đŽHABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….MEI 18, 2026
đŽHABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 18, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đŽHABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 18, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Balozi wa Cuba katika Umoja wa Mataifa amesisitiza haki ya nchi yake kujilinda dhidi ya uwezekano wowote wa uvamizi wa kijeshi kutoka Marekani, kwa mujibu wa sheria za kimataifa na…
#HABARI:âŠâMimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi langu wapunguze safari za kwenda nje kutangaza, wanatumia hela za serikali hovyo,…
Mwimbaji Rachel Wandeto alifariki baada ya shambulio la petroli na kuzua ghadhabu kuhusu uaminifu wake kisiasa na picha ya Rais Ruto huku wito ukiongezeka wa haki.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imeanza kuziba mabomba...
Eid El Adhâhaa, ni sikukuu ya pili katika Uislamu inayosherehekewa kukumbuka utayari wa Nabii...
Mazungumzo hayo yalifungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa afya kati ya nchi hizo mbili, huku...
DAR ES SALAAM: STAKEHOLDERS of the insurance sector have continued providing education to students through the âBima Debateâ competition, organized as part of preparations for Insurance Day celebrations scheduled to…
Familia moja huko Embu inaomboleza Jackline Wanjiru mwenye wa miaka 27, ambaye aliaga dunia kutokana na kuungua vibaya baada ya kumwagiwa tindikali akielekea kazini.
Droni hizo ndogo, zimetumiwa sana na wapiganaji wa Kundi hilo la Hezbollah, katika operesheni zao dhidi ya Israel.
Hello Your subscription is almost coming to an end. Donât miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Baada ya kutoweka kwa takriban siku sita, Alfa Nyalusi (7), mkazi wa Mtaa wa Kibena mkoani...
Katika adhuhuri moja yenye joto la wastani jijini Tanga, Eliza (si jina lake halisi) anaonekana...
Hello Your subscription is almost coming to an end. Donât miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepanga mechi ya nusu fainali ya Kombe la...
DAR ES SALAAM: Wadau wa maendeleo ya ujuzi nchini wameeleza kuwa kuimarishwa kwa mfumo wa uanagenzi (apprenticeship) unaozingatia mwongozo wa kimataifa wa mafunzo ya uanagenzi wa Shirika la Kazi Duniani…
DAR ES SALAAM: WADAU wa sekta ya bima nchini wameendelea kutoa elimu kwa wanafunzi kupitia mashindano ya âBima Debateâ yaliyoandaliwa ikiwa ni sehemu ya kuelekea maadhimisho ya Siku ya Bima…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepanga mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, baina ya Yanga na Azam FC kuchezwa Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba, Juni…
ARUSHA: IN many communities, lasting change does not always begin with policies, large investments or government directives. More often, it starts with ordinary people who recognise a challenge around them…
Kwa sasa zaidi ya vijana 5,000 wanapatiwa mafunzo ya uanagenzi katika vyuo 46 nchini kupitia...
Mbeya. Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzindua mikutano yake...
Kiwango hicho cha fedha kinachopangwa kutumika kwa miaka mitano ijayo ni ongezeko la zaidi ya...
TELECOMMUNICATIONS company Airtel Tanzania and technology firm Huawei have reaffirmed their commitment to strengthening communication services in Tanzania through modern technologies and innovation showcased during the Huawei Mini Mobile World…
Ni wanamuziki wengi wamepata nafasi ya kutumbuiza katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA...
Kwa mujibu wa WHO, hadi Mei 16, jumla ya wagonjwa wanane waliothibitishwa maabara na wagonjwa...
Mwimbaji Rachel Wandeto alifariki dunia baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana, miezi kadhaa baada ya kusambaa kwa kujichora picha ya Rais William Ruto.
Waendesha matatu wamesema wamechukua hatua hiyo baada ya serikali kutangaza ongezeko jipya la...
Familia ya aliyekuwa gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati inaomboleza kifo cha babake, Mzee Patrick Wangamati, aliyeaga Mei 18 akipokea matibabu.
Idadi ya mauaji duniani kote ilifikia kiwango cha juu zaidi mwaka wa 2025 huku mauaji yaliyorekodiwa yakifikia angalau 2,707, ongezeko la 78% ikilinganishwa na mwaka 2024. Ongezeko hili, kubwa zaidi…
Mamlaka ya Mexico imetangaza siku ya Jumapili kwamba angalau watu kumi waliuawa katika shambulio la watu wenye silaha katika jiji la Tehuitzingo, katika jimbo la mashariki mwa kati la Puebla.…
Angalau watu 19 wameuawa nchini Lebanon katika mashambulizi ya anga ya Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita, siku ya mwisho ya usitishaji mapigano, ambayo iliongezwa kwa siku 45 wakati…
Mama wa Mombasa amegusa mioyo baada ya kumzawadia mwanawe gari katika siku yake ya kuzaliwa ya 18, na kusifu unyenyekevu wake na bidii yake akiingia katika utu uzima
Ndani ya Bongofleva kumewahi kujitokeza makundi mengi ya marapa na baadaye kupotea, mojawapo ni...
Msanii wa muziki wa dansi wa bendi ya Mlimani Park Orchestra âSikinde Ngoma ya Ukayeâ, Abdalla...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametoa wito wa kuimarisha vitengo vya kijeshi vya mstari wa mbele dhidi ya “adui wake mkuu, Korea Kusini,” shirika la habari la serikali, KCNA,…
Ijumaa wiki iliyopita, jarida la Forbes lilitoa orodha ya wanamichezo wanaoingiza kiasi kikubwa...
Michuano hii itafanyika kati ya 11 Juni hadi 19 Julai, ikiwa na muda wa rekodi wa siku 39, yaani siku 10 zaidi ya Kombe la Dunia la Qatar, na zaidi…
Mgomo wa sekta ya usafiri kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta unaanza leo, petroli ikiongezeka kwa KSh 16.65 na dizeli KSh 46.29. Shughuli zimesitishwa kote nchini
Mgomo wa sekta ya usafiri kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta unaanza leo, petroli ikiongezeka kwa KSh 16.65 na dizeli KSh 46.29. Shughuli zimesitishwa kote nchini
Kampuni ya uchukuzi ya Super Metro imetangaza kusimamisha shughuli zake Jumatatu, Mei 18. Kampuni hiyo ilitaja mgomo wa mafuta uliopangwa kufanyika nchini kote.
Beki wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amemsifu kaimu meneja wa timu hiyo, Michael...
GĂ©rald Darmanin atasafiri kwenda Algiers Jumatatu kwa ziara fupi inayolenga “kurejesha uhusiano wa kimahakama” kati ya Ufaransa na Algeria. Imechapishwa: 18/05/2026 – 07:23 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Zambia ilivunja Bunge lake Ijumaa, Mei 15, chini ya miezi mitatu kabla ya uchaguzi wa urais mnamo Agosti 13. Kuvunjwa kwa bunge hili kumezua maswali na wasiwasi miongoni mwa mashirika…
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii...
Nchini Somalia, baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), shirika lisilo la kiserikali la Mercy Corps sasa linaibua wasiwasi kuhusu hali ya njaa ambayo…
Ali Akbar Velayati, mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ameonya kuwa Marekani inaangukia âmtego wa kimkakatiâ uliotegwa na Israel, akisema kuwa Marekani itapoteza kabisa mabaki ya uaminifu wake…
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema mazungumzo ya hivi karibuni na maafisa wa soka wa Iran yalikuwa chanya na yenye kujenga, huku maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia la 2026…
Iraq imetangaza wazi kuwa kamwe haitaruhusu ardhi yake itumike kwa ajili ya kufanya mashambulizi dhidi ya nchi jirani, hasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.