Watu 12 wameuawa kwa kupigwa risasi Johannesburg
Polisi nchini Afrika Kusini wanawatafuta watu waliowapiga risasi na kuwauwa watu 12 jijini Johannesburg siku ya Jumanne. Imechapishwa: 11/06/2026 – 05:59Imehaririwa: 11/06/2026 – 06:05 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…