendeleza mapambano huku Trump akizidi kupiga ngoma za vita
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameapa kutosalimu amri kamwe mbele ya dola lolote au kutoa kafara heshima ya taifa kwa ajili ya faraja.
Watu wanne wauawa katika maandamano ya bei ya mafuta Kenya
Takribani watu wanne wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa nchini Kenya wakati maandamano ya kitaifa yakizuka kupinga kupanda kwa kasi kwa bei ya mafuta.
Algeria: Gérald Darmanin akutana na rais Abdelmadjid Tebboune
Waziri wa Sheria wa Ufaransa Gérald Darmanin amehitimisha ziara yake kaika mji mkuu wa Algeria, Algiers jana, Jumatatu, Mei 18, baada ya kukutana mapema siku hiyo na mwenzake wa Algeria,…
Janga la elimu huduma za unasihi kukosekana shuleni
Serikali kupitia Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imesitisha shahada zinazoandaa walimu wanasihi.
Uchunguzi wa Washington Post kuhusu mashambulio ya Iran kwenye vituo 228 vya kijeshi vya Marekani
Mwandishi wa habari mpelelezi wa gazeti la Washington Post amechapishwa maelezo kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye taasisi na zana 228 za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.
Magazeti ya Kenya: Bei ya mafuta yaipiga kabari nchi, Ruto aitisha kikao cha dharura na wadau
Rais Ruto ameitisha mkutano wa dharura na wadau katika sekta ya mafuta ili kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta, huku mgomo katika sekta ya uchukuzi ikiendelea.
Rais Samia kushiriki mkutano wa nishati ya nyuklia Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 19, 2026 ameondoka nchini kuelekea Kigali, Rwanda kushiriki...
Libya: Mlinzi katika gereza la wahamiaji la Mitiga kusikilizwa ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inachunguza uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa dhidi ya wahamiaji waliozuiliwa nchini Libya. Mmoja wa wakuu wa zamani wa gereza la Mitiga, karibu na Tripoli, Mohammed…
Mikutano ya walimu na wazazi ichukue sura hii
Mikutano kati ya walimu na wazazi imekuwa sehemu ya kawaida ya ratiba ya shule.