Magazeti ya Kenya: Bei ya mafuta yaipiga kabari nchi, Ruto aitisha kikao cha dharura na wadau
Rais Ruto ameitisha mkutano wa dharura na wadau katika sekta ya mafuta ili kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta, huku mgomo katika sekta ya uchukuzi ikiendelea.
Rais Samia kushiriki mkutano wa nishati ya nyuklia Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 19, 2026 ameondoka nchini kuelekea Kigali, Rwanda kushiriki...
Libya: Mlinzi katika gereza la wahamiaji la Mitiga kusikilizwa ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inachunguza uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa dhidi ya wahamiaji waliozuiliwa nchini Libya. Mmoja wa wakuu wa zamani wa gereza la Mitiga, karibu na Tripoli, Mohammed…
Mikutano ya walimu na wazazi ichukue sura hii
Mikutano kati ya walimu na wazazi imekuwa sehemu ya kawaida ya ratiba ya shule.
Marekani na Nigeria zatekeleza mashambulizi mapya dhidi ya kundi la Islamic State
Nigeria na Marekani zimefanya operesheni mpya dhidi ya kundi la Islamic State kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambapo uasi wa wanajihadi umekuwa ukiendelea kwa miaka kumi na saba. Imechapishwa: 19/05/2026 –…
RDC: Wakaazi wa Bukavu wanachukua hatua zipi kujikinga na msambao wa Ebola
Mashariki mwa DRC, maambukizi hatari ya virusi vya Ebola, yameendelea kuzua hofu ya kusambaa zaidi, wakati huu idara za afya nchini humo zikisema watu zaidi ya 100 wamethibitishwa kufa kutokana…
Kenya: Wanne wamefariki katika maandamano dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta
Nchini Kenya, watu wanne wameuawa na zaidi ya thelathini kujeruhiwa siku ya Jumatatu, Mei 18, wakati wa vurugu zilizoshuhudiwa siku ya mgomo wa usafiri wa umma na maandamano ya kupinga…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 19, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 19, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Ebola ni nini na kwa nini kuzuia mlipuko huu ni vigumu sana
Mlipuko wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo unahusisha aina adimu ya virusi na unatokea katika eneo lililoathiriwa na migogoro.
Donald Trump anasema amesitisha shambulio lililokuwa limepangwa dhidi ya Iran siku ya Jumanne
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumatatu, Mei 18, kwamba amesitisha shambulio dhidi ya Iran lililokuwa limepangwa kufanyika Jumanne, Mei 19, kujibu ombi la viongozi wa nchi za…
Kenya: Serikali na wamiliki wa magari ya usafiri wa umma washindwa kuafikiana
Serikali na wamiliki wa magari ya abiria nchini Kenya, wameshindwa kufikia makubaliano kuhusu kusitisha mgomo wa usafiri wa uma, wakati huu watu wanne wakiripotiwa kupoteza maisha hapo jana wakati wa…
Ebola: Marekani imeweka vizuizi kwa baadhi ya wasafiri kutoka Afrika ya Kati
Marekani imetangaza Jumatatu, Mei 18, 2026, udhibiti mkali kwenye mipaka yake ili kupambana na virusi vya Ebola, ambavyo vimemwambukiza raia wa Marekani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Vituo vya…
Muigizaji wa Kihispania: Simulizi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya watu wa Gaza inabadilika
Muigizaji maarufu wa Kihispania amesema kando ya Tamasha la Filamu la Cannes kwamba: Licha ya kampeni yake ya hadharani dhidi ya vita vya Israel na mauaji ya kimbari ya utawala…
Israel yavamia meli za Freedom Flotilla na kuwakamata washiriki 100
Vyombo vya habari vimeripoti kwamba makomandoo wa jeshi la Wanamaji la Israel wamevamia msafara wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza "Global Sumud…
Studio mpya ya Twanga Pepeta, inapokea vipaji vyote
Uzinduzi wa studio mpya ya muziki ya Twanga Pepeta Entertainment ulifanyika Mei 17, 2026 katika...
Jumanne ,Pili Dhulhija 1447 Hijria , 19 Mei 2026.
Leo ni Jumanne tarehe Pili Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 19 Mei 2026. Siku kama ya leo miaka Miaka 505 iliyopita, majeshi ya utawala wa kifalme wa Othmania yaliuteka mji…
Ebola: Hali ya tahadhari yatangazwa Uganda baada ya kuthibitishwa kwa visa viwili
Nchini Uganda, mamlaka za afya ziko katika tahadhari kubwa kufuatia kuthibitishwa kwa wagonjwa wawili walioambukizwa Ebola, mgonjwa mmoja amefariki, baada ya kuambukizwa aina ya virusi vya Ebola iliyotangazwa mashariki mwa…
Tahadhari ya Ebola yaongezeka, Tanzania ilivyojipanga
Wakati huohuo, Uganda imethibitisha wagonjwa wawili wa Ebola mjini Kampala jana Mei 17, 2026...
Dunia inazidi kuwa dhaifu kutokana na milipuko ya magonjwa ya kuambukiza
Wataalamu wameonya kuwa dunia inazidi kuwa dhaifu kutokana na milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, wakati huu mamlaka za afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda zikijitahidi kudhibiti mlipuko…
Hali ya ufanyaji biashara katika soko jipya la Kariakoo umeimarika ikiwa imetimia siku 100 tangu lilipofunguliwa upya na wafanya…
Hali ya ufanyaji biashara katika soko jipya la Kariakoo umeimarika ikiwa imetimia siku 100 tangu lilipofunguliwa upya na wafanyabiashara wakifurahia maendeleo yaliyopo na usimamizi wake huku mkuu wa mkoa wa…
Trump atangaza kusitisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran, akidai karibu wanaafikia makubaliano
Donald Trump amesema amesitisha operesheni za kijeshi kwa siku mbili au tatu dhidi ya Iran ili kutoa nafasi kwa mazungumzo kufanyika pamoja na mashauriano na viongozi wa eneo hilo ikiwemo…
Tanzania: Tume maalum yauundwa kuchunguza vurugu za baada ya uchaguzi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda tume nyingine maalumu ya jinai itakayochunguza matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka jana. Imechapishwa: 19/05/2026…
Ubunifu sambamba kupenda unachokifanya unaweza kuvitaja kuwa siri ya mafanikio ya uanzishwaji wa kiwanda cha kutengeneza mbolea …
Ubunifu sambamba kupenda unachokifanya unaweza kuvitaja kuwa siri ya mafanikio ya uanzishwaji wa kiwanda cha kutengeneza mbolea inayotokana na kuchakata samadi na mabaki ya mimea. Kijana Aldo Sanga wa Makete…
Kwa nini UAE ilipinga ziara ya Netanyahu nchini humo na kwa nini Israel iliitangaza
Chini ya saa mbili baada ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel kuthibitisha rasmi ziara yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na kukutana na Mohammed bin Zayed, Rais…
Havertz atupia Arsenal ikiukaribia ubingwa EPL
Bao pekee alilofunga Kai Havertz limetosha kuipa pointi tatu muhimu Klabu ya Arsenal ambayo...
Jeshi la Magereza Mkoa wa Morogoro limeendelea kuhamasishwa matumizi ya nishati safi ya kupikia ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Se…
Jeshi la Magereza Mkoa wa Morogoro limeendelea kuhamasishwa matumizi ya nishati safi ya kupikia ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali kuhakikisha Asilimia 80 ya wanatumia wahamie kutumia nishati safi…
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha na kupitisha Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utali…
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha na kupitisha Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya kiasi cha shilingi Bilioni 334.34 kwa mwaka wa…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na BRAC Maendeleo Tanzania wamekubaliana kuimarisha usambzaji na matumizi ya taarifa za h…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na BRAC Maendeleo Tanzania wamekubaliana kuimarisha usambzaji na matumizi ya taarifa za hali ya hewa nchini. Kikao hicho kimeongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa kukabiliana na…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa kukabiliana na changamoto ya upotevu wa maji katika mikoa ya Dar…
Kawaida ajitwisha ulezi wa vijana wanufaika wa mkopo Mtwara
Mwenyekiti wa UVCCM, Mohammed Ali Kawaida ameahidi kuendelea kuvisaidia vikundi vya vijana...
Wizara ya Uchukuzi imesema maandalizi ya kuanza kusafirisha mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Bahi mkoani Dodoma kwa…
Wizara ya Uchukuzi imesema maandalizi ya kuanza kusafirisha mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Bahi mkoani Dodoma kwa kutumia reli yako katika hatua za mwisho, hatua inayolenga kupunguza…
NBA PlayOff
NBA PlayOff OKC Thunder watakuwa Paycom Center wakiwakaribisha San Antonio Spurs katika Game 1 ya fainali ya NBA Ukanda wa Magharibi.. Thunder waliwatoa Lakers kwa 4 - 0 wakati Spurs…
#CRDBBankFederationCup “…tuna malengo ya kutetea ubingwa”
#CRDBBankFederationCup “…tuna malengo ya kutetea ubingwa” Yanga SC imesema haichagui mpinzani wala kiwanja cha kuchezea katika hatua ya nusu fainali, Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwakuwa malengo yao ni…
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji…
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika…
MAYELE NDANI YA KOMBE LA DUNIA
MAYELE NDANI YA KOMBE LA DUNIA Mshambuliaji wa Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele amejumuhishwa kwenye kikosi cha nyota 26 watakaounda timu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ‘The…
SINGIDA BS: “…hii ni mechi kubwa”
SINGIDA BS: “…hii ni mechi kubwa” Kikosi cha Singida BS kimetua Dar es salaam tayari kwa maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Mei 22, kwenye Dimba la KMC…
YANGA SC: “….tuna mechi tisa tu kutetea mataji yetu mawili”
YANGA SC: “….tuna mechi tisa tu kutetea mataji yetu mawili” Kikosi cha Yanga kinarejea mazoezini kesho Mei 19 baada ya mapumziko ya siku mbili, kuanza maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi…
Chama Cha ACT-Wazalendo kimeshauriwa kumaliza tofauti zinzokwamisha uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani Zanz…
Chama Cha ACT-Wazalendo kimeshauriwa kumaliza tofauti zinzokwamisha uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani Zanzibar na kujitahidi kushughulikia malalamiko waliyonayo wakiwa ndani ya serikali. Joseph Mpangala ana maarifa…
Mambo matatu Rio Ferdinand akitua Tanzania
Kwa Tanzania ujio wa Ferdinand ni jambo lenye maana na umuhimu mkubwa kwa nchi na hilo...
Wachimbaji wadogo wa madini Mkoani Geita wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
Wachimbaji wadogo wa madini Mkoani Geita wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake kubwa za kuimarisha sekta ya madini nchini, hatua inayozidi…
Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kumaliza miradi ya zamani kabla ya kuanzisha mipya
Dodoma. Serikali imetakiwa kuwekeza nguvu katika umaliziaji wa miradi ya zamani kabla ya...
Tabora yaongoza uzalishaji wa asali Tanzania
Ameongeza kuwa takriban asilimia 65 ya misitu ya Tabora imefunikwa na miti ya miyombo, hali...
Marekani yaanza kuhamisha raia wake, mlipuko wa Ebola DRC
Mlipuko huu ni wa 17 wa Ebola kutokea DRC tangu virusi hivyo vilipogunduliwa kwa mara ya kwanza...
Kijana auawa Arusha kisa hajasalimia
Inadaiwa aliwasalimia vijana watatu kwa kuwapa mkono kwa ishara ya ‘tano’ huku akiwaacha wawili...
Heche: Tutasema ukweli hadi mwisho licha ya vitisho
Heche amesema chama hicho hakiwezi kufumbia macho changamoto zinazowakabili wananchi, ikiwamo...
William Ruto Afanya Mkutano wa Mtandaoni wa Dharura na Mawaziri Maandamano ya Mafuta Yakitikisa Nchi
Rais William Ruto aliitisha kikao cha dharura cha Mawaziri akiwa Baku, Azerbaijan, huku maandamano makubwa ya mafuta na matatizo ya usafiri yakiikumba Kenya.
Wito umetolewa kwa Serikali kuongeza kasi ya kutatua migogoro ya ardhi ili kudumisha amani na kuimarisha imani ya wananchi kwa u…
Wito umetolewa kwa Serikali kuongeza kasi ya kutatua migogoro ya ardhi ili kudumisha amani na kuimarisha imani ya wananchi kwa uongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wito huo…