Magazetini, Ijumaa Aprili 3: Ndani ya Mkutano wa Uhuru na Gachagua, Viongozi Wengine wa Upinzani
Mnamo Ijumaa, Aprili 3, magazeti ya Kenya yaliangazia usuhuba mpya na muungano wa kisiasa kati ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta na DP Rigathi Gachagua.
Mnamo Ijumaa, Aprili 3, magazeti ya Kenya yaliangazia usuhuba mpya na muungano wa kisiasa kati ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta na DP Rigathi Gachagua.
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikipambana na muuaji wa kimya kimya bila mafanikio huku...
Karibu miezi minne iliyopita, mamlaka ya Kongo ilitangaza kmalizika kwa ugonjwa wa Ebola nchini. Siku ya Alhamisi hii, Aprili 2, 2026, tahadhari ya kitaifa kwa Mpox iliondolewa. Mlipuko huo ulitangazwa…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Aprili 3, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Huu ni uchunguzi wa kipekee wa RFI kuhusu vita vya vinavyoendelea katika bara la Afrika kati ya Kyiv na Moscow nchini Libya. Uchunguzi huu unafanyika kwa siri na unazingatia maslahi…
Wakati bei ya gesi ya kupikia (LPG) ikiendelea kupanda katika soko la dunia, kampuni ya Taifa...
DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema uanzishwaji wa kiwanda kipya cha kutengeneza vifungashio unaofanywa na Kampuni ya SBC Tanzania Ltd kutachochea ajira kwa vijana mikoa…
Nchini Haiti, mpango wa kutumwa kwa Kikosi cha kupambana dhidi ya Magenge (FRG) umeanza kutekelezwa. Ujumbe wa kwanza kutoka Chad umewasili mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince tangu siku ya Jumatano,…
#MzizimaDerby “….Azam FC ina saikolojia ya timu ndogo” Amri Kiemba anaeleza ni kwanini anaiona Azam FC kuwa na tabia za “timu ndogo”, akigusia hamasa ambayo huzisukuma Yanga na Simba kusaka…
Baadhi ya waliokuwa wagombea urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 kutoka...
Machi 30, 2026, dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Akili ujulikanao kama...
Serikali ya Cuba imetangaza Alhamisi, Aprili 2, kuachiliwa huru kwa wafungwa 2,010 kwa ajili ya kuadhimisha Wiki Takatifu. Mwezi uliopita, serikali iliahidi kuwaachilia huru wafungwa zaidi ya hamsini. Imechapishwa: 03/04/2026…
Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Sheria Pam Bondi siku ya Alhamisi, Aprili 2, 2026, afisa wa Ikulu ya White House ametangaza, kufuatia utata kuhusu kazi yake,…
#MzizimaDerby “….nilikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika ushindi wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar ugenini” Abdulhalim Humud anakumbushia ‘kitu’ ambacho anakikumbuka zaidi alipokuwa akiitumia Azam FC……
Raundi ya 18 NBC Premier League kuanza kupigwa leo Ijumaa. Je, timu gani kuchukua ama kudondosha alama tatu? Usikose kutazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Balozi wa zamani wa Marekani katika NATO, Ivo Dalder, akijibu hotuba hiyo, alisema kuwa kauli ya Trump imezua "mashaka kuhusu malengo ya vita" na kuacha maswali kadhaa muhimu bila majibu.
Hakika Sharia tukufu ya Kiislamu ni kamili na yenye kujumuisha kila kitu, inayofaa kwa kila...
China, ambayo ina kura ya turufu, inapinga mpango wowote wa kutumia nguvu.
Kuingilia kati kwa Marekani pia kunachochea hali kuwa mbaya zaidi kwani hata nchi zisizohusika moja kwa moja huathirika kiuchumi au kimkakati.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amemfuta kazi mkuu wa majeshi Jenerali Randy George, pamoja na makamanda waandamizi wa jeshi kwa mujibu wa vyombo vya Habari nchini Marekani. Imechapishwa:…
Nchini Uganda, watoto wanne wamechomwa kisu hadi kufa katika shule moja ya chekechea katika mtaa wa Ggaba nje kidogo ya jijiji kuu Kampala. Imechapishwa: 03/04/2026 – 05:31 Dakika 2 Wakati…
Katika kijiji cha Ikomela, wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wakulima wanaishi na hofu mashambani kufuatia uvamizi wa wadudu waharibifu aina ya funza weupe wanaoshambulia mizizi ya mazao chini ya ardhi…
Watu 43 wameuawa na waasi wa ADF wanaohusishwa na kundi la kigaidi la ISIS, Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemlokrasia ya Congo. Imechapishwa: 03/04/2026 – 05:20 Dakika 1 Wakati wa…
Morgan Rogers yuko tayari kuondoka Aston Villa, RB Leipzig waliweka bei ya pauni milioni 87 kwa Yan Diomande na Saudi Pro League kuongeza harakati za kumnasa Mohamed Salah.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Aliyekuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,2025 kupitia Chama Cha NCCR Mageuzi, Dkt Eveline Wilbard ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum. Dkt Eveline ambaye pia ni Katibu Mkuu…
#MzizimaDerby “…sikuwahi kuvaa jezi ya Azam dhidi ya Simba” Amri Kiemba anakumbushia jinsi ‘alivyovuliwa’ jezi dakika za jiooooooooooni akiwa Azam FC, kabla ya kuikabili Simba. Je, Aprili 5, 2026, itakuwaje???…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameiagiza Tume ya Ushindani (FCC) kuharakisha na...
Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imeanza zoezi la uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed amezindua majaribio ya ushushaji...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua msaidizi wake wa karibu, Angela Kizigha kuwa mbunge Vitu Maalum. Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu imesema kuwa uteuzi…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua balozi, Ali Jabir Mwadini kuwa msaidizi wake. Mwadini ameteuliwa kuwa Katibu wa Rais baada ya balozi Waziri Rajab aliyekuwa Katibu wa Rais kuteuliwa kuwa Katibu…
Simba imefanikiwa kusogea hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka...
DAR ES SALAAM: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano Vodacom Tanzania imeendelea kujikita katikati kukuza uchumi kupitia maendeleo ya kidijiti kwa kutumia teknolojia bunifu kuongeza ujumuishwaji kifedha kwa Watanzania. Kampuni hiyo…
Siku mbili baada ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Utaratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi kuzikwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua profesa Palamagamba Kabudi…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri...
Baadhi ya wabunge wameishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kupunguza matumizi ili...
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameiagiza Tume ya Ushindani (FCC) kuweka nguvu upya kuhusu udhibiti wa bidhaa bandia sokoni. – Pia ameitaka tume hiyo kuweka…
Onyo limetolewa baada ya kukamatwa kwa wahamiaji 70 katika ukanda wa Kusini. Walikamatwa Kilwa...
Imeelezwa kuwa tozo na kodi kwenye mafuta zikipunguzwa zitapunguza mzigo kwa mlaji wa mwisho...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amezindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 na kuwataka Watanzania kuendelea kulinda amani, kudumisha umoja na…
Mfumuko wa bei nchini unatarajiwa kubaki ndani ya wigo wa asilimia 3 hadi 5 katika robo ya pili...
Wakulima wa mpunga wanaotegemea mvua nchini wameeleza namna watafiti wa Mradi wa Mpunga...
ZAIDI ya watoto 20 wa mitaani katika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora wamebainika na kupatiwa msaada kupitia juhudi za Serikali za kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa…
Wakati mataifa mengi yakikumbwa na athari za mapigano yanayoendelea Mashariki ya Kati, Tanzania...