Rais Pezeshkian: Hatuogopi vita, lakini vita havina maslahi na mtu yeyote
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Hatuogopi vita, lakini vita havina maslahi na mtu yeyote.
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Hatuogopi vita, lakini vita havina maslahi na mtu yeyote.
Wapatanishi Pakistan na Qatar wanasema Marekani na Iran zimefanya “maendeleo ya kutia moyo” katika siku ya kwanza ya mazungumzo ya ngazi ya juu nchini Uswisi. Imechapishwa: 22/06/2026 – 06:43 Dakika…
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa, uamuzi wa kusitisha mapigano nchini Lebanon umetolewa baada ya Marekani kutoa mashinikizo makali dhidi ya Tel Aviv na kwamba, maafisa wa kisiasa wa…
Timu ya taifa ya karate ya wanawake ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa bara la Asia katika mchezo huo.
Muungano maaskofu wa kanisa Katoliki (CENCO) umepinga mapendekezo ya kuifanyia marekebisho katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Muungano maaskofu wa kanisa Katoliki (CENCO) umepinga mapendekezo ya kuifanyia marekebisho katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Watu 11 wamewauwa kwenye mashambulio mawili ya wanajihadi kaskazini mwa Nigeria, mwishoni mwa wiki iliopita. Imechapishwa: 22/06/2026 – 06:29 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Kwa…
Tume ya Uchaguzi ya Ethiopia imetangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika wiki tatu mapema Jumapili, Juni 21. Chama cha Prosperity Party (PP) cha Waziri Mkuu anayemaliza muda wake…
Kwa hatua hii, iliyotangazwa wakati wa ziara yake katika mkoa huo ambao ni kitovu cha mlipuko wa virusi vya Ebola, Waziri wa Afya wa Kongo Roger Kamba anakusudia kuhakikisha kwamba…
Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kutia saini kuwa sheria Mswada wenye utata wa Fedha wa mwaka 2026 siku ya Jumanne, hatua itakayofungua njia ya utekelezaji wa sheria itakayowezesha ufadhili…
🔴KUMEKUCHA:MABORESHO YA HUDUMA KWA WAWEKEZAJI - JUNI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mazungumzo ya Marekani na Iran kuhusu kufikia makubaliano ya mwisho ya kusitisha vita yanatarajiwa kuendelea hadi usiku wa manane nchini Uswisi, afisa mwandamizi wa diplomasia wa Marekani anayehusika katika mazungumzo…
🔴MAGAZETI: NI WIKI YA HUKUMU BAJETI KUU / BARKER: KUNA MOJA HAPA - JUNI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#KombeLaDunia2026: Namna ambavyo Peter Otai alivyowaaga wachambuzi wake, anawakumbusha tu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ni Simba SC vs Azam FC Burudani zote zilikuwa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili,…
Vifaa hivyo vilikabidhiwa Jumamosi, Juni 20, 2026, ikiwa ni sehemu ya mpango wa Uwajibikaji kwa...
Marcus Rashford bado anaweza kujiunga na Barcelona, ​​Paris St-Germain wajiunga katika mbio za kuwania Crysencio Summerville na Manchester United hawana nia ya kumuuza Benjamin Sesko.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, JUNI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
SAFARI ya kutafuta bingwa wa CECAFA U-17 kwa Wanawake 2026 imeendelea leo jioni baada ya wenyeji Tanzania 'Serengeti Girls' na mabingwa watetezi Uganda kufuzu fainali ya michuano hiyo kufuatia ushindi…
WIKIENDI iliyopita zilienea taarifa kuhusu uhamisho wa kiungo mshambuliaji Enekia Lunyamila ambaye alitimkia Querétaro FC Femenil ya Mexico akitokea FC Juarez ya nchini humo pia.
WAKATI dirisha la usajili la majira ya kiangazi likizidi kushika kasi barani Ulaya, jina la kiungo Mtanzania Lisa Baum limekuwa miongoni mwa yanayozungumzwa zaidi katika soka la wanawake kutokana na…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upande wa Zanzibar, Said Mzee Said ameliomba Jeshi la Polisi kuwaachia huru wafuasi wa chama hicho wanaoshikiliwa kwa tuhuma za…
Programu hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa katika shule saba za msingi, inawahusisha wanafunzi...
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ambaye yupo katika ziara ya kikazi nchini, ametembelea kituo cha urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika kilichotumika kuwahifadhi na…
#VIDEO: Azam FC imefuzu hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuifunga Yanga SC mabao 3-2 katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa CCM…
#HABARI: Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Ndugu Faris Buruhani, amewataka vijana mkoani humo kuendelea kulinda amani na utulivu wa nchi. Amesisitiza kuwa wakati serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema ushindi walioupata dhidi ya Yanga kwenye nusu fainali ya Kombe la CRDB haujafunga hesabu dhidi ya wapinzani wao hao, kwani bado wanakutana…
#HABARI: Kanisa la Anglikana Tanzania limemtunuku Waziri Mkuu Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba, cheo cha Lay Canon kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuhamasisha na kufanikisha uchangishaji wa fedha kwa ajili…
Abaluhya ni jamii inayotoka upande wa magharibi wa Kenya na wanajulikana sana kwa kupenda kuku, anayejulikana kama ingokho, pamoja na mchezo wa mapigano ya ng'ombe.
GEITA: Geita Gold FC officially received the 2025/26 NBC Championship trophy on Friday after completing a successful campaign that ended with promotion back to the NBC Premier League. The Geita-based…
MWANZA; Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2026/27 ni kati ya Simba na Azam FC, baada ya Azam FC kuifunga Yanga mabao 3-2 katika mchezo wa nusu fainali uliomalizika…
IRINGA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanasiasa wanaohamia kwenye chama hicho kutoka upinzani kutolalamika wanapokosa vyeo. Kimesisitiza kuwa nafasi za uongozi ndani ya chama hupatikana kwa kuzingatia taratibu, kanuni na…
NDIO kama ulivyosikia hivyo matajiri wa Chamazi, Azam FC wametibua uwezekano wa kuwepo kwa dabi ya tano ya Kariakoo msimu huu baada ya kuifunga Yanga mabao 3-2, katika mechi ya…
IRINGA: Katika mazingira ambamo Tanzania inaendelea kukabiliwa na pengo kubwa kati ya mahitaji na uzalishaji wa mafuta ya kula, hususan mafuta ya alizeti, Ruaha Milling Company Limited imeanzisha mkakati wa…
Licha ya kucheza pungufu kwa dakika 52, Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2...
Wakati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiendelea kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola...
Kiungo gwiji na nguli wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes, amemlipua hadharani...
IRINGA: A cloud of uncertainty hanging over the future of Dabaga Agricultural and Livestock College is beginning to lift after the Agricultural Seed Agency (ASA) initiated steps to formalize a…
Tanzania na Namibia zimeingia mkataba wa ushirikiano wa miaka mitano wa kuendeleza ufugaji...
DAR ES SALAAM: TANZANIA is set for a major leap in specialist medicine as the Muhimbili Orthopaedic and Neurological Institute (MOI) moves to roll out robotic surgery and advanced procedures…
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amewataka wawekezaji wote katika sekta ya madini nchini...
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S medical practitioners have issued a bold call for a fundamental redesign of the country’s health system by 2050, demanding a shift that would decentralise specialist care,…