Afrika Kusini: Sauti zapaazwa dhidi ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya wageni
Nchini Afrika Kusini, hofu inaongezeka miongoni mwa watu kutoka nchi zingine barani humo, kutokana na mvutano wa chuki dhidi ya wageni. Mashirika ya uhamiaji haramu yanalenga tarehe 30 Juni kudai…