#CRDBBankFederationCup: Chama ametoka na Selemani Mwalimu tayari ameweka chuma kingine
#CRDBBankFederationCup: Chama ametoka na Selemani Mwalimu tayari ameweka chuma kingine 70’: Simba SC 3-0 TRA United LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup #FACup #SimbaSCVsTRAUnited #SimbaSC #TRAUnited #SimbaTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
#CRDBBankFederationCup: Katika mazingira yasiyotarajiwa, Oura akaachia shuti na kuiandikia goli la pili Simba SC
#CRDBBankFederationCup: Katika mazingira yasiyotarajiwa, Oura akaachia shuti na kuiandikia goli la pili Simba SC. 50': Simba SC 2-0 TRA United LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup #FACup #SimbaSCVsTRAUnited #SimbaSC #TRAUnited #SimbaTRAUnited (Feed…
Kihongosi aeleza CCM inavyopika viongozi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema mbali na kuwa na jukumu la siasa nchini lakini chama hicho...
Serikali ya mtaa yafafanua kuondoa simba kuonekana kwenye makazi ya watu, Kibaha
Wakati kukiwa na hofu kwa wananchi wa mtaa wa Kumba Shule Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani kwamba...
Kiasi Ambacho Manchester City Itaweka Mfukoni baada ya Kushinda Kombe la FA
Manchester City iliitandika Chelsea na kushinda Kombe la FA ikiimarisha harakati zao za nyumbani mara tatu huku Chelsea ikielekeza nguvu kwenye kufuzu Ligi ya Premia
Azam yaifuata Yanga nusu fainali CRDB Federation Cup
AZAM imekata tiketi ya kucheza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo itakutana na Yanga, baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa, mechi ya robo…
CCM: Siasa zituunganishe zilete upendo, umoja
BUNDA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema siasa zitumike kuunganisha watu, zilete upendo na umoja na wazikatae siasa za chuki na wanasiasa wanaotafuta umaarufu wa kisiasa kwa kutumia matukio mbalimbali kuchochea…
Mama asimulia alivyouza mashamba, atoa figo kumwokoa bintiye
Katika Kijiji cha Nyarikungu, Kitongoji cha Nyagunge wilayani Magu, mkoani Mwanza, maisha ya...
CCM kufuatilia mradi wa maji unaosuasua Bunda
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kufanya ufuatiliaji wa karibu ili kuhakikisha fedha za...
Serengeti Boys yafuzu Kombe la Dunia kibabe
Ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Angola leo Jumapili, Mei 17, 2026 huko Morocco...
Mnoga ana kibarua Wembley
WAKATI winga wa Tanzania, Tarryn Allarakhia akifurahia kuipandisha daraja Rochdale AFC kutoka Ligi Daraja la Nne England maarufu National League kwenda League Two, bado Mbongo mwenzake, Haji Mnoga ana kibarua…
DC Mtatiro: Kuandika wosia sio kujitabiria kifo
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro amewataka wananchi kuandika wosia mapema kwani...
Serengeti Boys yafuzu Kombe la Dunia U-17
USHINDI wa mabao 3-0 ilioupata Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, leo Mei 17, 2026 dhidi ya Angola, kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya…
Jackline Wanjiru: Mwanamke wa miaka 27 afariki baada ya kumwagiwa tindikali huko Mbeere
Mshtuko wakumbaKiritiri baada ya mwanamke wa miaka 27, Jackline Wanjiru, kuaga dunia kutokana na kumwagiwa tindikali asubuhi na kuiacha familia yake ikiwa na huzuni.
Simu inavyoweza kukusaidia kutambua magonjwa ya mazao
Katika jitihada za kuongeza tija ya kilimo nchini Tanzania, watafiti wameendelea kubuni...
Benki ya Absa kuendelea kusapoti sekta ya afya nchini
Benki ya Absa Tanzania imesema itendelea kusapoti juhudi zenye lengo la kuboresha afya za...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ametoa onyo kwa wananchi wenye tabia ya kutupa taka hovyo katika fukwe na mifereji ya ma…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ametoa onyo kwa wananchi wenye tabia ya kutupa taka hovyo katika fukwe na mifereji ya maji katika maeneo mbalimbali Dar es Salaama, akisisitiza…
Rio Ferdinand aanika sababu za kutua Tanzania wiki ijayo
Beki wa zamani wa Manchester United na England, Rio Ferdinand amesema kuwa ameshawishika kuja...
Wanahisa waomba Dk Nsekela aendelee kuongoza CRDB
Wanahisa wa Benki ya CRDB wameeleza matumaini yao ya kuona Mkurugenzi Mtendaji, Dk Abdulmajid...
Oburu Oginga Amrarua Edwin Sifuna, Amtaka Awe na Nidhamu: “Mimi Si Dhaifu”
Kiongozi wa ODM Oburu Oburu Oginga alilima Linda Mwananchi inayoongozwa na Seneta Edwin Sifuna, akieleza kuwa yeye si dhaifu wala si mzee kuendesha chama hicho.
Watendaji wa serikali wanaosimamia miradi ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi wamekutanishwa katika mafunzo maalum kwa leng…
Watendaji wa serikali wanaosimamia miradi ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi wamekutanishwa katika mafunzo maalum kwa lengo la kupigwa msasa na kuimarishwa uwezo wao katika uibuaji, uchambuzi…
Puma Energy Tanzania yaleta mfumo wa kutoa shukurani kwa wateja wake
Kampuni ya Nishati ya Puma Tanzania imezindua rasmi programu PRIS nchini Tanzania ambayo...
Familia yaingia wasiwasi baada ya mwanao aliyetoweka miaka 10 iliyopita kuonekana shambani Congo
Familia ya Gatundu Kusini inaomba usaidizi baada ya video inayodaiwa kumuonyesha jamaa yao aliyetoweka kwa miaka 10 akifanya kazi katika shamba moja nchini Congo.
Kihongosi aweka mawe ya msingi ofisi za CCM Bunda
BUNDA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ameweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Kitega uchumi na Ofisi ya CCM Tawi la…
Mchongo mpya waibuka kuelekea Kombe la Dunia 2026
Wakati dunia ikisubiri kwa hamu kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2026, kampuni ya ubashiri...
TADB records rapid financial growth
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S Agricultural Development Bank (TADB) has recorded rapid growth in assets and lending last year, pushing its balance sheet close to 1.3tri/- and lifting dividend payments to…
TADB records rapid financial growth
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S Agricultural Development Bank (TADB) has recorded rapid growth in assets and lending last year, pushing its balance sheet close to 1.3tri/- and lifting dividend payments to…
EACOP advances toward final stages
TANGA: THE Ministry of Energy has commended the progress of the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project, saying implementation is nearing completion. Speaking during a one-day visit to inspect…
PPPC yatoa mafunzo maofisa dawati
DAR ES SALAAM: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimetoa mafunzo kwa maafisa wa madawati ya PPP kutoka mamlaka mbalimbali za serikali kwa lengo…
Mnunka: Simba Queens tunataka kurudi Afrika
KIUNGO mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka amesema lengo kubwa la timu hiyo msimu huu ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania na kurejea katika michuano ya kimataifa…
Raundi ya 17 WPL kinawaka leo
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania itaendelea leo Mei 18 kwa mechi za raundi ya 17, huku Simba Queens, Yanga Princess na JKT Queens zikitarajiwa kushuka dimbani kusaka pointi muhimu katika…
Mrwanda afanyiwa majaribio Yanga Princess
YANGA Princess imeanza mchakato wa kuboresha kikosi hicho mapema kwa ajili ya msimu ujao na inaelezwa inamfanyia majaribio mshambuliaji wa Kamonyi WFC ya Rwanda, Sandrine Mutuyimana.
Government, Serengeti Breweries Limited deepen collaboration on Sustainable Development Agenda
DAR ES SALAAM: SERENGETI Breweries Limited (SBL) has reaffirmed its commitment to supporting Tanzania’s socio-economic transformation and Vision 2050 following a strategic engagement with Minister of State in the Prime…
NMB yapata Sh468 bilioni kuongeza mikopo kwa wajasiriamali, kilimo na wanawake
Benki ya NMB Plc imepata ufadhili wa takribani Sh468.1 bilioni kwa ajili ya kuongeza mikopo kwa...
‘Mitoko’ ya Alliance Girls yavutia mashabiki
Alliance Girls imeendelea kuvuta hisia za mashabiki wa soka nchini kwa mtindo wao wa kipekee wa kuingia uwanjani wakiwa wamevalia mavazi ya asili kama vitenge, madera na mavazi mengine yanayoakisi…
CCM kutoa msukumo mradi wa maji Bunda
BUNDA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitahakikisha kinatoa msukumo kwa serikali ili kuhakikisha mradi mradi wa maji kutoka Butiama hadi Nyamuswa unakamilika kwa wakati ili kutimiza azma ya Rais Samia…
Vinywaji vya kuongeza nguvu vina madhara gani kwa vijana
Wataalam wa afya wanahofia watu wengi wanategemea vinywaji hivi bila kuelewa kikamilifu madhara yake kwa afya.
WUF13 yang’oa nanga Baku mawaziri wajadili mgogoro wa makazi duniani
Kikao cha kumi na tatu cha Jukwaa la Miji Duniani (WUF13) kilifunguliwa mjini Baku, Azerbaijan, leo Jumapili, kikiwaleta pamoja mawaziri, mameya, mashirika ya kimataifa, wapangaji miji na wataalamu kujadili moja…
WHO: Mlipuko mpya wa Ebola DRC na Uganda sasa ni dharura ya kimataifa ya afya ya umma
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) leo ametangaza kuwa mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokradia…
Mamia ya vijana wamejitokeza kushiriki mbio za jogging zilizolenga kuhamasisha amani ya nchi pamoja na kuwaunganisha vijana na f…
Mamia ya vijana wamejitokeza kushiriki mbio za jogging zilizolenga kuhamasisha amani ya nchi pamoja na kuwaunganisha vijana na fursa mbalimbali za maendeleo. Akizungumza katika tukio hilo, mwanasiasa na Kada wa…
Heche: Jaribio la kuinyamazisha Chadema halitafanikiwa
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema jaribio...
Jihudumie kwa kutumia PSSSF Kidijitali, muwa wowote na mahali popote ulipo
Jihudumie kwa kutumia PSSSF Kidijitali, muwa wowote na mahali popote ulipo. #TunakukubaliMwanachama #PSSSF (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji…
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa…
Spika Qalibaf: Muqawama wa kihistoria wa Iran unaongeza kasi ya mabadiliko ya kimataifa ambayo hayajawahi kutokea
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf amesema kuwa muqawama wa kishujaa wa taifa la Iran kwa muda wa siku 70 umekuwa msukumo katika…
#HABARI: Elimu ya msaada wa kisheria inayotolewa kwa wananchi kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzaa matunda mkoa…
#HABARI: Elimu ya msaada wa kisheria inayotolewa kwa wananchi kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzaa matunda mkoani Shinyanga huku wananchi wakikumbushwa kujenga tabia ya kuandika wosia. Hali…
Nguvu ya wazazi yaondoa wanafunzi 300 sakafuni Makangarawe
Kilichokuwa kero ya muda mrefu kwa mamia ya wanafunzi waliolazimika kukaa chini madarasani...