Mukandayisenga aiwinda rekodi ya Masaka WPL
HADI raundi ya 12 mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga anaongoza kwenye msimamo wa wafungaji akiwa na mabao 18, huku akiacha maswali kama ataivunja rekodi ya Aisha Masaka
Serikali yaweka mkakati kukabili changamoto ya upatikanaji wa dawa
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ametangaza mkakati mpya wa Serikali wa kuanzisha mfumo wa...
#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha Ziwa Nyasa, kufurika na maji kufunika gati la Bandari ya Mbambabay, hatua ili…
#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha Ziwa Nyasa, kufurika na maji kufunika gati la Bandari ya Mbambabay, hatua iliyosababisha meli kushindwa kutia nanga na hivyo safari za meli za ndani na…
Corazone: Wapinzani wanatupa mechi ngumu WPL
KIUNGO wa Simba Queens, Vivian Corazone amesema hakuna mechi rahisi kwenye ligi hiyo kwani kila timu inapambana zaidi inapokutana nayo.
🔴TAMASHA LA MICHEZO: MASHINDANO YA TAIFA YA KUOGELEA…APRILI 5, 2026
🔴TAMASHA LA MICHEZO: MASHINDANO YA TAIFA YA KUOGELEA...APRILI 5, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Serikali mkoani Kigoma kwa kushirikiana na wadau wa afya imeanza kutoa huduma ya matibabu ya macho bure kwa wananchi mk…
#HABARI: Serikali mkoani Kigoma kwa kushirikiana na wadau wa afya imeanza kutoa huduma ya matibabu ya macho bure kwa wananchi mkoani humo, itakayoenda sambamba na upasuaji wa mtoto wa jicho,…
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
Trump asema rubani wa Marekani aliyetoweka kwenye ndege iliyodunguliwa Iran ameokolewa
Kulikuwa na ‘‘makabiliano’’ kati ya vikosi vya Marekani na Iran wakati wa uperesheni ya uokoaji wa rubani huo.
Referee woes, chaos: The curious case of Tanzania’s most unloved persons in football
DAR ES SALAAM: ON any given weekend, in any given Tanzanian football ground, between the first whistle and the final insult hurled from the terraces, there is a drama. The…
Marekani ilivyomwokoa mwanajeshi wake ndani ya ardhi ya Iran
Operesheni hiyo tata ilihusisha mamia ya wanajeshi maalumu pamoja na makumi ya ndege za kivita...
Azam, Simba in crucial clash
DAR ES SALAAM: AZAM FC will host Simba SC today in what promises to be a thrilling Mainland Premier League encounter at the Azam Complex, Chamazi in Dar es Salaam.…
Why cleric says Easter is gift if well used
MOSHI: TANZANIANS , especially those of the Christian faith, are joining their peers around the world to celebrate Easter after 40 days of fasting known as the Lenten period. Easter…
Upepo wa Southampton ulivyoibwaga Arsenal Kombe la FA
Klabu ya Southampton imeandika historia baada ya kuifunga Arsenal mabao 2-1 na kutinga katika...
Time to market Tanzania as wellness destination
DAR ES SALAAM: WE must admit it that Tanzania now stands at a unique moment in its tourism journey, with an opportunity to redefine how the world experiences travel. Beyond…
Polisi yaonya wanaozusha wanaume kuibiwa nyeti, watano wafariki
Jeshi la Polisi nchini limewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaosambaza taarifa za...
Government to roll out new policy for public spending
DODOMA: THE government is set to roll out a new National Supply Chain Management Policy of 2025 aimed at strengthening discipline in the use of public funds, improving efficiency in…
Mvulana wa Kipalestina asimulia jinsi familia yake ilivyouawa na vikosi vya Israel
Anasema Mohammed alianguka kwenye mapaja ya Mustafa wakati ufyatuaji risasi ulipoanza, na nguo za Mustafa zikajaa damu.
Mvulana wa Kipalestina asimulia jinsi vikosi vya Israel vilivyoiua familia yake
Anasema Mohammed alianguka kwenye mapaja ya Mustafa wakati ufyatuaji risasi ulipoanza, na nguo za Mustafa zikajaa damu.
MZIZIMA DERBY: Ni mechi ipi ya ‘Dabi ya Mzizima’ ilichezwa siku mbili na sabab ilikuwa nini….???,
MZIZIMA DERBY: Ni mechi ipi ya 'Dabi ya Mzizima' ilichezwa siku mbili na sabab ilikuwa nini....???, Watu saba wa mwanzo watakaojibu kwa usahihi swali hilo, watajishindia tiketi ya kwenda kuushudia…
LALIGA kuendelea leo kwa mechi hizi
LALIGA kuendelea leo kwa mechi hizi. Kwa kifurushi chan shilingi 28,000 unatazama mechi hizi mbashaar kupitia AzamSports4HD. @laliga (Feed generated with FetchRSS)
TEF yalaani Jambo Online TV kufungiwa, yapendekeza hatua mbadala
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na uamuzi wa Serikali kukifungia kituo cha...
MZIZIMA DERBY: “Kweli kumuona Feisal kwa 15000 Sikukuu ya Pasaka”?
MZIZIMA DERBY: “Kweli kumuona Feisal kwa 15000 Sikukuu ya Pasaka”? Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amewakaribisha mashabiki wa Simba SC na wapenda soka kwa ujumla katika dimba la…
Habari Wikiendi imeangazia changamoto zinazowakumba watoto wanaosafiri au kusafirishwa bila uangalizi wa kutosha
Habari Wikiendi imeangazia changamoto zinazowakumba watoto wanaosafiri au kusafirishwa bila uangalizi wa kutosha. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
Wananchi Moshi walalamikia bei ya sukari kupanda
Baadhi ya wananchi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya...
Maaskofu waonya wanaosherehekea vifo, kupenda uongo
Viongozi hao wa kiroho, wamesema mwenendo huo ni dalili ya hatari ya mmomonyoko wa utu na...
Sayansi ya anga: Je, dunia itaisha vipi na lini?
Abrom Zabot anaongeza kuwa baadhi ya makadirio yanazungumzia trilioni za miaka, huku mengine yakihusisha muda mrefu zaidi.
Je, vita dhidi ya Iran vinamnyima usingizi Kim Jong-un?
Korea Kaskazini kwa hakika ni taifa lenye silaha za nyuklia - na hata Rais wa Marekani Donald Trump alisema mwaka 2025 kwamba nchi hiyo ina "namna fulani ya nguvu za…
Hatimaye Balozi wa nyumba 10 katika Mtaa wa Afya, Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro wilayani Geita, Cosmas Juakali amerejea kutoka …
Hatimaye Balozi wa nyumba 10 katika Mtaa wa Afya, Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro wilayani Geita, Cosmas Juakali amerejea kutoka mafichoni baada ya kujificha tangu Novemba mwaka jana, akihofia…
Machimbo Musoma yaua wawili, wengine waokolewa, mmoja asakwa
Watu wawili wamefariki dunia huku wengine wawili wakiokolewa baada ya kufukiwa na kifusi...
Tetesi za Soka Ulaya Jumapil: Inter Milan inamfukuzia kipa wa Tottenham
Chelsea inamsaka beki kutoka klabu washirika, Inter inamnyatia kipa wa Spurs na Liverpool inataka kuimarisha safu yake ya ulinzi.
Panya wanaweza kuonekana wadogo, lakini mchango wao katika kuokoa maisha ni mkubwa
Panya wanaweza kuonekana wadogo, lakini mchango wao katika kuokoa maisha ni mkubwa. Taasisi ya Apopo sasa imeanzisha mradi wa panya wa maonesho ili kuonesha kwa jamii jinsi wanavyotumika kugundua mabomu…
Russia yalaani hujuma ya Marekani, Israel dhidi ya kituo cha nyuklia cha Bushehr
Maria Zakharova, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, ametangaza kuwa Moscow inalaani vikali mashambulio ya hivi karibuni dhidi ya kituo cha Nyuklia cha Bushehr kilichoko kusini mwa…
Yesu amefufuka kwelikweli, Pasaka ni ushindi wetu
Wapendwa katika Kristo, Bwana Yesu asifiwe! Ninaitwa Mchungaji Gasper Madumla, leo...
Namna vita dhidi ya Iran vilivyobadilisha muundo wa soko la nishati duniani?
Taasisi moja ya Marekani imekiri kwamba vita dhidi ya Iran vimebadilisha pakubwa muundo wa soko la nishati duniani.
Why public must be wary of disruptive social media activism
NAIROBI: IN today’s digital age, information travels faster than ever before. A single message, video or post can reach thousands, sometimes millions, within minutes. Social media has transformed communication, giving…
ZRA beats March tax target by 9pc
ZANZIBAR: THE Zanzibar Revenue Authority (ZRA) has exceeded its revenue collection target for March 2026 by nine per cent, reflecting improved economic activity, rising taxpayer compliance and growth in the…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Tanzania pushes for self-reliant Africa
TANGIER: FINANCE Minister Ambassador Khamis Mussa Omar has urged African countries to adopt a unified approach to building resilient and self-reliant economies amid global crises. He emphasised the need for…
Mamlaka ya Dawa, Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) Kanda ya Magharibi, imetoa elimu kwa watoa huduma za afya katika Manispaa ya Kigoma …
Mamlaka ya Dawa, Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) Kanda ya Magharibi, imetoa elimu kwa watoa huduma za afya katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Mafunzo hayo yamehusu utambuzi wa madhara na matukio…
EASTER CELEBRATION: Samia urges compassion
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has extended Easter greetings to all Tanzanians, calling for renewed commitment to unity, peace and compassion as the nation marks the resurrection of…
Rosatom inaendelea kupanua shughuli zake za madini kimataifa kupitia ushirikiano mpya na Brazil, kwa kuanzisha kampuni ya pamoja…
Rosatom inaendelea kupanua shughuli zake za madini kimataifa kupitia ushirikiano mpya na Brazil, kwa kuanzisha kampuni ya pamoja itakayoshughulika na utafiti na uendelezaji wa madini muhimu kwa teknolojia za kisasa.…
Vibanda 500 vyateketea kwa moto Simu 2000 Dar
Zaidi ya vibanda 500 inaelezwa vimeungua katika Stendi ya Simu 2000 iliyopo Wilaya ya Ubungo...
Vibanda vya wafanyabishara eneo la Mawasiliano Jijini Dar es Salaam vimeteketea kwa moto
Vibanda vya wafanyabishara eneo la Mawasiliano Jijini Dar es Salaam vimeteketea kwa moto. Inaelezwa kuwa moto huo umeibuka ghafla leo jioni na kuteketeza baadhi ya vibanda hivyo vilivyo katika eneo…
Yanga yatakata, jahazi la Prisons likizidi kudidimia NBC PL
BAADA ya kutoka sare tatu mfululizo, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya maafande wa Tanzania Prisons, katika mechi iliyopigwa Kwenye Uwanja…
Azam vs Simba: Historia, ushindi na presha zikijumuika Mzizima Dabi
WAKATI leo Jumapili Wakristo wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka inayoendana na kumbukumbu ya tukio la kufufuka kwa Bwana Yesu, Jiji la Dar es Salaam sherehe hizo zitanogeshwa na mechi kali ya…