OMG, kundi la rapu lililosumbua mitaani
Ndani ya Bongofleva kumewahi kujitokeza makundi mengi ya marapa na baadaye kupotea, mojawapo ni...
Hali ya kiafya ya mwanamuziki Abdalla Hemba bado tete
Msanii wa muziki wa dansi wa bendi ya Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde Ngoma ya Ukaye’, Abdalla...
Kim Jong-un anatafuta kuimarisha mstari wa mbele dhidi ya ‘adui yake mkuu’ Korea Kusini
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametoa wito wa kuimarisha vitengo vya kijeshi vya mstari wa mbele dhidi ya “adui wake mkuu, Korea Kusini,” shirika la habari la serikali, KCNA,…
Kipaji kinavyomjazia noti Curry
Ijumaa wiki iliyopita, jarida la Forbes lilitoa orodha ya wanamichezo wanaoingiza kiasi kikubwa...
Kombe la Dunia 2026 linaanza lini, na maswali mengine kuhusu Kombe la Dunia la kwanza lenye timu 48
Michuano hii itafanyika kati ya 11 Juni hadi 19 Julai, ikiwa na muda wa rekodi wa siku 39, yaani siku 10 zaidi ya Kombe la Dunia la Qatar, na zaidi…
Magazetini Wahudumu wa Matatu Watangaza Kusitisha Shughuli Kufuatia Gharama ya Mafuta
Mgomo wa sekta ya usafiri kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta unaanza leo, petroli ikiongezeka kwa KSh 16.65 na dizeli KSh 46.29. Shughuli zimesitishwa kote nchini
Magazetini Wahudumu wa Matatu Watangaza Kusitisha Shughuli Kufauta Gharama ya Mafuta
Mgomo wa sekta ya usafiri kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta unaanza leo, petroli ikiongezeka kwa KSh 16.65 na dizeli KSh 46.29. Shughuli zimesitishwa kote nchini
Mgomo wa Matatu: Super Metro Yasitisha Shughuli Huku Maandamano Makubwa ya Mafuta Yakinusia
Kampuni ya uchukuzi ya Super Metro imetangaza kusimamisha shughuli zake Jumatatu, Mei 18. Kampuni hiyo ilitaja mgomo wa mafuta uliopangwa kufanyika nchini kote.
Carrick apigiwa chapuo kuinoa mazima Man United
Beki wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amemsifu kaimu meneja wa timu hiyo, Michael...
Darmanin kuzuru Algiers, hatua mpya katika mahusiao kati ya Ufaransa na Algeria
Gérald Darmanin atasafiri kwenda Algiers Jumatatu kwa ziara fupi inayolenga “kurejesha uhusiano wa kimahakama” kati ya Ufaransa na Algeria. Imechapishwa: 18/05/2026 – 07:23 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Zambia: Mashirika ya kiraia yana wasiwasi kufuatia kuvunjwa kwa Bunge
Zambia ilivunja Bunge lake Ijumaa, Mei 15, chini ya miezi mitatu kabla ya uchaguzi wa urais mnamo Agosti 13. Kuvunjwa kwa bunge hili kumezua maswali na wasiwasi miongoni mwa mashirika…
Ni wiki ya madaraja na malipo kwa makandarasi
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii...
Velayati aikosoa Marekani kwa vitisho Dhidi ya Iran, aonya inaangukia “mtego” wa Israel
Ali Akbar Velayati, mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ameonya kuwa Marekani inaangukia “mtego wa kimkakati” uliotegwa na Israel, akisema kuwa Marekani itapoteza kabisa mabaki ya uaminifu wake…
Somalia: Karibu watu milioni sita wako hatarini kutokana na ukosefu wa usalama wa chakula
Nchini Somalia, baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), shirika lisilo la kiserikali la Mercy Corps sasa linaibua wasiwasi kuhusu hali ya njaa ambayo…
FIFA yafanya mazungumzo “chanya” na Iran Kabla ya Kombe la Dunia 2026
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema mazungumzo ya hivi karibuni na maafisa wa soka wa Iran yalikuwa chanya na yenye kujenga, huku maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia la 2026…
Iraq yachora mstari mwekundu; yasema: Ardhi ya nchi hiyo haitatumika kufanya mashambulizi dhidi ya Iran au nchi jirani
Iraq imetangaza wazi kuwa kamwe haitaruhusu ardhi yake itumike kwa ajili ya kufanya mashambulizi dhidi ya nchi jirani, hasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 18, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 18, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Waziri: Marekani haiwezi kuizuia Afrika Kusini kushiriki kwenye kikao cha G20
Waziri wa Afrika Kusini wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ronald Lamola, amesema Marekani haiwezi kuizuia nchi yake kushiriki kwenye Mkutano wa kilele wa nchi za G20 mwezi…
ICC yatoa hati “za siri” za kukamatwa kwa maafisa watano wa Israel
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yenye makao yake The Hague imeripotiwa kutoa hati tano za “siri” za kukamatwa kwa maafisa wa utawala wa Israel, wakiwemo wanasiasa watatu na maafisa…
Msumbiji: Vita vilivyosahaulika vinaendelea kuwatia wasiwasi wakazi wa Cabo Delgado
Kama sehemu ya mfululizo wa ripoti adimu, RFI iliweza kusafiri hadi Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji, kwenye mpaka na Tanzania. Kwa karibu miaka kumi, eneo hili limkumbwa na mzozo wa…
Ebola Ituri: WHO na WFP watoa tani 5 za vifaa vya kukabiliana na Ebola
Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) wamepeleka tani 5 za vifaa huko Bunia siku ya Jumapili, Mei 17, 2026,…
Donald Trump aonya kuwa “muda unakwisha” kwa Iran huku maendeleo ya kutafuta amani yakikwama
Vyombo vya habari vya Iran viliripoti kuwa Marekani imeshindwa kufikia makubaliano ya maana kuhusu mapendekezo ya hivi karibuni ya Tehran ya kumaliza mzozo huo.
Kenya: Wamiliki wa mabasi ya abiria na bodaboda waanza mgomo
Raia wa Kenya, hivi leo wamepata wakati mgumu kufika kwenye maeneo yao ya kazi kufuatia mgomo uliotangazwa na wamiliki wa mabasi ya abiria na bodaboda unaoanza hivi leo kushinikiza serikali…
TIRA: Elimu ya bima mashuleni ni msingi wa kukuza sekta ya bima nchini
Dar es Salaam. Katika kuadhimisha kuelekea Siku ya Bima, wadau wa sekta ya bima nchini...
J-10C Fighters: Nini kinazifanya ndege hizi za kivita kuwa hatari zaidi?
Moja ya sababu kubwa zinazofanya J-10C kupewa hadhi ya ndege hatari ni uwezo wake wa kushambulia adui kabla hata ya kuonekana kwenye rada za kawaida.
WHO inaendelea na tathmini yake kuhusu mlipuko wa virusi vya Hanta
Shirika la Afya Duniani limesema linaendeleza tathmini yake ya mlipuko wa virusi vya Hanta kama “hatari ndogo”, wakati huu meli ya kitalii ambayo mlipuko huo ulianzia ikikaribia kutia nanga kwenye…
#MorningTrumpet #AzamTVUpdate
#MorningTrumpet #AzamTVUpdate (Feed generated with FetchRSS)
Trump aionya Iran, aitaka iharakishe upatikanaji wa makubaliano
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo jipya kwa nchi ya Iran, akisema inatakiwa iharakishe ili kupata mkataba wa amani au vinginevyo hakutakuwa na kitu kitakachosalia kwenye nchi hiyo. Imechapishwa:…
PASS Trust yaendeleza ajenda ya kampeni ya upandaji miti mashuleni
Dar es Salaam. Katika kuendeleza jitihada za kuhamasisha utunzaji wa mazingira na maendeleo...
CHADEMA vs Msajili, vita vya panzi au mgogoro wa mfumo?
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
Youth called on to utilize government loans
MTWARA: THE Chairperson of the Youth Wing of Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, has called on young people to continue organizing themselves and preparing strong project proposals in…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 18, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Kawaida kuanza ziara ya siku sita Mtwara
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida anatarajia kuanza ziara ya...
Dk Mwigulu: Sheria ya Kutaifisha kufutwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema Sheria ya Kutaifisha inakwenda kufutwa kwa...
#CRDBBankFederationCup: Kocha wa TRA United, Etienne Ndayiragije ameipongeza Simba kwa kucheza vema na kupata matokeo kwenye mch…
#CRDBBankFederationCup: Kocha wa TRA United, Etienne Ndayiragije ameipongeza Simba kwa kucheza vema na kupata matokeo kwenye mchezo wa robo fainali ya CRDB Bank Federation Cup. Kwa upande wake Kocha Steve…
Asilimia 40 ya wanaohitaji tiba ya mionzi KCMC ni watoto
Wakati Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC, ikiona wagonjwa wa saratani takribani...
Walichokisema Heche, Sugu, Lema na Boni Yai mkoani Geita
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amesema...
Azam, Simba zatinga nusu fainali Kombe la Shirikisho CRDB
Azam FC na Simba zimetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kupata...
#CRDBBankFederationCup: Mwalimu alipiga kisigino, David Kameta akapiga krosi, Bashiri Kibaila akapiga kichwa na kuiandikia goli …
#CRDBBankFederationCup: Mwalimu alipiga kisigino, David Kameta akapiga krosi, Bashiri Kibaila akapiga kichwa na kuiandikia goli la nne Simba SC. FT: Simba SC 4-0 TRA United Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup…
#CRDBBankFederationCup: Sasa ni rasmi kwamba Coastal Union itaivaa Simba SC kwenye mchezo wa nusu fainali
#CRDBBankFederationCup: Sasa ni rasmi kwamba Coastal Union itaivaa Simba SC kwenye mchezo wa nusu fainali. FT: Simba SC 4-0 TRA United Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup #FACup #SimbaSCVsTRAUnited #SimbaSC #TRAUnited…
Chama auwasha moto, Simba ikitinga nusu fainali CRDB Federation Cup
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, ameendelea kuonyesha kiwango bora msimu huu baada ya kufunga katika mchezo wa tano mfululizo na kuisaidia timu hiyo kutinga nusu fainali ya Kombe la…
#CRDBBankFederationCup: Chama ametoka na Selemani Mwalimu tayari ameweka chuma kingine
#CRDBBankFederationCup: Chama ametoka na Selemani Mwalimu tayari ameweka chuma kingine 70’: Simba SC 3-0 TRA United LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup #FACup #SimbaSCVsTRAUnited #SimbaSC #TRAUnited #SimbaTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
#CRDBBankFederationCup: Katika mazingira yasiyotarajiwa, Oura akaachia shuti na kuiandikia goli la pili Simba SC
#CRDBBankFederationCup: Katika mazingira yasiyotarajiwa, Oura akaachia shuti na kuiandikia goli la pili Simba SC. 50': Simba SC 2-0 TRA United LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup #FACup #SimbaSCVsTRAUnited #SimbaSC #TRAUnited #SimbaTRAUnited (Feed…
Kihongosi aeleza CCM inavyopika viongozi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema mbali na kuwa na jukumu la siasa nchini lakini chama hicho...
Serikali ya mtaa yafafanua kuondoa simba kuonekana kwenye makazi ya watu, Kibaha
Wakati kukiwa na hofu kwa wananchi wa mtaa wa Kumba Shule Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani kwamba...