Mapambano ya uvuvi haramu yazikutanisha nchi tatu Zanzibar
Unguja. Wataalamu wa masuala ya bahari kutoka Tanzania, Kenya na Mauritius wamekutana Zanzibar...
Ouma aiona robo fainali Shirikisho
BAADA ya kuambulia pointi tatu nyumbani dhidi ya AS Otoho, Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema anaiona nafasi ya timu hiyo kuendelea kuandika historia kwa kutinga hatua…
Mastaa wamlilia Manyika Sr
KIFO cha kipa wa zamani wa Taifa Stars, Yanga, Sigara na Mtibwa Sugar, Peter Manyika Sr kimewaliza wachezaji mbalimbali hapa nchini, huku wakimzungumzia kwa nyanja tofauti namna walivyofanya naye kazi…
Walimu zingatieni mazingira ya wanafunzi kuboresha ufaulu’
Walimu wa shule za msingi na sekondari katika Manispaa ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, wametakiwa...
Ligi Kuu Bara leo zinasakwa pointi tatu za heshima
LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumanne kwa mechi tatu kupigwa lakini macho ya wengi yataelezwa Uwanja wa KMC jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Yanga itashuka dimbani kucheza…
Chikola afunguka kutua Singida Black Stars
UONGOZI wa Yanga umemtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Offen Chikola kwenda Singida Black Stars, huku mwenyewe akisema hiyo kwake ni sehemu ya kumjenga zaidi.
Shiza Kichuya aibukia Coastal Union
WINGA wa zamani wa Simba na Mtibwa Sugar, Shiza Kichuya amejiunga na Coastal Union akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba JKT Tanzania.
Serikali yaagiza kituo cha afya Kaloleni kupandishwa hadhi
Kuhusu uhaba wa watumishi 40 katika kituo hicho ameahidi kulifanyia kazi na kumwagiza...
Kilolo yageukia ufuta kuukabili ukame
Serikali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la ufuta kwa...
Ila Shangazi 🤣 haoni watu wana msiba
Ila Shangazi 🤣 haoni watu wana msiba... #KombolelaSeason2 (Feed generated with FetchRSS)
Kumbe walimdunda Irene jamani 🥹
Kumbe walimdunda Irene jamani 🥹 (Feed generated with FetchRSS)
Muigizaji @sapna__filoz anasema uhusika wake kama ‘Suzy’ umempa vazi jipya machoni mwa mashabiki 😅
Muigizaji @sapna__filoz anasema uhusika wake kama 'Suzy' umempa vazi jipya machoni mwa mashabiki 😅 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Watumishi wa ajira mpya wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria taratibu n…
#HABARI: Watumishi wa ajira mpya wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma ili kufikia malengo ya halmashauri na…
#MEZAHURU:”…
#MEZAHURU:”…. Kwa hiyo ukishakuwa umefika pale lazima uwe umeshafahamu taarifa zako binafsi zote unazo sio unaenda pale unaulizwa ulisoma wapi..? Kitu fulani hiki ulikipatia wapi.? Halafu unaanza kusitasita,”- Jeniffer Mteleke…
Je, vyombo vya habari vinavyohasimiana na Iran vinakiuka sheria za kimataifa katika upotoshaji?
Kadiri wimbi la fitina, vurugu na machafuko yanayohusishwa na ushawishi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran lilivyozidi kupamba moto, nafasi ya vyombo vya habari hasimu katika…
#MEZAHURU: “…zipo za nchi mbalimbali ‘ pamoja na vyuo mbalimbali pamoja na vyazo sahihi vya sehemu vya sehemu ambazo unataka kw…
#MEZAHURU: “…zipo za nchi mbalimbali ' pamoja na vyuo mbalimbali pamoja na vyazo sahihi vya sehemu vya sehemu ambazo unataka kwenda kupata huo ufadhili mfano kuna balozi wa Ufaransa, kuna…
Madiwani Ilemela waagiza kodi ikusanywe bila kero
Meya wa Manispaa ya Ilemela, Sarah Ng’whani, amesema baraza limeridhia bajeti hiyo baada ya...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk, amefunga m…
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk, amefunga mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa uchaguzi Mjini Iringa…
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Jomaary Satura amesema manispaa hiyo ina mpango wa upandaji wa miti zaidi ya milioni moja na laki …
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Jomaary Satura amesema manispaa hiyo ina mpango wa upandaji wa miti zaidi ya milioni moja na laki tano katika mwaka wa fedha wa 2025/2026 (Feed generated…
Iran: Tutatoa jibu la ‘kujutisha’ kwa uchokozi wowote wa maadui
Iran imeonya kwamba, Jamhuri ya Kiislamu itatoa "jibu la kujutisha" kwa kitendo chochote cha uchokozi, ikisisitiza kwamba taifa hili sasa lina uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi kuliko hapo awali.
Wakazi wa kijiji cha Nambinzo wilayani Mbozi mkoani Songwe wamelazimika kutoa machozi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja l…
Wakazi wa kijiji cha Nambinzo wilayani Mbozi mkoani Songwe wamelazimika kutoa machozi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la kudumu wakidai kuwa adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi huo…
Usajili bima ya afya kwa wote kuanza na kaya masikini
Kundi hili lenye jumla ya kaya 276,000 limechaguliwa kuwa la majaribio ya mfumo wa bima ya afya...
Ofisa wa Polisi afichua mipango ya kumshambulia Gachagua kanisani
Ofisa huyo alieleza kuwa kikosi hicho kilielekezwa kushirikiana na vijana wapatao 20 kutoka...
🔴MEZA HURU: FURSA KUSOMA NJE .JANUARI 25, 2026
🔴MEZA HURU: FURSA KUSOMA NJE .JANUARI 25, 2026
Baraza la Usalama: Sheria za msituni zinachukua nafasi ya utawala wa sheria aonya mkuu wa UN
Utawala wa sheria wa kimataifa unamomonyoka Sheria za msituni zinachukua nafasi ya utawala wa sheria Wachache wanapindua kanuni kwa maslahi binafsi Afrika yataka ushirikiano wa kimataifa unaoaminika Mageuzi kwenye Baraza…
FAO yaimarisha uhakika wa chakula Haiti na Jamhuri ya Dominika kupitia kilimo
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limeimarisha mikakati ya dharura ya kilimo nchini Haiti na Jamhuri ya Dominika ili kukabiliana na njaa na kulinda mifumo ya…
Umoja wa Mataifa waonya juu ya ongezeko la vitisho vya AI kwa watoto, ikiwemo matumizi ya picha zilizobadilishwa
Umoja wa Mataifa (UN), leo, umetoa onyo kuhusu kuongezeka kwa vitisho vinavyotokana na matumizi ya Akili Mnemba (AI) kwa watoto katika mazingira ya mtandaoni duniani kote, kufuatia ongezeko kubwa la…
Pigo jipya kwa UNRWA baada ya makao yake makuu Mashariki mwa Yerusalemu kuchomwa moto
Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, ambalo limekuwa chini ya shinikizo kubwa, amelaani vikali taarifa kwamba makao makuu ya shirika hilo huko…
Hatua kuelekea nishati safi hazitoshi, kasi lazima iongezwe: Guterres
Katika Siku hii ya Kimataifa ya Nishati Safi mwaka huu iliyobeba maudhui “Nishati safi kwa wote”, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema dunia inaelekea kubadilika lakini ameonya…
MAKALA: Kutana na Maryanne Gichanga alialiyeibuka na ubunifu kukabili athari za tabianchi Kenya
Maryanne Gichanga ni mshiriki wa mpango unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa wa kupambana na mabadiliko ya tabianchi,anasaidia wakulima nchini Kenya, na hususan Nairobi kupata suluhu za kupunguza madhara ya…
Yaliyojiri jaridani leo: Hatua kulelekea nishati safi, wavuvi Kenya, wajasiriamali Rwanda
Katika Siku hii ya Kimataifa ya Nishati Safi mwaka huu iliyobeba maadhui “Nishati safi kwa wote”, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema dunia inaelekea kubadilika lakini ameonya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#HABARI: Wananchi wamekumbushwa kuzingatia utunzaji wa fedha kwa kuzihifadhi vizuri ili zisiharibike ubora wake kwa kuepuka tabi…
#HABARI: Wananchi wamekumbushwa kuzingatia utunzaji wa fedha kwa kuzihifadhi vizuri ili zisiharibike ubora wake kwa kuepuka tabia ya kuhifadhi fedha kwenye matiti, kushika fedha hususani za noti ukiwa na vumbi…
Wizara ya Maendeleo ya Vijana imeiomba Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera kufanya uchunguzi wa ki…
Wizara ya Maendeleo ya Vijana imeiomba Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera kufanya uchunguzi wa kina wa madai ya ubadhirifu ikidaiwa kuwa vijana wanaofuga samaki kwa…
“….mchango wa sekta ya madini umeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka….mpaka kufika tarehe ya 25 mwezi wa kwanza mwaka 2026 s…
"....mchango wa sekta ya madini umeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka....mpaka kufika tarehe ya 25 mwezi wa kwanza mwaka 2026 sekta ya madini imekusanya zaidi ya bilioni 741.....na katika siku 100…
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika ulioanza majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Januari 26 umeteketeza maduka …
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika ulioanza majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Januari 26 umeteketeza maduka na karakana ya mbao katika eneo la Moshono jijini Arusha. Kwa…
Jenerali wa kijeshi wa China ambaye serikali ina wasiwasi naye
Wizara ya Ulinzi ya China imesema imeanzisha uchunguzi dhidi ya Jenerali wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini humo, ikimtuhumu kwa "ukiukaji mkubwa wa nidhamu na sheria."
Algeria yaijia juu Ufaransa kwa kueneza ‘urongo’ kupitia TV
Serikali ya Algeria imeishutumu Ufaransa kwa kuidhinisha 'uchokozi' dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Kaskazini, baada ya televisheni ya serikali ya Paris kurusha makala ya matukio ya kweli (documentary) ambayo…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Chrispin Chalamila amesema katika kipindi cha Julai hadi Disemba mwaka jana, wameweza kuoko…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Chrispin Chalamila amesema katika kipindi cha Julai hadi Disemba mwaka jana, wameweza kuokoa shilingi bilioni 60.2 kutokana na kudhibiti vitendo vya rushwa huku kati ya…
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Dkt
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, Dkt. Jafar Seif ameagiza kuhamishwa kwa vifaa tiba vilivyohifadhiwa au kufungwa katika baadhi ya…
Vitu viwili anavyoogopa 50 Cent
Rapa kutokea Marekani, 50 Cent anajulikana kuwa si mtu wa kuogopa kuingilia mijadala yenye...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….JANUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
Awamu ya kwanza ya mradi wa Mabasi yanayotumia Umeme (Zan Bus), imewasili visiwani humo kupitia Bandari ya Malindi, Zanzibar
Awamu ya kwanza ya mradi wa Mabasi yanayotumia Umeme (Zan Bus), imewasili visiwani humo kupitia Bandari ya Malindi, Zanzibar. Mabasi hayo 10 yaliyowasili jana Jumapili, Januari 24, 2026 yanatarajiwa kuanza…
Tanzania, Korea kushirikiana teknolojia ya madini
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni utekelezaji wa Madini Vision 2030, imewezesha kuanzishwa kwa mradi wa ujenzi wa Kituo cha kisasa cha Teknolojia ya Madini pamoja na…
Iran yazifungulia mashitaka US, Israel kwa kuunga mkono ugaidi
Iran imewasilisha malalamiko ya kisheria na jinai katika majukwaa ya kimataifa dhidi ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel, na makundi kadhaa ya kigaidi kwa kuunga mkono na kufadhili vitendo…
Wahamiaji 50 wahofiwa kufa maji katika ajali ya boti pwani ya Tunisia
Serikali ya Tunisia imesema kuwa, takriban wahamiaji 50 aghalabu yao kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika wanahofiwa kufariki dunia baada ya mashua yao kupinduka katika pwani ya Tunisia.