Afrika – Ufaransa : Huenda baadhi ya masuala muhimu hayakupewa kipau mbele
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria mkutano kati ya Ufaransa na Afrika uliokamilika jioni hii jijini Nairobi nchini Kenya, wamehoji kuachwa kwa masuala muhimu wanayosema hayakupewa kipaumbele katika mkutano huo wa siku…
Serikali kuanza ujenzi barabara ya Kimanga
Hatimaye uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam umefanya ukaguzi wa Barabara ya...
GSM akagua eneo la uwanja wa Yanga Jangwani
UONGOZI wa Yanga, umefanya kikao cha mwisho juu ya ujenzi wa uwanja wa timu hiyo, huku mfadhili na mshindi wa zabuni ya tenda hiyo, Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ akitembelea eneo…
20 BSS talents enter camp to sharpen their skills
DAR ES SALAAM: Twenty contestants selected from different regions of Tanzania and several countries in East and Central Africa have officially arrived at the Ndege Beach camp in Dar es…
Gachagua amhusisha Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na kashfa ya KSh 7b Kenya: “Umechangia”
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua anamshutumu Rais Macron kwa kutumia Mkutano wa Afrika Mbele 2026 kama kifuniko cha miamala ya ulaghai na utawala wa Kenya.
Wafanyabiashara waaswa kutumia makongamano ya kimataifa kutafuta masoko
Wafanyabiashara nchini wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki mikutano na makongamano ya...
De Reuck: Nilipotea Sundowns, Simba wakanisitiri
Beki wa Simba SC, Rushine De Reuck, amefunguka kuhusu kipindi kigumu alichopitia mwishoni mwa maisha yake ya soka akiwa Mamelodi Sundowns, akisema alikuwa hajui mustakabali wake ulikuwa wapi.
Kortini wakidaiwa kujipatia Sh215 milioni za mafuta ya alizeti
Washtakiwa hao wanadaiwa kujipatia fedha hizo kutoka kwa Sola Thierry kwa madai kuwa...
Vurugu Vikawe, tathimini yafanyika, wakazi wabaki njia panda
Mapigano hayo yaliwahusisha wananchi na watu waliotajwa kuwa mabaunsa waliodaiwa kupelekwa na...
Coop benki, Agra waja na suluhisho la upotevu wa chakula
Dar es Salaam. Wakulima walio katika vyama vya ushirika wako mbioni kuondokana na changamoto ya...
Makongoro aibuka mshindi safari ya Kombe la Dunia
DAR ES SALAAM:MAKONGORO Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa Julius Nyerere, ameingia katika orodha ya washindi watatu wa droo ya kampeni ya Kombe la Dunia ya benki ya CRDB hatua…
Kenya yataka Afrika ipewe kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la UN
Rais wa Kenya, William Ruto, ametoa wito kwa Afrika kupewa uanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, takwa ambalo limeungwa mkono na Katibu Mkuu wa Umoja…
Digital Iris yarahisisha uchunguzi wa saratani Hospitali ya Mawenzi
Moshi. Badala ya kulazimika kusubiri kwa siku nzima au zaidi ili kubaini viashiria vya mwanzo...
Viongozi wa Afrika, Ufaransa wakutana Kenya, Dk Mwigulu atoa wito
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameshiriki katika ufunguzi wa...
Yanga finalize process to construct its own stadium
DAR ES SALAAM: THE Young Africans President, Hersi Said, has chaired the final discussion meeting on the implementation of the club’s stadium construction project. The meeting was held today, May…
JKT, Stein Warriors kazi ipo ufunguzi BDL
ILE Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), inarudi na tayari timu shiriki 16 zinajifua kwa ajili ya kipute hicho kinachotarajiwa kuanza siku nne zijazo, ambapo kamishna wa…
How Dental Management Programs Reduce No-Shows | Dendoo
Every dental clinic knows this scenario: your schedule is full, your team is ready – and then a patient simply doesn’t show up. No warning. No cancellation. Just an empty…
Mtendaji wa kata asimamishwa kazi kwa tuhuma za rushwa
Tuhuma za Nzowa zinatokana na kulalamikiwa na mmoja wa wananchi, wakati wa mkutano wa hadhara...
Tanzania names events to accompany the Environment Day, address climate change
DAR ES SALAAM: THE Minister of State in the Vice President’s Office (Union and Environment), Engineer Hamad Yusuf Masauni, has announced that the 2026 World Environment Day celebrations will be…
Mahakama yatupilia mbali ombi la DPP kutaifisha mali za mfungwa
DPP aliiomba Mahakama kutaifisha vipande kadhaa vya ardhi vinavyodaiwa kumilikiwa na Samwel...
Wakulima Kilwa waomba nyongeza mbegu bora za ufuta
Kilwa. Wakulima wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameiomba Mamlaka ya Udhibiti wa Mazao...
WFP yasisitiza uwekezaji katika ujasiriamali, teknolojia za kisasa za kilimo
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema uwekezaji katika ujasiriamali wa vijana...
Upgraded Musoma Airport opens doors or tourism, trade growth across Lake Victoria basin
MUSOMA: THE completion of rehabilitation works at Musoma Airport in Mara Region is being regarded as a key milestone expected to stimulate growth in tourism, trade, and the broader economy…
Gharama za kuwaona madaktari kero kwa wabunge
Wabunge wamehoji gharama za malipo kabla ya kumuona daktari kwamba ni miongoni mwa kero...
TADB launches the Green Agri-Finance Strategy 2025–2027
DAR ES SALAAM: TANZANIA Agricultural Development Bank has officially launched its Green Agri-Finance Strategy 2025–2027 aimed at accelerating climate-resilient, inclusive, and sustainable agricultural transformation in the country. The launch took…
Zanzibar provides new jobs in the health sector to address staff shortage
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Ali Mwinyi, said his government intends to provide new employment permits in the new financial year for the health sector and other cadres to reduce…
Museveni aapishwa kuanza muhula wa saba, wachambuzi waimulika Uganda
Leo, Jumanne Mei 12, 2026, anga la Kampala limetawaliwa na sura mbili tofauti, wakati upande...
PM meets Kenya’s Ruto at Africa–France Cooperation Summit opener
NAIROBI: Prime Minister Mwigulu Nchemba attended the opening ceremony of the Africa–France Cooperation Summit (Africa Forward Summit: Africa–France Partnership for Innovation and Growth), held in Nairobi, Kenya, on May 12,…
Kiswaga asaidia mifuko 200 ya Saruji Tosamaganga Sekondari
IRINGA: Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 100 ya shule ya sekondari Tosamaganga, Mbunge wa Jimbo la Kalenga ilipo shule hiyo, Jackson Kiswaga, amekabidhi mifuko 200 ya saruji kwa shule hiyo…
Vietnam lessons inspire Tanzania fight against malnutrition crisis
VIETNAM: Across the green, sunlit villages of rural Tanzania, a persistent and complex challenge continues to affect the health and well-being of communities. Despite notable progress in recent years, malnutrition…
Kassimu Mganga atia neno penzi la Zuchu, Diamond
Msanii wa Bongo Fleva, Kassimu Mganga amezungumzia wazi hisia zake kuhusu uhusiano wa mastaa wa...
Museveni begins serving his seventh term after being officially sworn in
KAMPALA: UGANDAN President, Yoweri Museveni, has officially been sworn in for a seventh term in office, extending his leadership of the country since first assuming power in 1986. The inauguration…
Fernanda Espinosa wa Ecuador aingia kinyang’anyiro cha Ukatibu Mkuu UN
Mbio za kumrithi Guterres sasa zimezidi kushika kasi baada ya María Fernanda Espinosa, kutangazwa na Msemaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa ameingia kwenye kinyang’anyiro hicho na kwamba…
Fahamu jinsi kilimo mseto kilivyorejesha matumaini kwa wakulima wa kakao nchini Côte d’Ivoire
Kufuatia miaka mingi ya athari za mabadiliko ya tabianchi zilizopunguza uzalishaji na kupandisha bei ya zao la kakao duniani, wakulima nchini Côte d'Ivoire wameshuhudia kuimarika taratibu kwa uzalishaji wa kakao…
Guterres: Afrika inaongoza mabadiliko ya dunia, na dunia lazima iendane nayo
Katika ufunguzi wa Mkutano wa ushirikiano baina ya Afrika na Ufaransa hsa katika masuala ya ubunifu na ukuaji uliopewa jina “Africa Forward” jijini Nairobi Kenya, Katibu Mkuu wa Umoja wa…
Watoto Ukingo wa Magharibi wapigwa risasi, wachomwa visu na kunyunyiziwa pilipili
Operesheni za kijeshi za Israel pamoja na kuongezeka kwa mashambulizi ya walowezi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel zinasababisha kuongezeka kwa vifo na majeraha ya watoto wa…
Ukosefu wa usawa washamiri licha ya idadi ya wanafunzi wa elimu ya juu kuongezeka maradufu ndani ya miaka 20
Kuna tofauti kubwa kikanda Ulaya Magharibi na Amerika Kaskazini 80% ya viyana wamejiandikisha elimu ya juu Kwa nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara ni 9% Brazil, Japan,…
Vita na wakimbizi vyazidi kuizamisha DRC kwenye janga la njaa
Mapigano yanayoendelea na wimbi kubwa la wakimbizi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC yamewaacha watu milioni 26.5 wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na kuhitaji msaada wa kibinadamu kwa…
Ripoti ya UN yasema dunia bado iko mbali kufikia malengo ya misitu ifikapo 2030
Uwekezaji katika misitu ni nguzo muhimu kwa hali tabianchi, chakula na SDGs Uwekezaji kwenye kulinda misitu bado mdogo Kuna mafanikio lakini bado ni madogo
Netflix yashitakiwa kwa kuwachunguza watumiaji wake, uko salama
Kampuni hiyo inatuhumiwa kukusanya na kutumia data za watumiaji wake, ikiwemo watoto bila ridhaa yao ya wazi, na baadaye kutumia taarifa hizo kwa malengo ya kibiashara na uboreshaji wa huduma…
Simulizi ya mwanamke aliyekaa gerezani miaka 27 akisubiri kunyongwa
Miaka 27 ni umri mrefu kwa mwanadamu. Mtu mwenye umri huo atakuwa amesoma na tayari ameanza...
Museveni pays tribute to Mwl Nyerere, thanks Tanzania for supporting Uganda’s liberation struggle
KAMPALA: UGANDAN President, Yoweri Museveni, has expressed gratitude to Tanzania and paid tribute to the late founding President Julius Nyerere for their contribution in supporting Uganda’s liberation struggle and laying…
KISWAHILI FOR BEGGINERS: The word “Kifaranga cha kuku”
“Kifaranga cha kuku” is a Swahili phrase made of two parts: kifaranga= a young bird (especially a chick)cha kuku = of a chicken So the full meaning in English is:…
Benki ya Dunia yasisitiza matumizi sahihi fedha mradi wa Pamoja
Mradi wa Pamoja unafadhiliwa na WB kwa kipindi cha miaka mitano (2024/29) na utagharimu Sh33...
ODM watangaza wazi tiketi ya urais 2027, wanaotaka kugombea watakiwa kutuma maombi rasmi
ODM kimewataka wanachama kuomba nafasi muhimu katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, ikiwa ni pamoja na urais. Tuma maombi kupitia tovuti kabla ya tarehe 30 Juni 2026.
Masauni: Wananchi hawajaitumia ipasavyo fursa ya taka kibiashara
Uelewa wa kutumia taka kama fursa ya biashara katika kuzalisha bidhaa bado ni mdogo miongoni...
Baba Levo aitaka Serikali kudhibiti ushauri wa afya mitandaoni
Kutokana na hali hiyo, ameiomba Serikali kuwachukulia hatua watu wanaotoa elimu ya afya bila...