Tawiri yafunga GPS tembo viongozi kuzuia uvamizi wa vijiji
Wananchi katika maeneo yenye migongano na tembo wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kama mabomu...
Wananchi katika maeneo yenye migongano na tembo wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kama mabomu...
Soma zaidi hapa....
#HABARI: Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya iasa Nchini Tanzania imesema kuwa imekuwa ikifanya kazi kwa kufuata sheria na haitanii katika maamuzi yake na kwamba hakuna chama cha kisiasa ambacho…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza misimamo ya kimaadili ya Papa Leo XIV kuhusu uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza katika taarifa iliyotolewa kwa mnasaba wa tukio la "Siku ya Nakbat" kwamba uhalifu unaofanywa na Utawala wa Kizayuni…
ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumamosi Mei 16, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Serikali ya Shirikisho la Urusi ulioongozwa na Waziri…
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema licha ya Serikali kujenga miundombinu mikubwa ya...
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa mjini New York amesema kuwa walioanzisha vita dhidi ya Iran na washirika wao katika kanda hii wanabeba dhima kamili…
SHINYANGA: WAKAZI wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Almas uliopo Mwadui Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameshukuru kuja kwa wataalamu wa msaada wa kisheria wa awamu ya pili ya…
Vyanzo rasmi vya Misri vimefichua kwamba miili 12 iliyopatikana kwenye boti ya mpira siku ya Alkhamisi nje ya pwani ya kijiji cha Abu Ghleila katika mji wa Sidi Barrani ni…
Chuck Schumer, Kiongozi wa Wachache katika Seneti ya Marekani, amesema kwamba safari ya Rais Donald Trump nchini China haikuwa na mafanikio yoyote kwa watu wa Marekani na ilikuwa fedheha kamili.
#HABARI: Wadau wa masuala ya teknolojia nchini wameiomba Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kuyapa kipaumbele matamasha ya teknolojia kuliko matamasha mengine, wakieleza kuwa hatua hiyo itasaidia kuibua bunifu zitakazotoa…
TANGA: AMANI Mrope is right: capital has memory. But memory cuts both ways. Capital is egotistic. It also remembers turnaround. The debate over whether Aliko Dangote should anchor his next…
MARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuvuja makundi, kwani chama hicho hakihitaji makundi bali umoja, upendo na mahikamano na hakitovumilia kuchukua hatua kwa yeyote atakayekiuka misingi na taratibu…
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI, UNAIDS, amesema kupunguzwa kwa ghafla kwa ufadhili kunahatarisha juhudi za kinga na matibabu ya VVU na kunaweza kuvuruga…
Gharama kubwa za makazi, majanga ya tabianchi na migogoro vinaendelea kuwaacha mamilioni ya watu duniani bila makazi salama na ya kutosha lakini suluhu ni zipi?.
Imebainika zina kemikali zinazoingia kwenye chakula Baadhi ya chembechembe ndogo za plastika zimekutwa kwenye mfumo wa damu wa binadamu Hata vifungashio vitokanavyo na mazao navyo ni hatari Wataalam wataka viwango…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amekaribisha tangazo la kuongezwa kwa muda wa usitishaji mapigano kati ya Lebanon na Israel kwa siku 45 zaidi, kufuatia mazungumzo yaliyowezeshwa na…
MARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kutokuruhusu siasa kuingia katika maendeleo akiwasisitiza walinde miundombinu inayopelekwa na serikali. Kihongosi…
CHINA: CHINA has achieved something remarkable and deserves recognition from any rational and constructive observer of international relations, trade and investment. Those who witnessed the US president’s state visit to…
DAR ES SALAAM: TANZANIA generates more than 14 million tonnes of waste annually, with environmental experts describing the growing volumes as a valuable economic resource capable of creating jobs, generating…
DAR ES SALAAM: EXPERTS have urged medical students and pediatricians to specialise in Pediatric Rheumatology to help address the acute shortage of specialists in Tanzania and across Africa. Despite the…
ZANZIBAR: CUSTOMS authorities have been urged to strengthen their role in protecting national economies while facilitating legitimate trade amid rapid changes in global commerce driven by technology and AI. This…
Dodoma. Waziri MKuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inapanga kufanya maboresho katika...
DODOMA: THE volume of Tanzanian honey exports has increased by 67.85 per cent over the past year, reflecting continued growth in the beekeeping sector and rising competitiveness of the product…
Picha katika Ikulu ya Tanzania zimemuonesha Bilionea wa Afrika Aliko Dangote akikutana na rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hii leo Jumamosi.
Kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua amelinganisha utawala wa Rais Ruto na enzi ya Moi baada ya kupanda kwa bei za mafuta hivi karibuni, akinukuu makalaya 1997.
Moshi. Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imesaini mkataba na Kampuni ya Sibstone Limited wa...
Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha...
Mama wa mtoto mmoja sasa ni mama ya watoto watano hii ni baada ya kujifungua mapacha wanne. Rachel alifunguka kuhusu safari yake ya kihisia na yenye changamoto tele.
Kufichuliwa kwa safari ya Netanyahu huko UAE wakati wa vita vya kichokozi vya Marekani na utawala haramu wa Israel dhidi ya Iran kumewafanya watawala wa UAE wawakasirikie sana wenzao wa…
Kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Islamic State ameuawa katika oparesheni ya pamoja na jeshi la Marekani na Nigeria Magharibi ya taifa hilo la Afrika Magharibi.…
Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani imenunua Gereda mpya yenye thamani ya Sh1.2...
#HABARI: Zaidi ya shilingi milioni 167.7 fedha za Serikali zilizotumika kinyume na matumizi mkoani Singida zimerejeshwa serikalini baada ya ufuatiliaji wa fedha hizo ambazo ni za utekelezaji miradi mbalimbali ya…
Mama Ida Odinga amjibu Waziri wa Hazina John Mbadi kuhusu urithi wa Raila Odinga, akisisitiza kwamba viongozi wakuu bado 'hawa hai' katika kumbukumbu zetu.
Kiba aliupa kisogo muziki wake. Kabla hajainuka upya na kukaza mpaka leo. Kabla hajajulikana...
Naibu Rais Kithure Kindiki ameitetea serikali ya Kenya Kwanza dhidi ya mgogoro wa mafuta duniani, akisisitiza kupunguzwa kwa VAT na kuhimiza uvumilivu.
Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha mbashara mechi zote 104 za Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico.
ZANZIBAR: THE Golden Tulip Airport Hotel in Zanzibar this week became a hub for regional customs and trade dialogue as delegates gathered for the World Customs Organization (WCO) Eastern and…
Kipindi chetu cha "maisha yenye afya" - yaani, idadi ya miaka ambayo watu hutumia kufurahia afya njema - inapungua katika sehemu nyingi za dunia.
KAGERA: Wadau wa kahawa mkoani Kagera kupitia kikao cha wadau wa zao hilo wamepongeza mabadiliko ya kimfumo ya ununuzi kwa njia ya mnada na kudai kuwa mfumo huo umeongeza uwazi…
Baba yake Kimani Mbugua, Dedan, anaomba msaada akiwa gerezani, akidai hana hatia katika mashtaka ya ulaghai miezi kadhaa baada ya kifo cha kusikitisha cha mwanawe.
DODOMA: THE government plans to supply electricity to 308 small-scale mining sites across the country by June 2027 under an ongoing initiative aimed at improving productivity and reducing operational costs…
DODOMA: TANZANIA is facing a major youth skills gap, with only 3.6 per cent of young people possessing high-level skills against the national target of 12 per cent, august House…
Leo ni Jumamosi tarehe 28 Dhulqaada 1447 Hijria sawa na tarehe 16 Mei 2026.
Liverpool wana imani na mshambuliaji Alexander Isak, 26, na wanamtafuta winga wa Ivory Coast, 19, Yan Diomande na mshambuliaji wa Norway Antonio Nusa, 21,
DODOMA: THE government has unveiled an Artificial Intelligence (AI) powered tourism platform capable of serving visitors in more than 56 international languages, in a major digital transformation expected to reshape…