Azam TV yaweka rekodi, kuonyesha mechi zote 104 Kombe la Dunia
Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha mbashara mechi zote 104 za Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico.
Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha mbashara mechi zote 104 za Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico.
ZANZIBAR: THE Golden Tulip Airport Hotel in Zanzibar this week became a hub for regional customs and trade dialogue as delegates gathered for the World Customs Organization (WCO) Eastern and…
Kipindi chetu cha "maisha yenye afya" - yaani, idadi ya miaka ambayo watu hutumia kufurahia afya njema - inapungua katika sehemu nyingi za dunia.
KAGERA: Wadau wa kahawa mkoani Kagera kupitia kikao cha wadau wa zao hilo wamepongeza mabadiliko ya kimfumo ya ununuzi kwa njia ya mnada na kudai kuwa mfumo huo umeongeza uwazi…
Baba yake Kimani Mbugua, Dedan, anaomba msaada akiwa gerezani, akidai hana hatia katika mashtaka ya ulaghai miezi kadhaa baada ya kifo cha kusikitisha cha mwanawe.
DODOMA: THE government plans to supply electricity to 308 small-scale mining sites across the country by June 2027 under an ongoing initiative aimed at improving productivity and reducing operational costs…
DODOMA: TANZANIA is facing a major youth skills gap, with only 3.6 per cent of young people possessing high-level skills against the national target of 12 per cent, august House…
Leo ni Jumamosi tarehe 28 Dhulqaada 1447 Hijria sawa na tarehe 16 Mei 2026.
Liverpool wana imani na mshambuliaji Alexander Isak, 26, na wanamtafuta winga wa Ivory Coast, 19, Yan Diomande na mshambuliaji wa Norway Antonio Nusa, 21,
DODOMA: THE government has unveiled an Artificial Intelligence (AI) powered tourism platform capable of serving visitors in more than 56 international languages, in a major digital transformation expected to reshape…
Kwa kawaida, majengo huinama kutokana na msingi wake kuzama au kusogea upande mmoja, mara nyingi kwa sababu ya udongo laini, maji chini ya ardhi, au makosa ya ujenzi.
ARUSHA: TANZANIA has unveiled a range of strategic investment sectors for Russian investors, identifying them as key areas capable of driving stronger economic cooperation between the two countries. The sectors…
DODOMA: TANZANIA earned 4.4 billion US dollars (about 11.88tri/-) from tourism in 2025 as visitor numbers surged to nearly six million, reinforcing the sector’s position as the country’s second-largest foreign…
ARUSHA: DESPITE strong growth in the country’s banking industry in recent years, nearly 78 per cent of the population still remains outside the formal banking system. This prompting government calls…
Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani imesema kuwa duru ya nne ya mazungumzo kati ya Lebanon na Israel itafanyika tarehe 2 na 3 mwezi wa Juni
Staa wa Bongofleva, Chege ni kati ya wanamuziki wanaounda kundi maarufu nchini la TMK Wanaume...
Kaaba, iliyoko katikati ya Msikiti Mkuu katika mji wa Makka, ni sehemu takatifu zaidi kwa Waislamu na ndiyo eneo ambalo Waislamu huelekea wanaposwali.
Magazeti ya Kenya mnamo Mei 16 yanajadili hasira ya umma kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, ubabe wa kisiasa baada ya chaguzi ndogo, na habari nyinginezo.
Mwigizaji wa Marekani, Taraji P. Henson (55), ameeleza jinsi bibi yake mwenye umri wa miaka...
Mbunge wa EALA Winnie Odinga amemkosoa Waziri John Mbadi kwa kuiingiza Hazina ya Kitaifa katika siasa kutokana na kupanda kwa deni, bei ya mafuta, na uhaba wa ajira.
Ufichuzi wa Ruth Odinga ulikuja wiki moja tu baada ya Onyonka kufichua kwamba alikuwa na watoto 12 na wake kadhaa, akiwemo kamishna wa zamani wa IEBC Roselyn Akombe.
Mbunge wa Mugirango Kusini Sylvanus Osoro alizomewa Ijumaa na waombolezaji baada ya kutangaza kuwa ameleta mchango wa Rais Ruto kwa Seneta Richard Onyonka.
‘Mayday Rachel’ ni jina la wimbo wa mwanamuziki Gradine Dulo ‘Gradine Toto’ ambaye ameuteka...
Kamishna wa Zamani wa IEBC Roselyn Onyonka amemwomboleza mama wa Seneta Richard Onyonka, wiki moja baada ya seneta huyo kufichua kwamba yeye ni mmoja wa wake zake.
Wakati tamaduni nyingi za Kiafrika zikiendelea kufunikwa na usasa, jamii ya Wahehe wa Mkoa wa Iringa bado inaendelea kushikilia vazi lao la asili kama alama ya historia, heshima na utambulisho…
Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza kuisaidia kikamilifu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC baada ya kuthibitishwa kwa mlipuko mpya wa ugonjwa hatari wa Ebola katika jimbo la Ituri, kaskazini…
Mwanazuoni mkuu wa Bahrain, Ayatullah Sheikh Isa Qassim amemsifu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Imam Ali Khamenei, kama "mtu aliyerudisha Umma kwenye Uislamu halisi."
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa BRICS kwamba: Ubadilishanaji wa teknolojia na rasilimali…
Mashirika ya Kiislamu nchini Marekani yametangaza kwamba vikao vya Kongresi, ambavyo wabunge wa Republican wametangaza kuwa lengo lake ni kuondoa Sharia nchini Marekani, vimekuwa silaha dhidi ya Waislamu waliowachache kwa…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba uvamizi wa walowezi wa Kizayuni na kufanya "maandamano ya bendera" huko Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al-Aqsa ni majaribio yaliyoshindwa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema usimamizi na uhifadhi wa...
Siku ya Familia Duniani, huadhimishwa Mei 15 kila mwaka. Familia ndiyo taasisi ya msingi katika ujenzi wa taifa, uchumi na maendeleo ya nchi yoyote duniani. Akizungumza kupitia Mtandao wake wa…
CHE MALONE FONDOH | Alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita... akalikosa….!! Che Malone Fondoh anacheza tena fainali ya kombe hilo msimu…
AZAM FC: “…malengo yetu ni kufika fainali”. Azam FC imewasili Kigoma kuwavaa Mashujaa FC, robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank. Mara baada ya kuwasili, kocha wa timu hiyo,…
KAIMU Kocha wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' amesema walijidhatiti tangu msimu uliopita na walifanya tathmini wapi wamekosa na wakarekebisha kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Bara.
TRA UNITED: “…tunatumia usafiri wa anga”. Kikosi cha TRA United, kimefanya mazoezi leo jijini Arusha kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili Mei 17, kwenye Dimba la KMC Complex,…
MFUNGAJI wa mabao mawili kwenye mechi ya dabi ya wanawake, Jentrix Shikangwa wa Simba Queens amesema walijua Yanga ina udhaifu eneo la mabeki na huchanganyikiwa dakika 15 za mwanzo wakipelekewa…
SIMBA SC: “….tuna kazi mbili ambazo ni ngumu kuzifanya kwa wakati mmoja". Baada ya kuichapa Mashujaa FC, Simba SC imesema ili waweze kuliondoa ‘gap’ la alama mbili walizoachwa na Yanga,…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni imefanikiwa kudhibiti upotevu wa mapato ya serikali zaidi ya Shilingi Milioni 500 katika kipindi cha Januari hadi Machi mwaka…
Lengo la kuanzishwa kwa bandari kavu ni kuongeza ufanisi wa bandari kuu kupitia maboresho ya miundombinu wezeshi pamoja na uratibu mzuri wa michakato ya utoaji na upokeaji wa mizigo. Hata…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia katika ushirikiano wa kimkakati wa kifedha wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 40 na taasisi ya British International Investment (BII) kwa lengo…
Onyo hilo limetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutokana na uwepo wa utapeli unaofanyika...
Wakazi wa Mtaa wa Mfaume, Kata ya Upanga jijini Dar es Salaam wamelalamikia hali ya kuvuja kwa majitaka kutoka kwenye mifumo ya vyoo, hali iliyosababisha maji machafu kusambaa barabarani na…
Kauli ya gharama za kumuona daktari kwa wagonjwa, imewaibua madaktari na kueleza kinachoendelea...
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi David Kafulila amesema changamoto ya uzazi wa mpango ndiyo kikwazo kikubwa cha kiuchumi…
Tanzania imeendelea kuimarisha hadhi yake duniani baada ya mapato ya utalii kufikia dola bilioni 4.4 mwaka 2025 na kushinda tuzo mbalimbali za kimataifa, huku Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.…
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam,…
DAR ES SALAAM: OVER 90 Tanzanian companies have begun registering for carbon trading, as the country experiences a rapid expansion of the green economy sector that has already delivered multi-billion-shilling…