Heche: Tutasema ukweli hadi mwisho licha ya vitisho
Heche amesema chama hicho hakiwezi kufumbia macho changamoto zinazowakabili wananchi, ikiwamo...
Heche amesema chama hicho hakiwezi kufumbia macho changamoto zinazowakabili wananchi, ikiwamo...
Rais William Ruto aliitisha kikao cha dharura cha Mawaziri akiwa Baku, Azerbaijan, huku maandamano makubwa ya mafuta na matatizo ya usafiri yakiikumba Kenya.
Wito umetolewa kwa Serikali kuongeza kasi ya kutatua migogoro ya ardhi ili kudumisha amani na kuimarisha imani ya wananchi kwa uongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wito huo…
Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti yake kwamba, Israel imeanzisha vituo viwili vya kijeshi vya siri ndani ya ardhi ya Iraq kwa ajili ya kusaidia operesheni…
Wanandoa wanakadiria hasara baada ya gari lao, lililowekwa vifaa vya kampeni ya UDA kuchomwa na waandamanaji Githurai kukiwa na maandamano ya bei ya mafuta Mei 18.
Iran kupitia Wizara yake ya Mambo ya nje, imesema mazungumzo na Marekani yanaendelea kupitia Pakistan ambaye ni mpatanishi kwa lengo la kupata mkataba wa kudumu, ili kumaliza vita vya Mashariki…
Wahudumu wa uchukuzi Kenya wanadumisha kusimamisha nchi nzima, wakiteta kupanda kwa bei ya mafuta na ushuru. Wameapa kuendelea na mgomo wao hadi gharama zipungue.
Pyramids FC inaweza kuvuna fedha zaidi kutoka FIFA iwapo DR Congo itafanikiwa kuingia hatua za...
Baada ya kuwa timu ya kwanza Afrika kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 zitakazofanyika Qatar baadaye mwaka huu, Serengeti Boys inapaswa kujiandaa…
Serengeti Boys imefuzu mashindano hayo baada ya kujihakikishia kutinga robo fainali ya Fainali...
Mike Sonko alisherehekea bathidei ya 25 ya mwanawe wa kuasili Gift Osinya kwa karamu kubwa Nairobi, wakishiriki zawadi za dhati na tafakari kuhusu safari yao pamoja.
WAKATI droo ya mashindano ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikipangwa kufanyika leo jijini Cairo, Misri, timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imetamba kuwa inatamani kupangwa…
Soma zaidi hapa...
Mbunge wa zamani wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, ametangazwa kuwa Naibu Waziri Mkuu katika...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), imesema wataalamu wake watafanya utafiti...
DAR ES SALAAM: Tanzania’s Minister for Information, Communication and Information Technology, Angela Kairuki, has overseen the signing of a financing partnership worth more than 40bn/ between National Bank of Commerce…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umemrejesha kikosini kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya, Yusuf Chippo baada ya kumweka pembeni tangu Mei 6, 2026, kutokana na mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewarejesha wagombea udiwani watano kutoka kata ya...
BAADA ya jana kupigwa mechi moja ya Ligi ya Wanawake Tanzania (TWPL) kati ya mabingwa watetezi, JKT Queens dhidi ya Tausi FC, leo ligi hiyo itaendelea zikipigwa mechi tano za…
Chipukizi United baada ya kuvuna alama tatu ugenini, sasa inarejea nyumbani kisiwani Pemba kujiandaa ya michezo minne ya kukamilisha msimu wa 2025-2026 ndani ya Ligi Kuu Zanzibar.
Wasomi, watafiti na wabunifu nchini Tanzania wametakiwa kuhakikisha kazi zao za kitaaluma...
Rais Ruto anapigia debe Mpango wa Makazi ya bei nafuu Kenya katika Kongamano la Dunia la Miji huku maandamano ya kitaifa yakizuka kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta
Vita vya maneno kati ya Jay-Z na Nas vimeendelea kutajwa kama moja ya migogoro mikubwa zaidi...
Serikali imesema haitawavumilia wanaotumia mitandao ya kijamii na majukwaa mbalimbali ya...
Video ya aliyekuwa Gavana wa Kitui Charity Ngilu akipapa ndevu za kijana mmoja katika hafla ya umma imeibuka tena kwenye mitandao na kuwaacha Wakenya wakiburudika.
#HABARI: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa kukabiliana na changamoto ya upotevu wa maji katika mikoa ya…
Upelelezi kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara na mkazi wa Madale, Gilbert...
Wakati Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ikiomba kuidhinishiwa Sh181.8 bilioni...
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kwamba tawala za Marekani na Israel zinaendeleza miradi ya kuzusha migawanyiko na kueneza hali ya kutoaminiana ili kuyagonganisha mataifa ya Kiislamu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa Ufaransa, Qatar, Uturuki, na Korea Kusini, siku ya Jumapili, ili…
🔴MEZA HURU- LESENI YA UDEREVA -.MEI 16 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayolenga kudhibiti ushawishi wa kigeni nchini humo.
Mlupuko wa Ebola nchini DR Congo umetangazwa kuwa dharura ya kiafya, huku karibu visa 250 vikiripotiwa.
Maandamano dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta yamezuka katika miji kadhaa nchini Kenya siku ya Jumatatu huku athari mbaya za vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran zikiendelea…
Maandamano dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta yamezuka katika miji kadhaa nchini Kenya siku ya Jumatatu huku athari mbaya za vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran zikiendelea…
Raia wa Kenya, hivi leo wamepata wakati mgumu kufika kwenye maeneo yao ya kazi kufuatia mgomo uliotangazwa na wamiliki wa magari ya abiria na bodaboda ulioanza hivi leo kushinikiza serikali…
Teknolojia za kisasa zina nafasi kubwa lakini udhibiti ni muhimu ili ziendane na maadili Ushahidi unatisha—imani imetoweka na ukosefu wa usawa ni dhahiri Utashi wa kisiasa kuimarisha huduma za afya…
Kundi la watoto na vijana kutoka nchi mbalimbali duniani limezindua viwango maalum vya kuhakikisha ushiriki wao wenye mantiki katika mikutano na matukio ya kimataifa yanayohusu maisha yao, chini ya kauli…
Tumeamua kufanya mpango wa makazi kuwa nguzo kuu ya mpango wetu wa maendeleo, amesema Rais wa Kenya William Ruto hii leo akihutubia Jukwaa la 13 la Makazi Mijini, (WUF13) huko…
Changamoto za afya duniani hazijawahi kuwa kubwa kiasi hiki ameeleza Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kupitia ujumbe alioutuma kwa njia ya video kwa washiriki wa Mkutano wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 18, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Balozi wa Cuba katika Umoja wa Mataifa amesisitiza haki ya nchi yake kujilinda dhidi ya uwezekano wowote wa uvamizi wa kijeshi kutoka Marekani, kwa mujibu wa sheria za kimataifa na…
#HABARI:…“Mimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi langu wapunguze safari za kwenda nje kutangaza, wanatumia hela za serikali hovyo,…
Mwimbaji Rachel Wandeto alifariki baada ya shambulio la petroli na kuzua ghadhabu kuhusu uaminifu wake kisiasa na picha ya Rais Ruto huku wito ukiongezeka wa haki.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imeanza kuziba mabomba...
Eid El Adh’haa, ni sikukuu ya pili katika Uislamu inayosherehekewa kukumbuka utayari wa Nabii...