#MZOZOMAREKANINAIRAN
#MZOZOMAREKANINAIRAN Marekani imetuma ujumbe kwa Iran kupitia mjumbe maalum, na ujumbe huo uliwasilishwa kwa Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la Marekani, CBS News, likinukuu afisa mwandamizi wa Wizara…
#MZOZOMAREKANINAIRAN Marekani imetuma ujumbe kwa Iran kupitia mjumbe maalum, na ujumbe huo uliwasilishwa kwa Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la Marekani, CBS News, likinukuu afisa mwandamizi wa Wizara…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU: TABIA MAMA. Tunaangalia juu ya tabia ambazo watoto wanarithi kutoka kwa wazazi wao. Hii ina uzuri na ubaya gani? Je tabia hizi inakuaje watoto wanazaliwa nazo? Nini sababu? Je…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..MACHI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Ndege ya kijeshi aina ya C-130 Hercules mali ya Jeshi la Anga la Colombia imeanguka siku Jumatatu katika eneo la Puerto Leguízamo, mkoa wa Putumayo, ikiwa na watu 128…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 24 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa ikolojia umebaini kuongezeka kwa kiwango cha theluji katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni moja ya mafanikio yaliyofikiwa baada ya kampeni za uoteshaji miti maeneo mbalimbali nchini.…
Ubunifu, ujasiri na upambanaji umevishuhudia vipaji sita vya wasomi waliohitimu elimu ya juu nchini kujikita katika biashara ya uhunzi wa majiko ya udongo mkoani Iringa. Hebu itazame taarifa hii. Mhariri…
Wananchi wa vijiji vya Rungwa na Mitundu vya mkoani Singida wameiomba serikali kurekebisha barabara kuu inayounganisha mkoa huo na wilaya ya Chunya mkoani Mbeya ili kurahisisha mawasiliano na shughuli za…
katika Kijiji Cha Mahiga Kata ya Mwang'halanga Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ambapo mgogoro baina ya viongozi wa sungusungu ulisababisha mgawanyika Mkubwa Kwa viongozi wa jeshi Hilo la jadi na…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imewaonya wafanyabiashara wanaokwepa koda na kuikosesha nchi mapato. Akizungumza Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kikodi kwa wafanyabiashara wa China wanaoendesha shughuli zao…
Uongozi wa Young Africans Sports Club umefikia uamuzi wa kumuongeza kwenye benchi la Ufundi, Kocha Abdihamid Moalin kama Kocha Msaidizi wa Kocha Pedro Goncalves. Kocha Moalin amewahi kuhudumu katika Klabu…
Serikali imezitaka mamlaka za uagizaji na upatikanaji wa mafuta nchini za EWURA, TPDC na PBPA kuunda timu maalumu kwa ajli ya kufuatilia mwenendo wa meli zilizopakia na kusafirisha mafuta kuja…
Athari zitokanazo na hali mbaya ya hewa zimetajwa kusababisha hasara ya zaidi ya Dola Trilioni 4.3 katika kipindi cha miaka 50 kati ya mwaka 1970 na 2021. Mbali na hasara…
#IRAN Katika saa moja iliyopita, vyombo kadhaa vya habari vimeripoti kuwa mjumbe maalum wa Donald Trump, Steve Witkoff, pamoja na Jared Kushner, wamekuwa wakifanya mazungumzo na Spika wa Bunge la…
#girlscode #makeitpostive #talkshow (Feed generated with FetchRSS)
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..MACHI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameshutumu Iran kwa kupanga njama za kuvuruga njia kuu za biashara duniani kwa kushambulia meli zinazopita katika Mlango-bahari wa Hormuz, ambao ni muhimu…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 23 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU: Tunaangalia juu ya Radi ambazo zinaendelea kuleta madhara maeneo mbalimbali hapa nchini. Je radi ni nini? Radi zinasababishwa na nini? Kuna aina ngapi za radi? Zipi ni salama na…
#SISITUMEANZA #AFCON2027 (Feed generated with FetchRSS)
Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imezindua utafiti wa sensa ya pili ya rasilimali za uvuvi katika Ziwa Tanganyika, utakaodumu kwa siku 21 katika nchi nne za Tanzania, DRC,…
Serikali imesema inaendelea na mazungumzo na mataifa yanayozalisha mafuta ili kupunguza athari za uwezekano wa upungufu wa nishati nchini, kufuatia kuendelea kwa mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati. Akizungumza…
Jaji mstaafu Julie Manning anatarajiwa kuzikwa Machi 24, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, baada ya ibada ya kuaga mwili itakayofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Peter, Oysterbay.…
Moshi, Kilimanjaro Machi 22, 2026, Wanariadha wa Kitanzania wameendelea kung’ara katika ardhi ya nyumbani, kupitia mbio za kilomita 21 maarufu ‘Yas Kili International Half Marathon 2026’. Mbizo hizi zinazofanyika kila…
🔴KUMEKUCHA..UDEREVA WA KUJIHAMI .MACHI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴KUMEKUCHA: ...MACHI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Baadhi ya wafugaji Wilayani Babati mkoani Manyara kuvuna maji ya mvua yawasaidie nyakati za kiangazi kwa ajili ya kunyweshea mifugo. Je, na wafugaji wengine waige utaratibu huu? (Feed generated with…
LEO katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal The Gunners dhidi ya ,Manchester City, The Citizens. Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020…
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Katika sherehe ya Eid al-Fitr, mavazi huwa sehemu muhimu ya kuonesha furaha na heshima ya siku hii tukufu. Miongoni mwa mavazi yanayoonekana zaidi kwa wanaume ni kanzu, vazi refu lenye…
Mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Hamadi Aidani, mwenye umri wa miaka 50, ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Mwamkulu wilayani Mpanda, mkoani Katavi amekutwa amefariki dunia, ambapo taarifa…
Waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Negamsi wilayani Babati, mkoani Manyara wamejitokeza kushiriki uchangiaji wa damu salama kwa lengo la kuokoa maisha ya wenye uhitaji. Zoezi hilo linawalenga wagonjwa,…
AzamTV inawatakia Waislamu na Watanzania Eid Mubarak. #AzamTVBurudaniKwaWote (Feed generated with FetchRSS)
Uongozi na wafanyakazi wa ITV, unawatakia Waislamu wote Eid njema.
Serikali imeongeza juhudi katika mapambano dhidi ya dawa bandia ili kuhakikisha afya za wananchi zinalindwa. Akizungumza katika kikao kazi baina ya Mamlaka ya Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi (TMDA), Mkuu…
#KIPIMAJOTO: “Mtu pekee anayewezwa kwenye hii vita ni Iran, Marekani mpaka aamue kwa sababu huko wanapoenda kulaa yeye ndio mkubwa…..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 20, 2026
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Hussein Rashidi mwenye umri wa miaka 23, amepatikana akiwa amefariki dunia katika chumba alichokuwa akiishi, baada ya kutokuonekana…
#KIPIMAJOTO: “Kwa sababu hatuna njia nyingine lakini kwa haya mafuta tulionayo yalipita kabla ya haya machafuko kuwa kiasi hiki tunajiuliza stock ingine inayo kuja yatapitaje…..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
#KIPIMAJOTO: “Hatua hizi za awali na za kidplomasia tunaona zimechukuliwa kwa sababu kwanza viongozi wetu wakuu wameonesha utashi wao wa kutamani vita isiendelee…..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ziara ya kijamii katika vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jijini Dar es Salaam na kutoa misaada mbalimbali kwa ajili ya kuleta…
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), Kanda ya Mashariki imebaini dosari mbalimbali kwenye maabara binafsi ambazo zinakiuka sheria. Imeelezwa kuwa wamiliki wa maabara hizo wamekuwa wakifanya tohara bila…
"Kubwa ni usalama wa raia na mali zao, hilo ndio kubwa, kwa sababu kama hakuna usalama kila kitu kitakuwa hakiendi na watu watakimbia watasema Kilimanjaro tukienda tunafanyiwa vurugu...lakini sasa hivi…
🔴 KIPIMAJOTO:TANZANIA IJIPANGE VIPI KUKABILIANA NA ATHARI ZA VITA VYA MASHARIKI YA KATI?
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, ambayo huadhimishwa kila mwaka na kutoa tathmini ya kina kuhusu hali ya maisha ya watu katika nchi zao pamoja na mambo yanayochochea au…
Iran imethibitisha kifo cha msemaji wake wa jeshi aliyeuawa katika mashambulizi ya anga yaliyohusisha Israel dhidi ya viongozi wa ngazi ya juu wa usalama wa taifa hilo. Kifo hicho kimejiri…
#HABARI: Serikali ya Tanzania imetangaza fursa kubwa za uwekezaji katika sekta ya nishati zenye thamani ya dola za Marekani bilioni 12.9 ili kukuza uchumi na kuboresha huduma za nishati nchini.…
#KIPIMAJOTO: TANZANIA IJIPANGE VIPI KUKABILIANA NA ATHARI ZA VITA VYA MASHARIKI YA KATI?